Nilipokuwa ninaishi kuna mzee mmoja wa makamo ni maarufu sana maeneo yale, kazi yake ilikuwa kutengeneza Ngalawa na Mitumbwi, huo mji wanajishughulisha sana na uvuvi.
Kila eneo kuna mazeoa yake...
Nimejaribu kuweka kichwa cha habari hicho ili nitoe maelezo.
Jak na Bahat ni wana ndoa, wakati wanaoana kila mmoja alikuwa ana mtoto.
Swali lipo hapa, Je! Ndugu wa mwana ndoa yaani ndugu wa...
Hizi simu kwa hapa kwetu nadhani tunatumia asilimia 15 kati ya 100.
Tunapenda sana mitandao ya kijamii zile app bila app ambazo zitakuwa zina-track kama afya, mizunguko ya wanawake kwenye siku...
Hili jambo linasikitisha sana nakatiza mtaani hapa namkuta huyu dada mwendawazimu ni mjamzito kabisa tena inavyoonekana anakaribia kujifungua maana ujauzito wake ni mkubwa kabisa. Jamani tupunguze...
Natumaini mko poa
Hii kitu naona imezid kushika Kasi hapa JF, katika miaka yangu yote 24 ya uzinifu nimelala na wanawake 51 (wazuri kwa wabaya)ila sijawah kuzidisha bao 4-5 kwa mwanamke mmoja...
Kwanza nawasalimuni nyote kwa jina la Jamii Forums nanyi itikieni mahusiano mapenzi na urafiki vidumishwe.
Kuna rafiki angu kijana lika langu japo tunazidiana about 2 years yeye ameoa lakini mimi...
Habari ya weekend wakuu,
Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja.
Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba...
Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wa Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwenye maisha unaweza kufanya jambo lakini baadae ukajutia na kutamani kurudi nyuma lakini ndio hivyo...
Kuna rafiki yangu alikuwa kwenye chumba cha Hotel moja hivi hapa mjini DSM, Alimwambia muhudumu wa ile hotel na kumuomba kuwa amletee dada poa na anayejiuza aje kulala naye hawezi kulala...
Kwa wale mnaowapenda wake zenu hakikisheni kwamba mnawashibisha katika sehemu tatu zifuatazo;
Sikioni
Hakikisha unamsifia mkeo kwa kauli nzuri nzuri za mahaba.Jitahidi Kila unapokuwa naye...
Hakika Zingatia haya nawe utaishi!
Vitu 10 vya kuzingatia ili uendelee kuwa masikini wewe na mwenzi wako
1. Never wake up early: Keep stretching and turning in bed until you get too hungry to...
Katk maisha sometimes life become so mesmerizing the first time we fall in love,,ni kipind ambacho ata rafk waweza muona adui akijaribu kukushauri kuhusu penzi jipya . When iam older enough I'll...
Serikali ilikuwa na nia njema tu kuzifungia sites za ngono maana watu walibumbwa sana huko katika sites mpaka maofisini watu wanaperuzi tu mpaka akili zinachoka na wengine wanaishia kupiga pull...
Wakuu kama heading inavyojieleza hapo
Napatwa na wasiwasi juu ya mwenendo wa huyu mchumba wangu kwani Mara kwa Mara amekuwa akilipia gharama za lodge ili tukachakatane, nini maana yake?
Manake...
Kuwa muwazi na mueleze kile kilichotokea kwa njia rahisi anayoweza kuelewa. Tumia maneno kama 'amefariki', usifunike kwa kumwambia amelala au namna nyingine yoyote. Mtoto akiuliza maswali yajibu...
Nilimpenda na nampenda sana huyu mwanamke, ni mwaka na miezi 4 toka kaniacha. Nilimkosea mimi akaniacha. Nashindwa kumpenda mtu mwingine kila ninapokaa siachi kumuwaza yeye, kila kitu nachofanya...
Wakuu,
Mimi kila nikitazama mashine yangu naonaga ndogo tuu nikishare na mtu mambo yanakua tofauti full kuugulia.
Hii imekaaje, je other men wanaziona dushe zao ndogo pia?
Je, kibamia kina...
Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi.
Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito.
Mimi sio mtaalamu...
Nina wiki kama tatu nyumbani kwa wazazi kuwasalimia, hua sipendi kabisa kukutana na watu hasa ndugu walio na maswali mengi ya kama unaoa lini? Hujaoa tuu? Siku hizi unafanya nini? Unaishi wapi nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.