Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote...
Mara kadhaa nimepata wasaa wa kutazama sura yako kwa ukaribu zaidi. Hatua chache toka ulipo hiyo imenipa wasaa wa kuutazama uziri wako nikiwa karibu.
Sio mtaalamu katika kuyaeleza maneno yanayo...
Huyu manzi tunafanya naye kazi kampuni moja hapa mjini, nina mahusiano naye huu mwezi wa 5. sasa cha kustaajabisha ana mimba yangu ya miezi miwili ila anasema hataki nijihusishe na mimba yake...
Haya mapenzi ni upuuzi flani. Huyu mama alinitunuku penzi kwasababu alikuwa analipiza mumewe alikuwa anamuumiza.
Lakini sasa hivi kanichunia bila sababu, nahisi nyumbani mambo yametulia...
Habari zenu.....!!
Kama mada inacyojieleza hapo juu hii kitu nimeshindwa kabisa siwez kuongea na dem zaidi ya dakika 40.
Maana nitaanza kuongea upuuzi wa hali ya juu[emoji23][emoji23][emoji23]...
Wakuu,
Habarini za mapumziko na heka heka za kila siku.
Kuna kitu kinanitatiza mjumbe wenu;
Hivi mwanamke anajisikiaje kuwa anapigiwa simu hapokei, anatumiwa meseji hajibu. Na usipomtafuta, ndo...
Wakuu mmebarikiwa Sana sana na Mwenyezi Mungu.
Moja Kwa moja kwenye hoja. Aisee hizi ndoa hizi bro alioa mdada mmoja WA kisukuma toka kahama Dada alikuwa na mashauzi hatari kulinga Kama kote...
Watu wa MUNGU, bwana asifiwe, pia naomba niwatakie walio katika mfungo funga njema, MUNGU awatangulie njia nzima hadi mwisho wa Ramadhani.
Wakuu nina jambo limenisibu siku ya jana naomba mawazo...
Imekuwa kawaida ya kumpata umtakaye kupitia kumshawishi hasa hasa kwa maneno yaani kutongoza
Nina Visa viwili vilivyonifanya comrade wa kurusha nyavu😂
Part I
Kuna katoto ka kike hako ka get...
Habari JF
Nyie mapenzi yasikieni tu kama jinsi yalivyo,, now days bila kupiga denda yaani naona kabisa kwamba kuna kitu kizuri kimemiss.
Lakini nakumbuka enzi hizo miaka ya 2000s ndio nachipukia...
Habari MMU
Niaendee moja kwa moja na hoja yangu,
Nimekuwa nikiona nyuzi nyingi sana kwenye mitandao, nimeskia stories vilingeni na kushuhudia baadhi ya mikasa kuhusiana na hawa dada zetu. Kote...
Kwanza hazipo za kutosha mtaani unaweza kukuta duka moja TU lenye kondom..mtu unafikiria kweli utoke chumbani umuache mwenzio eti ukatafute condom hakunogi.
Bado uwaze hela ya kumpa mwali,bado...
Kwa mujibu wa Sheria ya Ndoa (R.E. 2019) kifungu cha 63, mume anatakiwa kumtunza mke wake kwa kuhakikisha anatafuta kipato na pia anamtunza vizuri nyumbani kwa kuhakikisha mke ameishi mahala...
Kama mada inavyojieleza, tulikuwa na ugomvi usiku huu, akanipiga nilivyomrudishia ametoka na amefunga mlango na funguo kaondoka nayo hivyo hapa.
Nimechanganyikiwa sijui nianzie wapi kumtafuta...
Shikilia msimamo wako. Ikiwa unampa mtoto wako kila kitu anachotaka kwa sababu tu analipuka kwa hasira, yaelekea ataendelea kufanya hivyo kila mara anapotaka kitu fulani. Kwa utulivu mwonyeshe...
Hatuna wivu mkiwa na marafiki wenu wakiume,ila usivuke mipaka
Yes,mapenzi yako hayawezi kulinganisha na mapenzi na mama yangu
Sometimes tunashindwa kuelewa hisia zenu au sign zenu haimaanishi kua...
Hii kitu inanitesa sana, binti wa watu mzuri kabisa, hana makuu, mpole, heshima na ana kila sifa ya kuwa wife material,
Tatizo kubwa niko nalo ni kwamba sina hisia naye, sina wivu naye hata...
Salaam enyi wana wa Mungu.....
Nikiwa mgeni kabisa wa mji flani dar es salaam,sikuwa single actually but nlkuwa na mahusiano na mdada flani ila mahusiano yenyewe ni yale ya kimasihara tu(NTAKUJA...
Habari za MDA huu Wana MMU
Nakumbuka mwaka Juzi Kuna jamaa flan kwa mwonekano Ni barobaro wa mjini, kwa kukadiria Yuko kwenye 23-29yrs hivi Tuliingia kwenye mgogoro mkubwa Sana wa kimahusiano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.