1. Kusomesha mchumba
2. Kujenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke/mke wako.
3. Kuweka jina la mwanamke/mke wako kwenye umiliki wa mali.
4. Kutunza fedha kwenye akaunti ya mwanamke/mke wako...
Mwanamke akikupenda anakuwa na furaha, anakuwa anajivunia kuwa na wewe, na hujihisi furaha kuongea na wewe.
Hupenda awe rafiki wa rafiki zako na ndugu zako, uvipendavyo na yeye atavipenda...
Dunia imejaa upotoshaji.
Na jambo Moja ambalo limepotoshwa na kuzani kuwa ukimhudumia mwanamke na kumpatia pesa nyingi ndio silaha ya kumtuliza.
Huu ni uongo mkubwa na ndo maana Kila Leo Kuna...
Habarini wakuu i hope mko poa,
Aisee hivi karibu nimekuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi tumejuana facebook tukapeana no tukawa tunachart siku ya 1 ya 2 ya 3 nkamtongoza kakubali
Sasa huyu...
Habari, Nimekua na mahusiano na huyu binti kwa muda wa miaka mitatu sasa ila jana ameniambia maneno ambayoa yamenifikirisha sana na kunifanya nisipate usingizi jana.
Jana jmos asubuh tuliongea...
Chanzo cha kuandika haya ni utafiti wangu binafsi why nilikuwa naishia kamoja tu? Katika kuzunguka zunguka kwangu nikakutana kabinti fulani tukawa marafiki tukajihusisha katika mapenzi motomoto...
Yaani wadada wa siku hizi sijui wakoje, wanakeraaaa.
Unakuta dada mzuri ajabu, shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh, kuja mbele sasa, chevuuuu, tumbo hilo! Uzuri wote chalii!
Tatizo...
Hili halina ubishi tabu inayopatikana ni ya nguo kuchanika, hawa wanaojulikana mawifi inakuwa mtihani katika ndoa japo na wao huwa ni mawifi, yaani inakuwa hapaeleweki, embu wadada tupeni elimu...
Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable”...
Kuna aliyekupa warning uachane na mke/mume wake, na wewe ulipandisha mabega. Sasa baada ya kuwa short listed kwenye interview unakutana nae tena yeye ndiye final say.
Yamesha kukuta?
Kuachana, kuachwa na kuacha kupo kwenye mahusiano na ni kitu cha kawaida, ila wanawake mkiwa mnawaacha wanaume angalieni na maneno ya kuwaambia.
Wengi mnatumia maneno makali ambayo yatafanya mtu...
Habari wakuu.
Mimi ni mtu mkimya sana kitaa sina hata marafiki wengi. So mambo mengi yanayotokea huwa nasolve mwenyewe tu na mara nyingi yanaisha.. lakini hili naona limenikaa sana na sina wa...
Kwanza niwatakie mwaka mpya wenye baraka tele.
Ninajua kuna vijana wengi ambao wamejiwekea malengo ya kupata jiko mwaka huu, ninawashauri mimi niliye pata jiko kwa mdada wa kazi kama miaka mitano...
Kumekuwa na dhana mbalimbali kutoka kwa watu mbalimbali hasa wanaume na wanawake wa mikoani nje ya mkoa wa Dar es salaam
Eakiwashutumu wanaume wa mkoa wa Dar es salaam kuwa hawana nguvu za kiume...
Za jumapili?
Mfano unaenda sehemu na mtu ya kunywa, hajui hata anataka nini anasema nipe tu soda yoyote. Yaani yeye hajui hata anataka nini.
Kwenye chakula hivo hivo, hawezi kuagiza anachotaka...
Habari ni gan bandugu,
Ni kwanini vijana wengi tuliopata malezi mijini tunachelewa sana kuhama nyumbani? Unakuta kijana mpaka anafika umri wa miaka 30 lakin bado anakaa nyumban kwao.
Ni kweli...
Habari wana jamii,
Nimekuwa nikiona humu ama katika maisha halisi wanaume tumekuwa tukilalamika zaidi kuhusu wanawake katika mapenzi. Iwe kwenye ndoa ama mapenzi tu yakawaida, wengi utakuta...
Kwa ufupi sana
Humu jukwaani kuna mchanganyiko wa matukio. Kuna matukio ya aibu, ya kutendwa na stori nzuri za kuhamasisha.
Shida inakuja kwenye matukio mabaya ima ya aibu au ya kutendwa. Wadau...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu...
Habari!
Ni hulka ya kila mwanaume kutamanitamani vibinti vizuri vyenye sura au umbo zuri. Na ikitokea una kakipato kidogo cha kubadilisha mboga ghafla unaweza kujikuta una wapenzi 3-5 au zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.