Habarini wakuu,
Mimi nina mpenzi wangu ambae nimekuwa nae mda mrefu sasa na huduma zote za chumbani huwaga ananipa yeye tu, yaani sichepuki.
Ila cha ajabu naona kila siku zinavozidi kwenda, ladha...
Katika harakati za maisha niliwahi kwenda kujaribu kilimo mkoa fulani kule nikapata binti mmoja mzuri sana, kumbe kuna mkulima mmoja wa zao fulani alikuwa ameanza kuvuna, hilo zao kwa wiki...
JOHN :-Habari yako bwana?
HASSAN :-Nzuri we Nani?
JOHN :-Natumaini hatufahamiani.
HASSAN :-Yes, sikufaham wewe nani nikumbushe..
JOHN :-mimi naitwa mr JOHN au baba Hellen.
HASSAN :-ndio...
Madem wa DSM bhana ukitaka kuwala mpaka uvimbiwe wewe miliki kausafiri tu aiseee wanadata sana. Wanaamini mwanaume mwenye gari amefanikiwa kimaisha kumbe wengi sisi tunaunga unga tu hata pesa za...
Habarini za asubuhi wana jamvi, Msaada wa mawazo kidogo.
Ni mda wa miezi zaidi ya miwili sasa nakaa na rafiki yangu, Tulikutana eneo la kazi mimi na yeye tukiwa ndo wanawake io hali ikatufanya...
Ndgu zanguni habari za jmosi, nina first born wangu nilio zaa wakati wa ujana wangu na mwana chuo mwenzangu.
Ndoa ilishindikana tukaamua kulea mtoto wetu, mtoto amekaa na mama ake hadi 8yrs...
Nina urafiki na demu mmoja hapa mtaani ni mkali tu tumezoeana kama wiki 2 sasa kutokana na mazoea yetu uwa tunatoana out sometime kirafiki tu sasa leo kuna demu nimemuweka status huyu mwanamke...
Umofia kwenu,
Leo katika kusoma magazeti ya Kenya nimekutana na topic tajwa.
Kuna mtindo umezuka na upo madaktari wa Kitanzania na hasa wa kiafrika kupenda kuwazuia wanaombatana na wake zao...
Dunia hii tamu
Ex wangu aliniacha akafikiri ame ni weza kumbe amejiweza
Sasa ivi natoka na mdogo wake wivu imetawala moyo wake
Mapenzi raha bwana
Kila siku kutupiga vijembe kwenye mitandao yote...
Nilimpenda sana akanizalia watoto tumeishi miaka kumi sikutegemea kama atakuja kuniacha ila alishawaambia baadhi ya watu kuwa ataondoka. Nasasa ameondoka kweli hakika wanawake ni wabaya sana...
Msaada kwa mdau rafiki yetu
Nimejikuta njia panda baada ya meneja wa kampuni yetu (Mwanamke) kuniwekea mazingira magumu kwenye swala langu la kuoa. Hivi karibuni niliitisha michango ofisini kwetu...
Za saa hizi Wana MMU? Natumai mpo salama kbsa na tumshukuru Mola kwa kutuwezesha kuiona siku nyingine mpya.
Duniani Mambo Ni mengi muda mchache, Kuna mwanamke mmoja alikuwa anafanya kazi katika...
Familia ya baba mama na watoto wawili iliamua kusafiri ili kutafuta elimu nzuri ya watoto na maisha bora kwao wenyewe. Walifika Canada na kuanza maisha.
Hali ilikua ngumu, walikaribishwa na...
Habari za humu wana jamii forum wote.
Hii mada imemili sana katika suala la maamuzi ya Wanawake hasa katika mambo kadha wa kadha ila hasa katika mahusiano.
Mada hii naiweka katika mtindo wa...
Habari wanajamvi?
Ni matumaini yangu kwamba mpo salama na mnaelendea vyema na mishe zenu za kimaisha.Moja kwa Moja acha niingie kwenye mada husika.
Kuna jamaa mmoja alikuwa na mke wake na...
Wakuu,
Last year November nilikutana na huyu ex wangu yakatokea yaliyotokea maana nadhani ile kauli mbiu ya mtalaka huwa hatongozwi bado ni valid.
Sasa last week akanipigia simu akaniambia...
Mara nyingi tunawavumilia watu tunaowapenda bila kujua kama wao wangeweza tuvumilia vivyohivyo kama tunavyowavumilia.
Iwe rafiki, ndugu, ama mpenzi.. ukitakamfanyia jambo mtu yeyote, jiulize...
Habari za wakati huu nimepata kitu ningependa kushiriki nanyi wapendwa..
1)Mahusiano ni magumu na kila uhusiano ni tofauti kikubwa fuata hisia zako tu.
2)Subiri umri sahihi ufike usichekewe sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.