Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Huyu dada anadate na wanaume 2 tofauti.Mmoja ana hela afu mwingine naye kapuku Hana mafaranga Ni wa kuunga unga tu. Sasa huyu dada alijichanganya akastukia ameukwaa ujauzito wa huyu mwana...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna hii dhana potovu ambayo imekithiri katika jamii nyingi za kiAfrika kwamba "hakuna urafiki usiokuwa wa kimapenzi katika ya mwanaume na mwanamke.Ukiona hivyo Basi lazima mmoja wao anakubali...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Parents of these days are not joking !!!! Look at this application form, how many fresh university graduate from TZ will pass it? APPLICATION FORM TO MARRY OUR DAUGHTER: FILL THIS FORM IN YOUR...
2 Reactions
4 Replies
688 Views
Huyu kijana ni mhangaikaji sana, anaingiza bidhaa kutoa DRC, China hata Kenya na anauza vizuri tu kwani analeta vitu vinavyokubalika na wengi. Hivi vyote haviji bure jamaa ana hangaika sana...
23 Reactions
34 Replies
3K Views
Nawasalimu wana MMU. Back to the topic, Nina wapenzi wawili, mmoja ni pisi kali haswaa kama wanavyosema watoto wa mjini yaana naona fahari sana kutoka nae maeneo mbalimbali ya starehe hata...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Tanaka ni dawa inayotokana na uchafu wa hedhi,kucha za miguuni,kitambaa kilichofutiwa manii baada ya kujamiana, nywele za kwapani na uvunguni, kunde maiti, maji ya maiti na kitovu cha mtoto...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Hivi vitambi mnavyoviachia achia hovyo vinaharibu sana muonekano. Hivi mbona gym zimejaa sana huko mitaani mnashindwa hata kujiongeza mkajoin ili kujiweka fiti. Umri unavyozidi kwenda na mwili...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa...
9 Reactions
41 Replies
3K Views
Habar za kaz wadau hope all is gone well Mungu anasaidia january inakatika io ebu twende ndan ya mada Nipo katika mahusiano na girl mmoja hivi kwa almoat miaka miwili sasa mapenzi yetu...
4 Reactions
105 Replies
10K Views
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mmoja kutoka kwao alikuja kanda ya ziwa kwa ajili ya masomo katika katika harakati zangu tukakutana nikamfikishia langu la moyoni akanielewa japo ilichukua siku...
5 Reactions
101 Replies
7K Views
Wakuu, Ni ukweli usiopingika kua kwenye swala la ndoa wadada wengi hupenda kuolewa na wanaume wenye umri mkubwa mara nyingi kuanzia mwanaume mwenye 30+ adi 45. Wanaume/wavulana wenye umri mara...
7 Reactions
135 Replies
18K Views
Mimi huwa naiona sheria kama lidudu fulani baya hivi, ukiliendekeza lazima likuume. Huwa haliwaachi watu salama, lazima limpendelee mmoja kati ya wawili wanaoshindana kwa kisingizio cha haki, na...
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Habari za Asubuh. Nimeona post hii kwenye account ya BBC swahili. Ndoa ni muhimu, na huwa muhimu kwasababu ni kitu kinachowaunganisha mume na mke na kuanzisha familia, na huleta baraka nyingi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Aisee kuna binti mmoja hapa mtaani kwetu wakishua sana nimetokea kumpenda sana lakn kila nikimpa Hi haitikii. Kitu hicho kinaniumiza sana wadau.lakn leo asubui natoka senta naelekea home nikaona...
11 Reactions
113 Replies
10K Views
MASTURBATION: Please don't sleep or go to bed without reading this special message, trust me you will be helped and your life will change for better. THE GREATEST DEMON ON EARTH. IF YOU...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe. Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Kamati imewazawadia maharusi zawadi yenye thamani ya 59,000 lakini shangwe lake usipime, nakubali ndio uwezo wao ila najiuliza kama wangekuja na ufunguo wa Passo ingekuje?
0 Reactions
4 Replies
730 Views
Si mara moja ua mbili umewahi kusikia wachumba wametengana hivyo kukatisha ndoto yao ya kuwa wanandoa. Uchumba kuvunjika ni moja ya masuala yanayozungumzwa na kuikumba jamii kila kukicha ingawaje...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo. Ni jambo moja nyeti sana ambalo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom