Kwa ukweli mke wangu kaaamua kuniacha na kuondoka kwenda kwao .
Ni mkasa mrefu sana ila tatizo sio kuenda kwao tatizo ameindika na watoto wangu 2 mmoja miaka 7 na mwengine 3 nimemuambia anipe...
Moja ya dalili za mwanaume aliekomaa kiakili ni yule ambae mtakosana kwa jambo dogo lakini baadae atakupigia simu na mtaongea hatakasirika siku nzima ..
Kwa sababu anajua yeye ni mwanaume ...
Ni kwa mujibu wa mSaikolojia Dr Satoshi Kanazawa
Mwanaume ambaye humasaliti mke, mpenzi au mchumba mara ngingi huenda akawa kati ya watu wenye akili ndogo sana (Lower IQs) Hii ni kwa mujibu wa...
Salaam
Kutokana na sababu mbalimbali zilizo nje ya uwezo wangu, kuna haja ya kuwa na wake wengine hata wawili au zaidi. Najua kila mtu ana kasoro zake akiwemo huyu niliye nae.
Kasoro za aina...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo, me kijana wa hovyo niko na swali
Hivi inawezekana kweli kwa kijana wa kiume kujipatia mademu zaidi ya mmoja ndani ya wiki moja?.. Yaani kutengeneza uhusiano na...
I hope mko poa humu,jana katika harakati zangu huwa napenda kuongea sana na watu wapya.Basi, kuna sehemu nikawa nimekaaa na kijana mwenzangu tukawa tunapiga stori mbili tatu.
Katika mazungumzo...
Sasa hivi kumezuka mtindo wa wanawake kutugeuzageuza Kama tunachomwa sisi ni chapati. Mahitaji yao ya kuridhishwa kingono na kimaslahi yanaongezeka na kubadilika kila kukicha. Zamani MAPENZI tu...
Habari wandugu,
Hii taasisi ya ndoa naona inahitaji maboresho makubwa kuendana na wakati kwani kwa sasa mitazamo na tabia za watu zimebadirika sana.
Hivyo kubaki na taasisi yenye misingi ile ile...
Una umri wa kutosha wa kuwa na rafiki wa karibu wa jinsia tofauti. Ungependa kumpata mtu anayevutia na aliye na imani kama zako za kidini.
Hata hivyo kila mara unapojaribu kuanzisha uhusiano...
Mimi ni mmoja kati ya watarajia wa kufunga ndoa 2022 ila mpaka sijui life litakuweje maana sina kibarua cha kueleweka , mahali bado sijajua ukweni wataniambia ngapiii nitoe
Kuhusu gharama za...
Utafiti uliofanywa na Oakland University unaeleza kwamba Watu wanaowageuza Wapenzi walioachana nao (Ma- EX) kuwa Marafiki zao wa karibu mara nyingi huwa na uwezekano mkubwa wa kuwa na matatizo ya...
Moja ya mambo ambayo nimekuwa nikiyapinga na kuyakemea kwa ukali ni hili la ushoga. Hivi inakuwaje mwanaume kamili kumtamani mwanaume mwenzio?
Unapataje hisia na kumchakata mwanaume mwenzio?
Ni...
Uhusiano Imara na wenye nguvu sio tu unakufanya kuwa Binadamu bora bali pia husaidia kukuimarisha Kihisia. Wakati wa kujenga uhusiano na Watoto wako, waambie unawapenda mara kwa mara
Ni muhimu...
Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex.
Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani.
Mtazame Aunty...
Posa ni kitu chenye thamani ambacho hutolewa katika familia ya mwanamke na kundi la watu wenye lengo la kuthibitisha uwepo wa ndoa kutoka kwa mwanaume.
Katika karne hii ya 21, kundi la wazandiki...
Habari Wana JF?
Kiufupi mimi ni baba wa familia, nimejaliwa mtoto mmoja. Twende moja kwa moja kwenye mada.
Nyumba ninayoishi nimepanga wapangaji tupo wanne hakuna bachela, sasa kimbembe kuna...
Sitaki tena vurugu za mapenzi.
Ntajihamasisha kuangalia vitu vyengine zaidi, mapenzi nitawaachia magwiji. Sitaki tena kuutoboa moyo wangu kwaajili ya mapenzi,fujo nilizozipata mwaka huu 2021...
Zamani wanawake wenye vitambi nlikua sina hata mzuka nao, nikishakuona mbele umevimbavimba tu unakua tayari umeshanikata stimu, sijisumbui hata kuomba namba ila sasa hivi upepo umenigeukia.
Yaani...
Mwanamke akinipendea urefu, macho, sura naona sawa kabisa, ila akiwa na mm kwasababu anaona nina vijisenti kadhaa, sio siri roho yangu huwa inajisikia vibaya Sana, na huwa nakereka nikigundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.