Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kuna dada mzuri nikisema mzuri ni mzuri kweli. Aliolewa na mume mwenye kipato cha kawaida na waliishi maisha ya kawaida. Nikimaanisha hakutumia usafiri wa wote mume wake alimnunulia gari...
11 Reactions
81 Replies
5K Views
Yaani mama yeyoo alivyo kisu hata sielewagi why mimi sometimes nakua mchepukaji. Maana hata kipindi nampata yeye ndo alikua kama side chick halafu main chick sikumuoa japo naye alikua kisu. Ila...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi! Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke...
59 Reactions
306 Replies
10K Views
Habari wadau Kule uzi wa kula tunda kimasihara unazidi kutanuka watoto wanamwaga stori tu na wanaona kama unexpected sex na demu ni jambo la kifahari sana hawa sio kosa lao, kosa ni ujinga...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Wakuu za majukumu. Awali ya yote niseme tu kuwa nilishaapa kutotongoza mke wa mtu cozi najua mke wa mtu sumu. Basi ni kama mwezi umepita, kuna siku mwanamke mmoja ameolewa, nimemzoea kama...
12 Reactions
97 Replies
14K Views
Wana body habari za saa hizi naomba kutoa elimu kwenu kwa muda huu, juu ya watu wenye hali ya kujikuta wanafanya mapenzi na wasio wajua au wanao wajua ndotoni... Awali ya yote naanza na...
6 Reactions
46 Replies
37K Views
Wakuu nawasalimu. Ni mambo ya mitandaoni tu, nimekutana nae. Mrembo sana. Kwakua familia iko mbali kidogo, nikaona nitume nauli aje mkoani tuponde raha. Professionally ni nurse, na nliwasiliana...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
Shalom walokole wenzangu na wana JamiiForums wote kwa ujumla. Sisi walokole wengi tumekuwa kama manyumbu, Nadhani wengi mliona ile video iliyo leak ya baba askofu, ambayo baadae kitengo cha...
22 Reactions
116 Replies
17K Views
Hello, Nafahamu kwenye wengi kuna mengi, tuachane na huu msemo. Naomba mnisaidie jinsi ya kukabiliana na hasira. I broke up with 2 people kwasababu ya hasira, tena hasira zangu huwa ziko...
6 Reactions
108 Replies
5K Views
Kipindi cha zamani kushuka 2000 kila jumamosi au siku za ijumaa popote upitapo lazima ukute sheree ambayo ni ndoa. Ilikuwa ni fahali na heshima kubwa unaposikia au kuona mtu kaoa au kaolewa. Hata...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna dada mmoja aliolewa na mkaka mlokole. Si unafahamu ule wakati umekaa kwenye shelf mpaka age mates zako wote wameolewa, mwisho unaamua anaekuja nitamkubali, ndicho kilichomtokea huyu dada...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna Jamaa yangu alikuja kwangu kunipa taarifa kuwa ataoa muda si mrefu na akaniambia ameshamchunguza mwenza wake vya kutosha. Nikamuuliza kwani umemchunguza kwa muda gani jamaa anadai ni miezi 4...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
Nkikumbuka walivyofanyiwa PJ Washington, Mason Greenwood, Reginald Mengi, etc mwanamke ni mnyama hatari sana kuishi naye, especially kama hana hisia na wewe. Na yuko kwako sababu ya hela...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
  • Closed
Wakuu nimemvumilia nimeshindwa mimi na moja ya tabia ambazo nimeshindwa kuzivumilia ni hizi Shemeji ananifuatilia kana kwamba nimemuoa yeye kuna sikunimetoka zangu mihangaiko narudi zangu home...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna siku nilikuwa ugenini, baada ya mishe zangu nikawa nimerudi hotelini; kutokana na upweke niliokuwa nao, nikaona bora nitafute mdada wa kuniweka bize. Ikabidi nizame kwenye huduma ya 'online'...
10 Reactions
65 Replies
6K Views
Mpenzi wangu kila nikianza kuchepuka anakua na hisia za tofauti, hivi imekaaje? Kuna wakati anashituka mwili, na kuanza kunitafuta. Kuna wakati utakuta tu anaanza kuzidisha mapenzi kwangu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna stori moja niliileta hapa, kuhusu dada mmoja alikuwa mpenzi wangu (mchepuko), alifumaniwa na mumewe kwa njia ya simu akiwa faragha na jamaa mwingine. Ambapo, alipokuwa faragha simu yake...
14 Reactions
87 Replies
7K Views
Strange though might sound, ila wabakaji wanawake wapo, nakubaliana na Biblia kua mke mwema anatoka kwa bwana, mimi binafsi nina wivu sana na naamini karma ipo hivyo endapo nitatembeana mke wa mtu...
14 Reactions
70 Replies
7K Views
Back
Top Bottom