Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari...
Niende kwenye mada
Nimekerwa sana na tabia yangu, na naendelea kuomba Mungu nimudi kuepuka mahusiano haya.
Nimefanikiwa kumtaka tukae mbali na mambo ya kipuuzi tuliyoanzana. Wakati wa hagaiko la...
Wana jf
Wanawake wapenda vituko aubwanaofanya vituko vya kushtua ndio wanawaniwa sana na wanaume. Sasa unakuta aliyefanya na Fanta au milinda anatafutwa sana mbali na kufanya ufilauni...
Huyu manzi wangu nampenda sana lakini tangu alijue kanisa la Efatha imekuwa nongwa, muda wote yuko bize na vikao vya kanisani hta mzigo sipewi kabisa this time.
Nimejaribu kumtia mikwala but...
Utajuaje kuwa ni kubwa au ndogo? Obviously ni kwa kujipima....lakini wanaume wengi wanapenda au hata kujisifia kuwa wao ni wakubwa, wakidhani ni moja ya sifa au hitaji la muhimu la wanawake...
[emoji109] JF mambers!
Mwanamke mwerevu akikupenda, anakuchunguza upo vipi!? Unapenda ujinga ujinga au hupendi!
Vile ulivyo, kama unapenda ujinga ujinga anakuja kwa staili hiyo hiyo ili...
Mnisamehe sana kama kuna makosa ya Kisarufi /Maana Kwenye Lugha yenu. si mwandishi mzuri sana
Habari zenu
Yupo Ndugu au Mdogo wangu japo si wakuzaliwa nimejuana nae toka 2004 kipindi nipo...
Naomba kwamba kuwapa heshima wanawake wote mnaosoma hili bandiko.
Naomba kukiri kwamba wanawake ni viumbe wema sana, sana. Sehemu kubwa sana ya matatizo ambayo wanawake wanasemekana wanayo...
NDUGU zangu, Mimi Ni kijana wa miaka 22... Nasoma chuo Fulani hapa Dar es salaam.
Nina msichana (demu) zaidi ya mmoja ninao kwenye mahusiano kwa muda tu bila ya wao kujua..
Tatizo Ni kwamba wao...
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua...
Wazee kweny harakat za kutafta maisha nilishawahi kuishi sehemu tupo na wanawake pamoja ila haturuhusiwi kuwa na mahusiano kabisa ya kimapenzi Sheria zilikuwa kali mno na hakuna ruhusa ya kutoka...
Igweeeee
Kwanza nipongeze kwa huduma bora.
Nakuomba mnamo tarehe tatu mwezi january nilikuja ulinifanyia vipimo vya xray kwa weredi mkubwa nimdada mweupe mnene kiasi ulikuwa umevaa kigauni min...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni.
Moja Kwa moja KWENYE kisa siku ya KRISMAS Nilikuwa zangu sokoni asubuhi nimeenda kuhemea madiko ya sikukuu maana wife ana Mimba na inamsumbua kidogo...
Mambo yamekua sio mambo asubuhi ya Leo tarehe 5 nikiwa nakunywa chai nasikia makelele kwa jirani na sauti za kuomba msaada. Basi Kama ilivyo ada ya watanzania tukaenda na wife kuangalia Kuna Nini...
Nakitafuta hicho kitabu mazee na je kimeandikwa na nani, mapenzi yatatuua mwaka huu maana huyu demu ni muarabu sasa nataka niipeperushe vyema bendera ya Tanzania.
Naipenda sana nchi yangu na siko...
Habari.
Kichwa cha uzi ni maneno ya mstari mmoja wa nyimbo ya Ngwair ft Mwana FA & Lady Jaydee unaenda kwa jina la Sikiliza ambayo ilitoka miaka ya nyuma ila kama umetoka jana.
Leo...
Vipi imewahi kukutokea hii, yani ulikuwa unampenda sana mtu Then hakukuoa/hakuolewa na yeye. Akaja akaoa/akaolewa na Mwingine kabisa?
Kuna vitu vinaumiza sana sio siri.
Nani ni kama mm ambaye aliempenda mtu kwa dhati tena upendo wa KIMUNGU ambao hauwangalii sura , rangi, tabia ,kabila, na hata pesa lkn pamoja na upendo wote ulionyesha kwake yy anachukulia easy...
Members,
Mimi ni baba wa familia yenye watoto watatu. Mimi na mke wangu tunapendana na kuenjoy sex life as usual.
Ila nimeingia kwenye mtego wa penzi la mdada Mmoja. Yaani hilo penzi ni hatari...
Habari wakuu..
Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.