Wanajamvi uzima upo?
Ninaishi na mpenzi wangu, sijamuoa ila tunaishi wote, na wote tu wanachuo hapa DSM. Jana usiku nilifuma msg katika simu ya huyu mpenzi wangu ya mapenzi(ilikuwa msg chafu...
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Mwanamke elewa kuwa asili ya mwanaume ni udume ambao anahitaji atawale dunia kwa kila kitu. Wanyama na ndege pia viumbe vya kiume hutawala species zao.
Kwa hiyo basi fanya ufanyalo mwanaume...
Leo hii nani asiyejua kuwa wanapenda tamthilia mno hawa dada zenu wa kibongo? Wanajua majina yote ya wasanii wa kikorea, kifilipino na hata wa kizungu.
Hali hii wanaihamishia mpaka kwenye maisha...
🔏 Urafiki unawezekana bila ngono?
Naomba kuyaweka mezani Maswali Haya:
Je, rafiki ni nani? Ili mtu awe rafiki yako mambo gani ni ya msingi kutimia?
Je, rafiki wa jinsia iliyop tofauti na yako...
Wazee wapenzi wa majambozi,
Wengi wenu lazima ni mashabiki wa picha za video za kikubwa. Nami nyakati fulanifulani nimekuwa nikisafisha macho.
Sasa kinachonistaajabisha ni staili na aina ya...
Habari wanaJF
Leo nakuja na swali.
Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa...
1. Huwenda wanaume wengi huingia ndoani bila kumjua kikamilifu mwanamke ni nani.
2. Wanawake pamoja na mafunzo mbali mbali wanayopitia bado hayajawafanya watambue mwanaume ni nani zaidi...
Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo...
ninaposema wanaume wa shoka namaanisha wanaume wale magiant,wanaojua kupiga kazi hasa,sio wale wanaoshindia kwenye dressing table na kula chipsi mayai.
list yenyewe ndio kama ifuatavyo
1.Mara...
Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA.
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea...
Habarini wakuu.
Naomba niwa shirikishe kisa kimoja cha kuchekesha na ajabu sana.Kuna wanawake wengine wako desperate na ndoa hakuna mfano in such a way wako mawindoni 24/7.About 3 years ago one...
WaKuU hamjambo Aisee....mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni.
Moja Kwa moja kwenye lengo, kuna Duka Fulani huwa napenda KWENDA kununua vitu vya home mida ya jioni na mara nyingi huwa namkuta...
First of all poleni kwa wote mlio pitia tabu hii ya kufamania wenzi wenu. Maisha itabidi yaendelee, natumani mnaendelea vizuri.
Mara nyingi haachwi mtu salama, Mwanaume/Mwanamke lazima afanye...
Naomba wale wenye uzoefu wa kuwa kwenye mahusiano na wanawake wenye ugonjwa wa kunuka kikwapa wanisaidie mbinu walizotumia kumsaidia mwanamke wa namna hii. Nina demu wangu kiukweli nampenda na...
Habari ndugu zangu poleni kwa kichapo cha timu yetu ya Taifa
Moja kwa moja niende kwenye mada
Binafsi naamini kwamba kwenye maisha ya mahusiano hasa ya kimapenzi kuna baadhi ya watu ukiwa nao tu...
Jamaa ana mchumba wake mkoani, mchumba akam-connect jamaa na boda boda wake kwa maelezo kwamba ni kijana mstaarabu sana,na muaminifu mno!
Basi jamaa akawa akisafiri kwenda kwa mkewe mtarajiwa...
hii imekaaje?
MASWALI MENGINE KUTOKA KWA WADAU:
Hi nimeleta huu uzi ,wapendwa tujadili sababu kubwa ya kuleta huu uzi je nisawa kwa mwanaume kupiga magoti mbele za watu haswa ndugu zako na...
Mabaharia wenzangu najua mpo salama kabisa na mnaendelea kulijenga hili taifa letu pendwa ili tupate maji na umeme wa uhakika bila kuitoa CCM madarakani.
E bhana niwe muwazi nishakutana na pisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.