Wale mliokataliwa kwanza halfu baadae mkakubaliwa tupeni experience zenu. Unakuta unampenda demu. Ukimtongoza anasema yeye ana mahusiano . what should be next. Uendelee kuinsist ama uchomoe!
Kwanini wanaume mnatuumiza wanawake hisia zetu, najuta kupenda. Nilikua na mwanaume nilimpenda haswaa na ndiye mwanaume wangu wa kwanza, nina miaka 30, tatizo la huyu mwanaume ni malaya sanaa...
Nilikuwa na mpenzi ambaye ninamtoto nae na sasa ana mimba , tuliishi na mpenzi wangu katika ugomvi wa mara kwa mara ila nilijua ni mapenzi ndo yalivyo.
Mi ni mfanyakazi wa selikari niko bize...
Anatafuta mfanyakazi na anapiga marufuku wanawe HATA wa kike kufanya kazi yoyote, mtoto wa kike analelewa kimagharibi unakuta:
Hajui hata kufua chupi, chupi yake ya ndani anampelekea mwanamke...
Wadau mpoo! Kila la kheri kwa kila jambo na pole sana kwa wenye changamoto.
Moja kwa moja kwenye mada, kuna jamaa ana mke na wana mtoto mmoja, mke wake amekuwa mwiba kwa kuongea sana na kumzodoa...
Habari wana MMU na JF as whole,
Kutokana na malalamiko ya baadhi ya members na mimi mwenyewe kuunga mkono malalamiko hayo nimeomba kwa mkuu Invisible katika thread ya Ngabu kuweza andaa thread...
SITASAHAU (simulizi ya kweli)
NA
NIHZRATH NTANI (+255713414189)
Leo nimeamua kuelezea stori hii. Nataka jamii ijifunze kupitia tukio hili lililonitokea miaka mingi iliyopita...
Kwenye mahusiano kama mtu huna mipango nae au huna imani naye usidiriki hata siku moja kukubali kufuliwa nguo au kupewa chakula na mwanamke/ ambae ni mpenzi wako au unafahamina nae tu, kwa maana...
Habari wana JF.
Ninaomba ufahamu ili niiokoe ndoa ya watu.
Wiki iliyopita nilimtembelea dada yangu anayeishi Dodoma mjini - Chang'ombe Extension.
Yeye na MR. wake na watoto 2 wana chumba na...
Nimejiuliza sana swali hili lakini sijapata jibu.
Nimekuwa na wapenzi ambao hupenda kusafiri muda wa jioni sana ili afike aendako usiku.
Wa kwanza tuliachana nae kwa sababu nyingi.Huyu niliye...
wakuu umofia kwenu? kuna mdau wangu anataka kuoa bank teller ila anasita sana kutokana na tabia za baadhi yao.
Je wakuu mademu ma bank teller wana sifa gani katika mahusiano..
Je, ulishawahi kwenda na mwanamke gest au geto na kulipa gharama zote ikiwemo chumba, chakula, nauli n.k alafu akakataa kukupa penzi kama mlivyokubaliana?
Ulichukua hatua gani au utachukua hatua...
Wakuu heshima kwenu, Mwenyezi Mungu awatie nguvu katika yote mnayopitia zaidi neema yake ikawe juu yenu.
Jana yamenikuta kijana mwenzenu, Shemeji yenu mtarajiwa anafanya kazi ofisi moja na...
Siyo maneno yangu miye Mzee Mtambuzi bali ni utafiti wa hivi karibuni.
Katika jarida la Health Psychology la hivi karibuni linaripoti kwamba, mwanamke akifiwa na mumewe, kama walikuwa wakipendana...
Habari za mchana wakubwa kwa wadogo. Ni matumaini yangu kwamba hamjambo wote humu ndani na manaendelea vyema katika utafutaji wa ridhiki.
Wakuu bila kupoteza muda naombeni ushauri katika hili...
Mimi ndio yule ndugu yenu nilie waletea ule usi kuwa Sasa naachana na wanawake wote pamoja na ngono zembe baada kupimwa na kuambiwa nipo fresh , na kuamua kuelekeza mashambulizi kwa wife tu kuwa...
Ni miezi 5 sasa tangu niwe nae na anadai ananipenda japokuwa kiuchumi siko vizuri...😢
Ila kila nikiwaza sehemu anayofanyia kazi (bar, club) ambayo hakukosekani wale watu ambao hela hazina kazi...
Habari zamihangaiko wanajamvi wenzangu,wasalaam,binafsi nimekua nikishangazwa najinsi ambavyo ndugu wadamu au waukoo,kipindi cha kisoma/kutafuta maisha wakati mkiwa wadogo au vijana ambao...
Daaah aisee hapa mtaani kwetu kuna jamaangu mmoja tozi sana anapenda kupaka breach jamaa anawala mademu sana kila kukicha bila kuwapa hela kuna demu mmoja ni rafk angu aliniambia dah yule jamaako...
Hu ni mpango wa Mungu au ndio nakosea tena mara ya tatu? Baada ya kupata maumivu ya kwanza tena na ya pili ya natokea haya:
Kwa muda mrefu nilikuwa na workmate wangu ambaye alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.