Habari wasee!
Ni Dakika Chache tu before sijaandika uzi huu mshikaji wangu ametoka Kugombana na Manzi wake kisa tu Hampigii simu mara kwa mara. Mshikaji anaishi Mwanza na Demu wake yuko Chuo huko...
Hapa nilipo na mawazo mengi sana nimeona niletee humu jukwaani kidogo mnisaidie angalau kwa usahuri na mawazo wakuu. Kuna msichana niko naye kwenye mahusiano ni mwaka wa pili sasa, tunapendana...
Hizi kazi za ukinyozi zina tabu sana, Nilikuwa nishamzoesha kumnyoa kila anapoitaji huduma ya kunyolewa.
Ni muda nilikuwa sijamtekelezea huduma yake baada ya kubanwa na majukumu mengine ya...
Tangu tuachane na mpenzi wangu wa kinyaturu johari namtafuta kwa kumpigia simu hapatikani hewani. Ni miezi miwili sasa hapatikani.
Nini kimemkuta Johari wangu huko singida jamani, aliyeko singida...
Habarini wadau, kwa aliyepo Bagamoyo tujuane nipo Empire bar hapa.
Turudi kwenye mada yawezekana ni ushamba wangu au umri umenitupa mkono, ila naomba kujuzwa hivi mnaonyonyana ndimi huwa mnasikia...
Wakuu hapa majuzi kati wakati natoka job naelekea hom majilan fulani hivi ya jion nipo zangu kwa miguu
Mara Kigari kikanipigia honi na kusimama kikitoa ishara niende
Basi nikasogelea hadi hapo...
Hellow Ladies ( duuh kingereza si mchezo ni salamu tuu hadi nimesikia njaa).
Basi Leo wana jf wenzangu nikiamini kila mtu ni 18+ , tuwekane sawa baadhi ya vitu.
Hivi kwa nini wadada siku...
Mimi ni kijana wa miaka 33 sina mke wala mtoto mpaka dakika hii na kila jambo ninalopanga linayeyuka na sio kwa mahusiano tu hadi mipango yote ya kimaisha.
Kwa kweli naumia sana tafadhali...
Habari za muda huu wadau?
Hongereni kwa mfungo na Allah ajaalie uwe ni wenye manufaa.
Miaka mitatu na na miezi mitatu iliyopita nilijaaliwa kufunga ndoa na mke wangu kipenzi, yeye hakuwa...
Kuna binti mmoja ninae kwenye mahusiano ya kimapenzi kwa mwaka sasa. Nikasema kama itampendeza Mungu mwaka huu nimpe binti bahati ya kuwa mke wangu
Leo amekuja kwangu baada ya kupata ruhusa toka...
Japan ndiyo nchi ambayo watu wake hawapendi ngono zaidi hapa duniani. Nusu ya wanawake wenye umri wa miaka 34 ni mabikra, na kwa upande wa wanaume wenye umri huo ambao ni mabikra ni 43% .
Kwa...
Ifahamike kwamba mapenzi ni muunganiko wa watu wawili katika kupendana kwa dhati na sio muungano wa sehemu za siri, hili si la kupuuza maana ndio uhalisia huo.
Kuunganisha sehemu za siri...
Wengi nadhani sio wageni na mimi Per Diem maana kwenye jukwaa la Hoja na Habari mchanganyiko nimekua nikiweka post nyingi za mimi nilivyokuja Norway, maisha ya huku na mambo mengine mbalimbali...
Hii si kauli ambayo anaweza kuitoa mgeni wa mapenzi au aliedumu kwenye ndoa yake au na mpenzi wake.
Maneno haya yanasemwa na wazoefu waliopitia kila kona za mapenzi pengine wameoa au kuolewa...
Huu ni muda mfupi katika ndoa, lakini bado ni muda mrefu pyschologically, physically na emotionwise katika harakati ya kuishi wawili na mtu mlio kutana nae ukubwani. Bado nina mengi ya kukutana...
Kwema ndugu zangu?
Jamani haya maisha yaacheni tu yaitwe maisha. Kuna sehemu nina kabiashara kangu ka kuzugia ili siku ziende hapa mjini.
Sasa kikawaida asubuhi huwa namuacha kijana wangu...
Salaam!!
Ee bana eeh haya maisha bana mambo hubadilika anytime
Nakumbuka enzi hizo nikiwa chuo kikuu nilikuwa na rafiki ambae urafiki wetu naweza kusema ulifikia level za undugu kabisa, ni rafiki...
Sijui kama niwe na hasira au kawaida tu maana pengine mimi naweza kuwa nime mind lakini kwa wengine ni jambo la kawaida sana. huyu dada tupo naye ofisini.. ni dada mzuri kwa sura ,rangi na umbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.