Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu...
19 Reactions
44 Replies
4K Views
Huyu Mama wa mtoto wangu ana tabia ya kukataa vitu ninavyo mnunu lia mtoto wangu yeye ana taka niwe na mtumia hela mfano nime mnunulia mtoto wangu vifaa vya shule na baiskel nika mwambie nakutumia...
6 Reactions
92 Replies
5K Views
Unaweza ukaoa 'Malaika' halafu akaamua yeye kama yeye kugeuka na kuwa 'Shetani'. Hapo utajilaumu kwa lipi sasa kama sio kujinyanyapaa bure?. Ni kama vile Mungu alimuumba "Lucifer" akiwa safi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Wadau si nilileta kisa cha Mwanamke aliyewahi kunikataa? Basi jana kanipigia kaniambia huku analia kwa huruma, ana shida ya 100,000 anadaiwa kodi anapoishi, ili aongezee alipe. Nilishikwa na...
6 Reactions
42 Replies
2K Views
Wakuu, bila kupepesa macho Hawa Wanawake walobarikiwa miguu ya NGAMIA (CAMEL TOE) wamejaaliwa Sana kunako 6 kwa 6. Nikiongelea MGUU wa NGAMIA, (kwa kingereza-CAMEL TOE) namaanisha vile vitumbua...
11 Reactions
324 Replies
39K Views
Kama umedumu kwenye mahusiano, iwe ndoa au hata familia, jinsi unayoishi na mwenza au watoto wako. Tuambie unayo yajua leo ambayo yamesaidia kuboresha upendo, heshima na amani ndani ya nyumba...
31 Reactions
132 Replies
7K Views
Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani...
19 Reactions
51 Replies
6K Views
Wakuu habari za weekend..!! Leo nimekaa nikakumbuka zile story za redioni watu wanazosimulia mikasa ya maisha yao hasa Katika vipindi vya redio za CLOUDS na RFA,, sijui kama bado hivyo vipindi...
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Wengi tunakosea sana; unapotafuta mke hutakiwi kutumia nguvu kubwa ya pesa ama mali ili kumshawishi awe wako. Kutumia nguvu kubwa kumshawishi kwa mali/pesa ni kujitengenezea bomu litakalokulipukia...
9 Reactions
46 Replies
2K Views
1 – Love Them Intentionally What does it mean to love someone intentionally? It means to give thought and purpose to how we actively show love to another person, in this case, our kids. It’s not...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna muda huwa nashindwa hata kuelewa kama hawa ni wenzetu. Sizungumzii waarabu original wale wa Oman, Dubai, n.k ni hawa waarabu wa hapa hapa bongo wengi wakiwa machotara waliochanganyikana...
8 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwa mtu aliyezoea kuchepuka hawezi kuacha hiyo tabia kirahisi, kwa sababu kwenye mahusiano kila mmoja huwa na sifa ya kipekee ambazo hazifanani na mwingine; kuna mwingine ni mchangamfu sana...
2 Reactions
5 Replies
641 Views
Salaam wakuu, Nina hadithi ya kweli ningependa ku share nanyi. Ni kitu nimekishuhudia kwa macho yangu na kimetokea kuniumiza sana roho !!! Sumtyms huwa nikiwaza nakosaga na majibu kabsa. Ule...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Wakuu mimi ni mkazi na mzaliwa wa Dar es Salaam maeneo ya Tegeta, tatizo langu kuu mpaka nimekuja kuomba ushauri ni mke wangu kawakusanya ndugu zake na wazazi wake toka kijijini huko Mpwapwa. Yani...
43 Reactions
166 Replies
14K Views
Niende kwenye mada Moja kwa moja.....ndg kama Ilivyoandikwa ishini nao kwa akili. Katika suala hili kiumbe Ke anamambo ya ajabu na mwanaume wkt wote anamchwnganya sana. Siwez kuamini mambo ya...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wana Jamji forums Heri ya mwaka mpya.... Dhumuni la kuandika uzi huu ni juu ya tatizo linalonisibu katika kipindi hiki cha mahusiano yangu.. Mimi ni muathirika wa punyet0 kwa takribani...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Wanawake bwana wana vituko saana Leo ex wangu kanikuta na mpenzi wake wa sasa. Mimi sikujua kama huyo jamaa ndo boyfriend wake tulikutana tu kwenye mishe mishe zetu tu. Sasa leo nilikuwa kwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
The scenarios! The trendings! The chaos and the dramatic rhythm... The happening....!!! Mongers are on the verge of argonostic fusion, boring the long forgotten n muted moleholes.. WHO THE CAP...
5 Reactions
67 Replies
6K Views
Nimeamini mwanamke haaminiwi nimeoa mwaka jana mwezi wa pili kufika mwaka huu mwezi huu wa kwanza mwanamke kanitoroka kisa nilimgombeza kwanini hafanyi usafi ndani hajarudi kwao na sijui alipo hata.
22 Reactions
79 Replies
6K Views
Back
Top Bottom