Yaani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana...
Habari za leo Wana JF,
Nilishawahi kuwa na uhusiano na mwanamke kwa miaka mitatu, tukaachana ni mwaka sasa mi nishaoa na yeye inasemekana kashaolewa, kiukweli. Yule kiumbe amegoma kutoka kichwani...
Habari wanabodi,
Ni miezi karibu minne tangia penzi langu na house girl wa nyumbani kwangu lilipochipua mithili ya uyoga kandokando mwa Oasis jangwani (Rejea post yangu hapo chini). Penzi langu...
Sopa mazee.
Ipo hivi, mwanaume wakati anachagua mwanamke wa kumweka ndani kuna vitu huwa anathaminisha. Kuna baadhi ya wanaume huthaminisha ukubwa wa makalio, wengine umbo la miguu, wengine uwima...
Siku moja kundi la watu 500 walikua wamehudhuria Semina. Mara msemaji mkuu wa semina hiyo akaanza kumpa kila mtu puto (balloon), na kuwaambia kila mmoja aandike jina lake juu la puto alilopewa...
Katika harakati za kunasa warembo niliamua kufuga kuku kwangu ukawa ndio mtego mzuri nikipata mrembo namwambia nahamu na pilau kuku ila sijui kupika anakwambia nunua kuku mi namwambia kila kitu...
Sijakuibia mkeo nilimuokota jalalani mwa moyo wako. Unakumbuka kipindi kile ulipokuwa unashinda siku nzima bila hata kumjulia hali? OTEA? nilikuwa namkumbuka kila saa kujua kama yupo sawa na...
Kichepe alizaliwa mtoto wa pekee, wazazi wake walizawadiwa shamba la mkonge na ma settlers wa Kigiriki. Waliliendeleza shamba na Kiepe alisoma Kenya tangu shule ya msingi, alikuja nyumbani likizo...
Samahani wapendwa, Mimi siyo mwandishi mzuri Ila naomba mnielewe kwa chochote nitakacho kuwa nimeandika.
Kuna mwanadada nimekuwa na mahusiano naye toka mwezi wa kwanza,Naweza kusema mahusiano...
Toka hapo awali nilikuwa nina ndoto na hamasa ya kufikia mafanikio kwa kutatua matatizo ya Jamii inayonizunguka. Nilianza kupenda habari za anga za juu na Sayari KWA ujumla , nilijisomea kila kitu...
Kwa nini umeachwa?
Kuachwa ni udhaifu mkubwa sana kwenye mahusiano.
Kuachwa kunamaanisha hauko 'fit' kwenye baadhi ya maeneo.
Ndio maana zamani, vijana walikuwa wanapelekwa jando / unyago...
Nilikuwa napiga soga kidogo na rafiki yangu aliyewahi kukaa Nchi za scandinavia na akanidondoshea hili:
Ukiwa maeneo kama Finland, Sweden etc wanawake wanapatikana free, akimaanisha kwamba...
Utafiti mdogo ndoa nyingi au mahusiano mengi ya watu maskini kiukweli ni bora liende. Kuishi vizuri na mwenzio ni ufunguo wa mafanikio katika uhusiano/ndoa yenu. Ambao hamjaingia katika ndoa ni...
Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za...
Kudumu kwa mahusiano kunategemeana na juhudi za pande zote mbili (mwanamke na mwanaume); na iwapo upande mmoja utalemaa, kuna uwezekano mkubwa kwa mahusiano kuvunjika. Baadhi ya juhudi...
Mapenzi yamenitoa machozi,
Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana.
Hasa pale atakapokua akiongea na wengine...
WanaJF za siku nyingi. Kwa vijana nipeni shikamoo zangu. Nimewazidi wengi mno umri humu, niruhusuni niende kwenye mada sasa.
Hili suala ninaweza kulitatua ila nahisi approach haitokuwa nzuri...
Habari zenu
Nina mdogo wangu wakike umri ni early 20s, amemaliza chuo mwaka jana mpaka sasa yupo tu home
Ana tabia yakupenda sana kuandika (vitu mbalimbali kwenye notebook zake) na kusoma vitabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.