Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ni njia inayotumika kuzuia mimba, unapokaribia kumwaga unaichomoa umwage nje. mtoto wangu wa kwanza ndie alikuwa gharama ya kujifunzia hii njia nikiwa bado hata sijamuoa mama yake ambae ilinibidi...
3 Reactions
61 Replies
5K Views
Salaam wadau & wadada wa Jamiiforums Kwakwel wadada mumetuharibia kabisa maana halis ya mapenzi Ngono tofaut kbs na mapenzi, Mapenzi ni bora zaid ya Ngono Yani neno I love you sik hiz unajua...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Yaani naonekana mimi mbaya kwa kukataa mke wangu kwenda Machame? Nilileta nyuzi juzi kati hapa, na ninavyoandika hapa wife yupo Masasi anarudi Jumatano. Sasa kuna kaka zake wamenipigia simu...
37 Reactions
167 Replies
9K Views
Wakuu pole na majukumu... Kama mada inavyosema hapo " hamna mwanaume mwenye kibamia" Baada ya kuona hii trend ya dada zetu kujiingizia vitu huko sehemu zao vitu kama chupa za soda wengine chupa...
24 Reactions
43 Replies
4K Views
1. Katika mahusiano epuka kufanya investment yeyote kwa mpenzi wako ambae hujamuoa au kuolewa au Hamjapata mtoto 2. Epuka kumtambulisha mpenzi wako kwa ndugu au marafiki mpka ikitokea siku umempa...
15 Reactions
51 Replies
7K Views
Happ belated new year esteemed members of JF. Hope all is well with you and your family. As the title says hereinabove, let's mention at least five things which disappointed you in your...
1 Reactions
15 Replies
790 Views
Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Mtoto wa kwanza inavyosemekana ndio kila kitu kwa maisha yako ya hapo baadae. Inapotokea umechelewa kupata mtoto wako wa kwanza, huko mbeleni kuna changamoto kubwa sana za kimaisha zinaweza...
7 Reactions
117 Replies
18K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu. Kuna ndugu anahitaji ushauri kidogo mimi nimeshindwa cha kumjibu labda nyie mnaweza mkamsaidia kwa mawazo KIUFUPI Jamaa ana binti ambaye ana marengo naye, ila...
17 Reactions
96 Replies
6K Views
Wakuu habari za Leo! This is true story. Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja...
9 Reactions
61 Replies
5K Views
Tembea mkoa wowote, wanawake 98% utakaokutana nao wana uzuri wa dukani, aidha wana kasoro kwenye nywele au kichwa kibaya (chogo na komwe), hivyo huvaa mawigi (weaving) ili kujinusuru na aibu...
6 Reactions
19 Replies
951 Views
Habari ya usiku huu. Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja. Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika...
11 Reactions
251 Replies
12K Views
Umeumizwa? je umeumizwaje Ume-enjoy? kivipi. Umeacha au kuachwa? Binafsi huu mwaka umekuwa mzuri kwangu nime-enjoy sana, baby amenituza, amenipa mapenzi Kama yote, naomba na 2022 huwe ivyo...
18 Reactions
188 Replies
10K Views
Habari wadau? Husika na kichwa cha habari hapo juu. Napenda niende moja kwa moja kwenye mada. Hivi unadhani kuwa ni kwanini nyakati hizi wanaume wengi wamekumbwa na tatizo la upungufu wa nguvu...
2 Reactions
79 Replies
11K Views
Kabla ya yote busara na hekima zenu zinahitajika katika kulitatua hili. Mahusiano yao yapo katika hatua ya uchumba lakini dosari ni kuwa baba mzazi wa familia ya mtoto wa kike anavuma kwa...
9 Reactions
73 Replies
14K Views
•Bila shaka haipaswi kuwa siri baina ya wanandoa, lakini kuna baadhi ya vitu ambavyo mwanamke hapaswi kumwambia mume wake, hata kama wanapendana kiasi gani Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu...
5 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari za mwaka mpya Ukishakua jamiiforums basi elewa kwamba umezungukwa na marafiki wengi sana tofauti tofauti ni jambo la kujivunia kwa hakika Kijana mwanauume embu kuwa na uwezo ambao Mungu...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma...
13 Reactions
114 Replies
14K Views
𝗜 𝗸𝗻𝗼𝘄 𝗺𝗮𝗻𝘆 𝗴𝗶𝗿𝗹𝘀 𝗮𝗻𝗱 𝗹𝗮𝗱𝗶𝗲𝘀 𝗴𝗼𝗻𝗻𝗮 𝗯𝗲 𝗮𝗻𝗴𝗿𝘆 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝘁𝗵𝗶𝘀 𝗽𝗼𝘀𝘁 𝗯𝘂𝘁 𝘁𝗿𝘆 𝗹𝗲𝗮𝗿𝗻 𝗳𝗿𝗼𝗺 𝗶𝘁. 𝗚𝘂𝘆𝘀, 𝗵𝗼𝘄 𝗱𝗼 𝘀𝗼𝗺𝗲 𝗼𝗳 𝘆𝗼𝘂 𝗲𝘃𝗲𝗻 𝗰𝗼𝗽𝗲 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗱𝗮𝘁𝗶𝗻𝗴 a 𝗯𝗿𝗼𝗸𝗲 𝗴𝗶𝗿𝗹?𝗜 𝗸𝗻𝗼𝘄 𝘀𝗼𝗺𝗲 𝘀𝘁𝗶𝗹𝗹 𝗱𝗼𝗻'𝘁 𝘂𝗻𝗱𝗲𝗿𝘀𝘁𝗮𝗻𝗱 𝘄𝗵𝗮𝘁 𝗜 𝗺𝗲𝗮𝗻 𝗯𝘆...
29 Reactions
35 Replies
4K Views
Aisee ukishangaa ya firauni utayaona ya Musa. Kuna rafiki yangu mmoja dah, jamaa ana bahati sana yaani sehemu yoyote wakati wowote mkiwa nae lazima kuna kademu katamtokea. Hii imekaaje? Kweli...
4 Reactions
59 Replies
10K Views
Back
Top Bottom