Habarini wakuu, hivi ikitokea mnyama kajifungua kiumbe kinachofanana na binadamu kama picha inavyoosha hapo. Hiko kiumbe kinaachwa kiishi au kinauliwa.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums...
Habari wapendwa wana jamvi LA jf!
Kuna watu wanashangaa sana kuona MTU anatafuta mwenza jf!
Sijaju ni kwanini wanabeza kuwa mwenza wa jf ni mwenza kama wenza wengine tu unaoweza kukutananao...
Miaka kadhaa iliyopita kabla sijafulia nikiwa kwenye kilele cha ukwasi niliopoa binti mmoja mtoto mzuri sana ila mpekupeku.wale wanawake ukienda bafuni unakuta kaishasoma sms zako zote na...
Kunya Mara kwa Mara
Kulia Mara kwa Mara, ananyamaza huyu ,huyu anaanza , na vinalia vina sababu
Kula sasa kila baada ya masaa mawili uwalishe, yaan usiku unalala kwa kuegesha , utasikia...
Hakuna kitu ambacho huwa kinaniumiza sana kama hiki. Yaani huwa naumia sana, moyo wangu huwa na huruma sana ninapoona kuna mtu anaumia moyo kwaajili yangu na kwa namna yoyote huwa najitahidi kuwa...
Umepata namba ya mtoto mkali ukaamua kumrukia hewani. Mara ukakutana na swali hili, "Umepata wapi namba yangu?".
Wanaume wengj ni wahanga wa hii kitu. Je, uliwezaje kuliepuka au kulijibu swali...
Wanaume hawana uvumilivu kabisa mbele ya papuchi, so muweke mbali sana mkeo au demu wako na rafiki yako, otherwise utamegewa. Rafiki yako anayafahamu madhaifu yako mengi anaweza kutumia hayo...
1.Ukiona mwanamke wako sio mpiga story na wewe zaidi ya wewe ndio umekuwa ndio mpiga story ili kumfurahisha yeye lakini sio yeye mpiga story akufurahishe wewe
2.Mara nyingi mwanamke wako anapenda...
Kwa wale ambao walishaota wanakojoa na wakajikojolea ndo wanaweza kuelewa hicho kichwa cha mada!.
"Love is about flowing".
Mkikutana wawili mliokutanishwa na upendo wakweli hamuwezi tumia nguvu...
Heri ya mwaka mpya wanajamii forum, naomba ku share hii na ninyi!!!
Kuna mdada nilikuwa nampenda sana, nikaamua kumfungukia, akanikataa kata kata, ili kuepusha kale kauadui kanakojitokeza baada...
Mwanaume wenzangu katika dunia hii hakuna kiume mkatili ka upande wetu wa kushoto
Mwanamke akibadilika ni heri mbwa mwitu kuliko kiumbe hii. Kwann nasema hivyo yamenikuta mengi kwa hawa viumbe...
Leo niko mkoani kwa ajili ya mapumziko kabla ya kuuanza mwaka, ingawa nishaona wazi kabisa mama yetu Samiah keshazidiwa kete na watoto wa mjini na madume ya Magufuli.
Tukirudi kwenye kichwa cha...
Je , umewahi tafakar hili suala ukapata majibu??
Mwanzoni mwa Mapenzi , wapenzi hupendana, husikilizana na kuahidiana makubwa katika maisha ya mahusiano yao, wataitana kila Aina ya majina kama...
Habari.
Ni mpenzi wako, na kila mtu anajua status ya afya ya mwenzake. Wote kwa pamoja hamjaamua kuwa na watoto.
Lakini tatizo unakuta hapendi kutumia kinga hata kama anajua upo siku za hatari...
Malezi ya mtoto wa kiume bila kuwepo kwa father figure (baba yake, baba wa kambo, n.k) yamegubikwa na changamoto nyingi katika hiki kizazi ambacho tunashuhudia inatumika nguvu kubwa mno kuharibu...
Hapa nimekaa sebuleni nasoma nyuzi kadha wa kadha huku Jamii Forums Simu ya Mke wangu Iko pembeni. Mara ikaita akiwa nje, nikaona namba haijaseviwa nikauchuna Hadi ikakatika.
Ikaita Tena safari...
Wapendwa wangu naomba ushauri wenu ktk suala la kufika kileleni (kukojoa), nimekuwa nikihangaika sana tena sana kuhusu hili jambo nina miaka 10 kwenye ndoa yangu sijawahi kufika kileleni hata mara...
Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili.
Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.