Nyie kina dada acheni ujinga, kujidai na kujiona.
Unakutana na mdada unamuelewa unamuomba namba ya simu, bila iyana anakupa namba, uki-beep kweli simu yake inaita, kumaanisha amekupa namba ya...
Kwanza kabisa wanawake omba omba sijawahi kabisa kuwa kwenye mahusiano nao,unajua kwanini huwa sitongozi kila mwanamke anayepita mbele yangu! Kwanza kabisa najijua mimi ni mwanaume wa aina gani na...
Kuna kipindi fulani nilienda Kahama kwa shughuli za kimiangaiko; kutokana na kuwa na marafiki wengi, nikaomba si vibaya kuomba 'appointment' na mwenyeji wangu mmoja anayeishi katika mji huo...
Nishawafuma watu zaidi ya mara moja ila hii ilikuwa ndio kali nilikuwa ndani ya jahazi toka mafia kwenda kisiju nilipakia abiria wakike na kiume safari ilianza saa sita usiku kumbe baadh ya abiria...
Kuna watu humu mnaniambia kuwa "na diss sanaa kuoa" ila ni kwamba kwa kipindi hiki cha millenial "Ndoa hazina maana tena".
Hebu cheki hii familia.
Hii ndoa ni ya jamaa namjua.
Nipo Mkoani...
Tulikua tunaishi maisha ya love Mimi wife na jirani yangu nae na mkewe, Mimi nilikua na mchepuko wangu sehemu siku moja ya jumapili ukaja tukaenda kufany yetu tumetoka chumbani mchepuko ukaniomba...
Habari Wakuu.
Kichwa wa habari kihusike hapo juu.
Nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni raia wa Marekani na kazi yake ni mwalimu na tulikutana mtandao kwenye group la masuala ya elimu ya watoto...
Usimtumie meseji za userious sanaa
Kama vile, mambo?"habri ya usiku"? Umelala??? Umekula?? Una mpenzi?? Unasoma?? Unafanya kazi? Unaishi kwenu ??aumepanga??? wee mtoto wangapi?? Miaka yako...
Kuna mpenzi wangu alikuja kwangu kunitembelea. Alikuja kulala kabisa. Sasa nilikuwa na condom za zaman kidogo kabla sijawa naye kimahusiano Huwa naweka Incase of emergency. Kwangu nilifanya usafi...
Leo baada ya kutoka katika mizunguko yangu nikasema ngoja niende nikamsalimie rafiki yangu yeye anafanya kazi katika lodge moja.
Nilivyomcheki akaniambia bado yuko kazini nimpitie mzee nikatimba...
Sijui ni lini na mwaka gani niliwahi kungonoka na huyu binti, katika harakati harakati zangu Mjini si nikakutana naye,
Zero IQ: Hi mrembo
Binti : Hi
Zero IQ: Samahani tunaweza kuzungumza kidogo...
Fumba macho kwa dakika 10 hapo ulipo, kisha tafakari yafuatayo:-
Ni nani atakuwa na wewe, bega kwa bega ukiwa gerezani?
Ni nani atakuwa na wewe, ukiwa kwenye ugonjwa mahututi?
Ni nani atakuwa na...
Mimi ni kijana niliekamika sina shida yoyote kiafya na pia ni mtu wa mazoezi.
Kiukweli miezi 6 nyuma nilikua ni mtu wa aina nyingine kabisa, baada ya kukaa na kutafakari kwa kina kuhusu...
Nimemaliza chuo lakini nmekosa kazi hivo naishi kigetogeto
Tatizo nililo nalo nikwamba nazidiwa na mihemko ya kimapenzi sina uwezo wa kuchagua mwanamke; mwanamke yoyote mbele yangu mi namuawanzia...
Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store.
Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta...
Wakuu Dunia nzima ikiungana dhidi ya Putin
Jambo la kushangaza sana ni kuwa shem wenu anamsupport kwa moyo mweupe.
Ni jambo la kusikitisha kwamba kwa jinsi alivyo anasupport ukandamizaji wa...
Maisha ya mahusiano ni matamu sana, kama utapata mtu sahihi. Na utamu wake, muwe mnasikilizana; na sio kumfanya mtoto wa mwenzio kuwa mzazi wako, kwa kumbebesha majukumu ambayo hata wazazi wako...
Hello JF members Mugona Vihi?
Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na...
Ndoa zinakuwaga na Mambo yake wakuu.
Kuna muda uneza tofautiana na mpenzi wako Hadi ikafika point mkanuniana kbsa Hakuna anayetaka kumsemesha mwenzio. Wanaume wengi tunakuwaga hasira nyingi Sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.