Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu, Amani kwenu nyote. Iko siri kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa huamua hatma ya mtoto wa kike. Ili kuifahamu tumtazame kwanza kijana mume: Mwanamume Kijana mume huanzia chini katika...
45 Reactions
371 Replies
28K Views
Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi. Kama unayo hebu tupia maneno...
3 Reactions
70 Replies
15K Views
Ndugu wanajukwaa pendwa Leo hii nimeona niwatajie baadhi ya faida na umuhimu wa shawaha kwa mwanamke kama ifuatavyo... (1) Humtengeza mwanamke shepu yake. Shahawa zinapozunguka katika mwili huwa...
7 Reactions
113 Replies
33K Views
Nadhani wengi wetu tumeshaisikia theory ya “survival for the fittest”, well leo niko hapa kukuonyesha ni kwa namna gani inavyoongoza maisha ya binadamu na viumbe vyote hapa duniani. Kwanza kabisa...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Akuna kitu ambacho kinampaga mwanaume stress kama pale anapo muacha mwanamke ukitegemea hawezi chochote bila wewe Alafu umuone mwanamke yule ana jiamini na kuzidi kufanikiwa bila wewe. Hicho kitu...
13 Reactions
76 Replies
4K Views
Ni hivi! Huyu ni shemeji yangu alimuoa dada na walibahatika kupata 2 kids. Bahati mbaya ccta akaugua sana na akapoteza uwezo wa kubeba mimba tena. Aliugua kwa muda so hata kazi alipoteza, akawa...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Kama nitakuuliza nini unachohitaji kwenye maisha yako? Na ukasema kitu kama, napenda kuwa na furaha,familia bora, na kazi ninayoipenda.majibu yako ni yakawaida yaliyo zoeleka na hayana maana...
3 Reactions
13 Replies
782 Views
Salute bosses! Kuna muda nachanganyikiwa. Nasikia kilio kwa mbaaaali kutoka kwa me wengi mara oooh wanawake wamekuwa opportunistic, wanapenda hela n.k. Najishangaa sana mimi, na miaka hii 28 ni...
2 Reactions
67 Replies
4K Views
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
.Mtu Akifumania anaua .Mtu akiachwa Analia,anajiua,anaroga .Mwingine nae wivu tu kameza madonge. .Huyu nae masomo yamemshinda kapokonywa Pisi yake. Mi nilijua ni wanafunzi kumbe mingine ni Mibabu...
6 Reactions
57 Replies
3K Views
Habari? Embu tukutane tuliopigwa sana na hizi mambo zinaitwa mapenzi mpaka tumekiri kuwa pesa ni furaha kuliko mapenzi. Yaani bila kupepesa macho huna imani tena kiasi kwamba hata ukipata MTU...
30 Reactions
201 Replies
10K Views
Yamewakuta huko University of Zambia (UNZA). Bila hiana kila mhadhiri aliyependa, kwa raha zake, yumkini sasa kaunganishwa vilivyo kwenye grid ya taifa la huko. Hii ndiyo Afrika sekta zote ni...
6 Reactions
76 Replies
7K Views
Habari wanajukwaa kongwe kabisa la JF, ingawa bado tunachangamoto ya kirusi hiki hatari kabisa cha COVID-19 lakini tuendeleee kunawa mikono mara kwa mara. Ni muda wa mwaka na nusu sasa mimi kama...
5 Reactions
63 Replies
7K Views
Hi guys, Kikawaida na mara nyingi mwanaume ndio wanakuwa wahanga wa kuwa friendzoned na wanawake ambao wana hisia nao za kimapenzi. Na wanawake tunayo tabia ya kuwa friendzone wanaume ambao...
67 Reactions
1K Replies
100K Views
Habari wakuu. Nisiwachoshe na maneno mengi. Nimebahatika kuwa kwenye urafiki na huyu mama/bibi wa kizungu kwa miaka 10 sasa. Amekua akinisaidia hapa na pale. Sasa anataka tuwe wapenzi na mimi...
5 Reactions
99 Replies
7K Views
Habari za usiku huu ndugu. Kwenye maisha haya ya kiliberali ili yasonge mbele kila mtu anatakiwa aishi vile anavyotaka. Kimjini mjini wanasema kila mti kimpango wake. Yaani unaishi bila kuuliza...
12 Reactions
35 Replies
2K Views
Huyu dada nilimpenda sana. ila ilifikia hatua nilishindwa endele naye. kwa mara ya kwanza niameanza kuwaza kuoa nilimfikiria huyu dada. Alikuwa ametoka maliza chuo IFM nikaona ni msomi na mrembo...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Wazima? Mimi ni kijana tu wamiaka 24 nasoma bado, nipo chuo mwaka wa 3. Mwaka wa 1 niliingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja tu, ni binti wa rikalangu. Sikujua kumbe mumewe ni mtu mzito tu...
3 Reactions
88 Replies
8K Views
Maisha haya bwana magumu saana. Nilikuwa na mwanamke wangu mzuri ambaye nilipendana naye saana. Huyo mwanamke alikuwa msaada mkubwa saana kwangu. Alikuwa ni mtu mwenye akili ya kufikiria...
12 Reactions
27 Replies
2K Views
Nilibahatika kualikwa kwenye shughuli moja katika hotel maarufu hapa Dar, tukiwa kwenye meza kubwa, tuli share meza na wadada watatu. Kwa mionekano walikuwa wamependeza, wananukia, na kiukweli...
46 Reactions
216 Replies
11K Views
Back
Top Bottom