Jua Ishara 11 za Mwanamke Anayekupenda, Lakini Anashindwa Kukueleza
Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama...
Wakuu, yuko wapi General Galadudu? Ni muda mrefu sana sijasoma post zake humu JF MMU. Ni muda mrefu sana sijasikia habari za "manati yake ya kizungu" na mambo mengine mengi.
Mkuu General...
Naamini wengi wenu Ni wazima, binafsi ni mzimaa wa afya! Nisiwachoshe Wala nisijichoshe naenda straight kwenye mada.
Leo nimewafikiria viumbe wa kiume, kwa kweli Ni VIUMBE wazito Sana kuishi nao...
Kanye West tangia ameachwa amechanganganyikiwa kabisa na juzi mahakama imempa ushindi kim kwa mama officially yupo single .
Kanye anatishia kumuua huyo boyfriend wa Kim .
Je. wewe unaweza tishia?
Ukiachana na m'push agenda Mr Liverpool juu ya suala la kutokuoa, sisi wanaume tuliopo kwenye ndoa tunahitaji pia kuishi ki'masta sana na uwezo wa kutathmini jambo kwa spidi ya 6G.
Pointi ipo...
Shikamoni wanajamvi. Nilileta uzi kuhusu lile jima.ma langu ambalo limezaliwa India. Sasa nataka nilioe kabisa potelea mbali.
Nataka kujua utaratibu kwa ufupi, wa mahari zao na vitu vingine vya...
Sijui hata nianzie sehemu ipi kuelezea na wana MMU mlivyo wavivu kusoma sired ndefu.
Mama O alienda kwao kujifungua watoto mapacha huku kaka akiwa bize kutafta pesa, mama O kajifungua salama...
Tupo wilaya moja ila tunaonana weekend tu kwa sababu ya majukumu ya kazi.
Leo wakati tunapiga story kaniuliza, Hivi unavyonipenda hivo na SIJAKUROGA siku NIKIKUROGA itakuwaje? Ukimya ulitawala...
Siku hizi kama ikitokea umetembea ( umefanya mapenzi ) na Wanawake kati ya Watano hadi Saba basi usishangae ambao wamenyoa ' mavuzi ' yao ni wawili au mmoja tu na ' sometimes ' hata hakuna...
Baba zao walikua maswaiba, katika kulinda mali za familia zao walipanga kuwaoza watoto wao. Binti hakuwahi kumkubali jamaa lakini kwake pia aliona ile ndoa ni life opportunity. Familia ya mume...
Baada ya kipind kile kuleta Ujinga wa kuniomba Kodi ya fremu kwa nguvu bila utu kipind ambacho nmetoka kuibiwa dukan kwangu, ikapelekea kuua kabisa Lile wazo langu la kumfungulia biashara yake ya...
Wanawake kuweni Serious
Utakuta unamuomba mwanaume pesa hata kama sio mchumba wako kisa mazoea tu. Ukiombwa wewe inakuwa mengine. Siku hizi hali ngumu akuna cha mtu ambacho kinakwenda bure...
1. Matatizo ya kisaikolojia
Watoto wanaweza kukabiliwa na matatizo mbalimbali ya kisaikolojia ambayo huathiri uwezo wao wa kujifunza shuleni.
Baadhi ya watoto huzaliwa na matatizo haya huku...
Kama una rafiki wa moyo halafu rafiki huyo unapokuwa unapoteza muda kwa mambo fulani ambayo hayana faida na yeye hakushauri wala haoni kuwa ni vibaya angali anajua unapoteza muda kwa mambo ambayo...
Ni binti tu wa makamo ana miaka 19 tu nilianzisha nae mahusiano.
Binafsi nashindwa kumuelewa mi nilianzisha hayo mahusiano kwa sababu ya kudinyana tu aswa ukizingatia kwenye kubadilisha Radha...
Kama hukujua, basi fanya modification kwenye chumba cha ndoa yako.
Vitanda viwili huongeza msisimuko wa kufanya mapenzi pale mmoja anapotembelea kitanda Cha mwingine kwenda kunyanduana. Siku za...
Mungu awape maisha marefu wanaume wote duniani...
Wanaume wana roho nzurii jamani....
Nianze na mwanaume mwenye familia yani kaoa...yeye anaenda kazini anamwacha mwanamke amelala anachomeka na...
Safari ya mahusiano huwa ni safari yenye mambo mengi kuna wakati mahusiano unaona ndio chombo kinachokupa amani ya moyo
Na kuna wakati mahusiano unaona kabisa hayakupi furaha ya moyo mbaya zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.