Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Mfano anakitabia cha kupika na kula kivyake, nikirudi toka mihangaikoni yeye anapakua na kubwaga mezani na kudai hali ameshiba yani nile mwenyewe. Ukimwambia sogea japo unisindikize kidogo...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Naandika kwa uchungu sana.. Yapata muda mrefu sana nilikua na mpenzi wangu na nilitarajia kumuoa hivi karibuni, ila kabla ya kuoana tulikua tunatafuta mtoto na nilitoa unabii mtoto wa kwanza...
9 Reactions
91 Replies
9K Views
Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Wapendwa leo nimekutana na changamoto wife kanionyesha sms zote jinsi tulivyokuwa tunachati na mchepuko. Kilichonishangaza ndo hicho make sms zote tulizochat nilidelete kwahiyo nimeenda home...
10 Reactions
130 Replies
15K Views
If you're in a relationship, odds are you spend a fair amount of time with your partner. Whether it be going out to dinner or seeing a movie together, or just hanging out in the living room...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hivi hii ipoje? Mimi ni mwanaume ambae mungu kanijalia muonekano mzuri kidogo pia najipenda sana kimavazi sasa kiukweli mimi haipiti wiki bila kutongozwa na mwanamke imefikia kipindi mimi...
5 Reactions
53 Replies
7K Views
Nawasalimu wote. Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu. Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila...
71 Reactions
224 Replies
15K Views
Hellow JF Ninajua humu wote tumepitia penzi jipya na huwa lina raha yake ya kipekee kabisa bila ya kusahau hakuna kitu chenye mazuri tu vipi kuhusu vile vilivyokuwa vinakuboa tena yawezekana sasa...
3 Reactions
92 Replies
8K Views
Nimefanya uchunguzi sio rasmi kwa wamama wawili watu wazima Waliodumu Kwenye ndoa kwa miaka zaidi ya 20 Mmoja akiwa na watoto na Mwingine akiwa na watoto na wajukuu Kabisa, Wote story zao...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu habari za wakati.....! Unaambiwa kwa mwenzako sikia ila omba yasikukute, Mimi yamenikuta na ni kitu ambacho sikuwaza.....! Iko hivi Nina mwanangu wa kike kamaliza kidato cha nne mwaka huu...
12 Reactions
115 Replies
7K Views
Leo naomba niongee na wanaume wenzangu. Kwanini sisi wanaume hatupendani? Tunawalaumu wanawake kuwa hawapendani ilihali na sisi pia hatupendani. Nitaeleza kwanini nasema hivi. Unakuta mtu kwa...
5 Reactions
13 Replies
3K Views
Moja kati ya vitu vinavyowavutia wanaume kwa wake zao ni mapishi. Mke ukiweza kumteka mumeo katika suala la mapishi, mumeo hatokuwa na sababu ya kutokula chakula unachokipika, lakini pia atakuwa...
9 Reactions
20 Replies
2K Views
*Fahamu maisha ya ubachela* Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja...
84 Reactions
242 Replies
28K Views
Hii kitu ni mbaya sana kwa wanawake, kwa ufupi nimegundua ndoa nyingi zina mifarakano mikubwa na wenza wengi wanaishi ili siku zisonge tu. Hisia na kujaliana kwa wenza wengi hakupo tena, wanaume...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa wale wataalamu wa masuala ya jamii ni sababu ipi inapelekea watu wasiojamiiana kuonekana kama sio wanajamii bora
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Jamani mambo zenu, Niko katika wakati mgumu Mimi ni binti wa miaka 29 kwa sasa, nimempata mwanaume ambaye tulipanga mengi sana hadi kupanga jinsi ya kufunga ndoa, Mwaka fulani niliingia kwenye...
17 Reactions
285 Replies
23K Views
Wakristo wengi au watu wengi tumekuwa tunaiga mambo mengi bila kutafuta kujua nikifanyacho ni nampendeza Mungu au ndio fashion tu za kila Siku kuiga?? Wengi watasema mbona wanandoa wanavaa Pete...
3 Reactions
60 Replies
24K Views
The Scents of Seduction Bring the passion in your relationship to a new level by introducing scents that evoke powerful sensual feelings. Below is everything you need to know about using smells...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari zenu wazee wenzangu? Iko hivi, kuna binti mmoja alikuwa mtu wangu back then. Sasa kutokana na harakati za maisha tukajikuta tumeachana, sema toka tuachane hatukuwa na ukaribu kivile. So...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu,ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha. Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau...
0 Reactions
2 Replies
434 Views
Back
Top Bottom