kufurahisha. Na leo tunaonyeshana baadhi ya tafsiri hizo.
Ndoa ni kumuita mwanamke aje atumie pesa zako, kisha aone haitoshi, azae marafiki zake ili washirikiane kula pesa zako zaidi.
Kisha...
Wadau,
Nimeoa baba wa watoto 07 na mke1.
Katika kipindi miaka 02 iliyopita tuliingia kwenye mgogoro na mke wangu.
Sababu kubwa alipoteza uaminifu na mimi.
Hii ilitokana na aina yangu ya maisha...
Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya...
Habarini wakuu,
Mimi si mwandishi mzuri lakini naomba tusaidiane katika hili.
Naomba nianze na visa kama viwili nilivyokutana navyo siku za karibuni
Wiki mbili zilizopita,
Wakati nipo...
Wachina hawaishiwi mambo,
Kuanzia enzi za Kwenye kope feki, matiti feki, mimba feki, kucha feki, tako feki, hips feki, miguu feki, macho feki,nywele feki.
Sasa Ni awamu ya UKE FEKI.
Ikiwa Ni...
Watu wengi wanaingia kwenye ndoa kwa matarajio kuwa maisha ya ndoa ni raha mustarehe. Mnaelewana na mwenza wako nae atakua rafiki yako.
Ukweli ni kuwa, ndoa ni box tupu, unahitaji kuwekeza ili...
Habari za jumapili wakuu?
Nipo hapa na wazee wangu ambao walikuwa mabaharia hapo zamani (walistaafu ubaharia kutokana na umri pamoja na kipato kuwa limited), tukipata moja moto moja baridi huku...
Habarini wana jf
Kama mnavyojua ukiwa baharia hauchagui pakulala.
Tokea Jana kama vile sielewi elewi na hii nibaada ya kuchuniwa na vibint vidogo vinne vilivyo maliza 4m4 mwaka uliopita amakweli...
Kijana wetu wetu alimaliza shahada yake ya uzamili ya ufundi. Alipata ajira za muda mfupi hapa na pale, aliitwa Rwanda, Botswana na kuna wakati alikaa miezi kama mitatu akisaka ajira.
Kuna siku...
Huu msemo unaosemwa na watu, kuwa maisha yanaanza ukiwa na miaka 40, una maana gani wakuu? Kwa sababu mimi nipo nipo tu, na nipo kwenye hiyo miaka na sijielewi elewi?
Karibuni kwa ufafanuzi.
Kuna vitu vingi katika maisha ya uhusiano, uongeza thamani ya mahusiano. Kutokana na kutokujua vitu hivyo, unakuta watu wengi wanakuwa na migogoro isiyokuwa ya lazima katika mahusiano yao.
Mfano...
Habari za jumapili wakuu, nina muda kitambo sijaonekana kuandika jukwaani ni kwa sababu nakuwa sina cha kuandika japo huwa naingia na kusoma threads za watu, hiyo ipo hivo.
Ila leo nimekipata cha...
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda...
1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake
2...
Natumaini humu wote ni wazima wa afya na kazi inaendelea kwa jina la jamhuri.
Hii ni kwa vijana wenzangu wapambanaji, kamwe usiruhusu mwanamke/msichana ambaye baba ake ni maskini hajiwezi kwa...
Anyone who lives alone and manifests no longing to be in a relationship is – in our times – almost automatically (though more or less secretly) viewed as both pitiable and deeply troubled. It’s...
Kabla naomba kuwashauri wanawake kuweni wa kweli hata ukimwambia mtu kuwa una mpenzi na ukaingia nae kwenye mahusiano sio mbaya kuliko kudanganya na kumtesa mtu moyo wake. Siku anakuja kujua...
HUYU DADA ANAOMBA USHAURI
Jamani naombeni ushauri wenu, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa tatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikua na mpenzi wangu, ni...
Unaempenda hakupendi au anakupenda kwa manufaa yake binafsi. Anaekupenda unamuona si wa hadhi yako.
Unapokutana na anaekupenda kwa dhati na wewe ukampenda kwa dhati, Kuna jambo litatokea mnaweza...
Leo niko huku kwa mtindo huu, ila nasikia leo ni siku ya kina mama (Wanawake) duniani maana yake siku zilizobaki ni zetu sisi kina baba, yaani kwa thamani na nafasi ya mwanamke ambaye natakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.