Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
READER DISCRETION IS ADVISED Wivu wa mapenzi kwa sasa tunaweza kulinganisha na ajali za barabarani kama vyanzo vya vifo kwa ndugu, jamaa na marafiki zetu. Serikali inafanya Jitihada kudhibiti...
1 Reactions
2 Replies
717 Views
Faida za kujamiiana 1.Kuwa na mpenzi ambaye ni rafiki yako ni jambo zuri sana katika mahusiano. Kuwa katika mahusiano pasipo kufanya mapenzi na mwenza wako ni kama tu kuwa na rafiki yako...
12 Reactions
22 Replies
13K Views
Tulianza vibaya mwaka mpya na Ma msapu. Kisa kidogo tu nilimwambia sitoweza kumsaidia jambo ambalo yeye aliona ni muhimu nami nikasema sio kama vipi nipe muda.Alikasirika akaniambia hiyo ndio...
7 Reactions
32 Replies
5K Views
Hello wanaume wenzangu kokote mliko. Nawaasa sana kokote mliko Kama una familia ama hauna unaweza kuwa nayo after some time Kuna vitu katika haya maisha si vya kuweka katika miliki ya mwanamke...
17 Reactions
44 Replies
4K Views
Kuna vitu viwili napenda niviongelee hapa. 1.EMOTIONAL CONNECTION 2.CHEMICAL BOND Sasa lengo la kuwa romantic mwanaume kwa mwanamke ni kutengeneza EMOTION CONNECTION, sasa what does it mean...
10 Reactions
43 Replies
8K Views
Nashangaa hivi UKIMWI upo kweli au ni story tu? Mimi kwa kuuza Mechi ni hatari, nimeuza zaid ya mechi 30 za ugenini na nyumbani, za angani na kitandani, Nikaamua tu nipime Nimejikuta safiiiii...
0 Reactions
111 Replies
20K Views
Habari humu ndani? Kwa kweli ashukuriwe sana alieanzisha JF Maana kuna muda unatamani kuongea you dont know mtu wa kukusikiliza. Ila JF inasaidia sana kufanya wengine tutoe yanayotuumiza mioyoni...
37 Reactions
199 Replies
12K Views
Mimi si mwanachama na mchangiaji sana huku MMU, lakini hata bubu aking'atwa ataongea hata neno. Huku kuna walimwengu wa maisha halisi ya kibantu. Hadithi ni ndefu lakini nitaifupisha. Nina mke na...
23 Reactions
257 Replies
20K Views
Huu ni ukweli bila chenga kwamba mwanamke anataka VYOOOOTE MAPENZI, CARE, ATTENTION, SIM NZURI, GARI ZURI, MUDA WAKO, KUBEMBELEZWA...... Mwaka anayaweza kwelikweli
8 Reactions
123 Replies
7K Views
Inawezekana wakati unamuoa/kuolewa naye ulikuwa na mategemeo lukuki ambayo kwa bahati mbaya huyaoni katika Manisha halisia ya ndoa! Umewahi kujiuliza kama unatimiza mategemeo yake kwako ya kabla...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanawake tunawapenda. Wanatupa mazuri mengi, wanatufariji, wanatutia moyo kusonga mbele, wanatupa utamu kila tunapotaka kwa kweli viumbe hawa wanatufaa sana sana bila hawa sijui tungeishi vipi hua...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu mimi kwakweli nakrekwa na tabia ya mke WANGU. Yaani mke wangu ni mchoyo na ananifanyia uchoyo Hadi Mimi mtafutaji. Muda wa kula anataka kila mtu ale kivyake kama mboga ni nyama...
11 Reactions
66 Replies
5K Views
"Sababu zinazopelekea wazazi kutoelewana na wakwe zao, ni pamoja na matarajio ya pande zote mbili, wazazi wengi wamekuwa wanatarajia wakwe zao wawe na mwonekano fulani au na tabia fulani."...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Jamani naombeni msaada juu ya hili swali. Baba mzazi kumnunulia binti wake pedi hii imekaa sawa kweli?
3 Reactions
56 Replies
4K Views
Una mtu wako hujamuoa ila mpo mna muda mrefu ila umemchoka kabisaa Ila anakupenda sanaa kias kwamba umejarib jaribio la kwanza la kumuacha imeshindikana yaan. Amekua hadi depressed kabisa .kula...
15 Reactions
124 Replies
8K Views
1. Hug them. 2. Write a love note. 3. Call them at work just to say "Hi." 4. Give them a foot massage. 5. Tell them a joke. 6. Caress them with slow gentle strokes. 7. Go for a walk with...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
WOMAN & LOVE What really makes a woman to love a man? In case of emotions, it is infatuation. In case of economic stand, it is money. In case of loneliness, it is company. In case of...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema,bila kupoteza muda,ni mbinu gani ulitumia kula tunda kwa mwanamke/msichana uliyemtongoza kwa muda mrefu bila ya mafanikio? Binafsi nilitongoza demu kwa muda wa miezi 3...
17 Reactions
55 Replies
12K Views
Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia...
19 Reactions
84 Replies
12K Views
Heri ya mwezi mpya, ni jambo jema kuiona siku mpya na mwezi mpya. Kuna hii tabia ya vijana wa kiume kuogopa kutongoza hasa kwa kuhofia kua watakataliwa. Kwanza ni kosa kuhofu au kua na mawazo ya...
12 Reactions
36 Replies
10K Views
Back
Top Bottom