MWANAUME atabaki kama alivyo na atazid kuwa juu ya mwanamke miaka yote kama vitabu vya Dini vinavyosema.
MWANAUME atazid kutongoza wanawake mbka atakaporidhika wa kuwa nao.
Mwanamke hta uwe na...
Kwema wakulungwa?
Kuna kabinti shemeji yangu niko naye karibu sana. Mishe zake zote ananiambia na mimi ndiye mshauri wake mkuu.
Kila nikitupia nyavu kimasihara anagusia kuwa anamwogopa dada yake...
Nimeanza mwaka nikiwa single.
Niliamua kuachana nae rasmi usiku wa mwaka mpya baada ya kuvumilia mwaka mzima. Jamani upweke nyie ni noma😞😞. Mbaya zaidi sijakaa vizuri nikaibiwa simu, natumia...
Wanajukwaa heri ya kumaliza mwaka 2021 na Mungu awajalie tuweze kuona mwaka 2022.
Wakuu nisiwachoshe mimi nina mchepuko wangu ambao umenipenda kupindukia hata sijui nieleze vipi na huu ni mwaka...
Kwa mara ya kwanza tangu kujulikana kwa Taifa la Tanganyika na baadae Tanzania. Hakujapata kutokea rais mwanamke
Kama bahati ya mtende Mungu kawashushia mana. Nyota ya jaha imewawakia! Ni wakati...
Habari wakuu!
Kuna jamaa yangu amenipa kisa kilichomtokea nibaab-kubwa, na anaomba mawazo mbadala au kama yeye yuko sahihi pia aendelee.
Mwaka juzi alikuwa mkoa wa Mara akifanya kazi kama...
Nini mtazamo wako juu ya mpangilio wa majukumu yahusuyo fedha kwa familia yenye mume, mke watoto na hawajajenga. Ishu za matumizi ya nyumbani, ada, malengo ya ujenzi n.k
Kumekuwa na kelele nyingi kwenye mahusiano; wengine wanasema bila hela hawataki mahusiano, na wengine wanasema bila kuridhishwa hawataki mahusiano. Sasa leo; naomba mtupe majibu, kwa sababu kuna...
Nilikua na washkaji wengi kabla ya kufunga ndoa na ndugu wengi nilikua nawachangia sana kwenye misiba na harusi lakini Mimi nilivotangaza ndoa wakaniunga mkono muda ulipofika nikipiga cm wana...
Akizungumza 'mubashara' kabisa katika Kipindi Bora kabisa cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kinachoruka kila Siku za Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu asubuhi hadi Saa 4 Kamili asubuhi...
Kumekuwa na matangazo mengi ya kutafuta wenza/wachumba siku za karibuni kupitia majukwaa mbalimbali. Sifa zinazoainishwa kwa muhitaji, mojawapo ni kipengele cha kazi; atasema anataka mwenza...
Mimi nimeoa na mke ila nimekutana na mdada nae ni single mother tulianza mahusiano yapata mwaka sasa, ananipenda sana ila naona mwisho sio mzuri, coz kwanza anapenda sana sex, sasa kwa maisha...
Kwema wandugu
Kuna mwanamke kusema cha ukweli nilikua nampenda saana. Siku moja nikamuambia yangu ya moyoni akanitamkia wazi wazi nanukuu:
1. "kuwa wewe sio type yangu huwezi kuwa na mwanamke...
Wakubwa kwa wadogo salama?? Poleni na majukumu ya kusaka tonge, panapo majaaliwa tunapata wasaa wa kukutana humu jukwaani na kushirikishana mawili matatu.
Ni kama miezi miwili imepita nimetokea...
ANGALIZO: KAMA HAUJAOA AU KUOLEWA PITA KIMYA KIMYA TU, HAIKUHUSU!!
Upotofu huu umechagizwa na watu kutaka kupiga pesa!! Wanaume wanaaminishwa kuwa hawana nguvu za kiume kwa kuwa wanafika kileleni...
Yaani sijui ameshajua kuwa napenda gogo? Ila sikuwahi kumuambia hili. Ni mjamzito ila ni week ya pili hii nimekuwa napiga show abnormally, yaani kila akivua natamani, napoteza bao tatu mpaka nne...
Imekuwa kawaida kwa wake kuwalaumu waume zao eti hawawafikishi kileleni!! Kufika huko ni jitihada zenu pia! Jipange kisaikolojia mapema kwa masaa mengi kabla ya tukio.
Mpende mumeo, mtafakari...
Bibi Cheryl McGregor mwenye miaka 61, watoto 7 na wajukuu 17 anapanga kupata mtoto mwingine kwa njia mbadala ya kupandikiza (surrogacy pregnacy) na mume wake Quran McCain mwenye miaka 24.
Wawili...
Kama miaka 10 iliyopita hivi nilipata safari ya kikazi kwenda huko mbali kwa muda wa miezi sita. Kwa sababu ndoa yangu ilikuwa bado ni changa, nikaona nimtafutie majukumu mazito mama watoto wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.