Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Unakuta mwanamke amekosana na mmewe halafu anachukua maamuzi ya kukata mawasiliano ya vikojoleo ambavyo havina uhusiano na ugomvi wao. Yanini kukataa kumpa mmeo tendo la ndoa na unabaki ndani ya...
29 Reactions
152 Replies
9K Views
Wengi tunajua mahusiano ni gharama, hasa kwa upande wa wanaume. Kutumia maelfu, milioni n.k ni kitu cha kawaida kwenye mahusiano. Mbaya zaidi, ufujaji wa hizo fedha hauendani na uingiaji wa hizo...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ni mwaka jana niliandika uzi wa kutafuta Mme. Wanaopatikana ni waume za watu na vijana wasio serious yaani play boy. Wanawake wenzangu mlifanikiwa kupata wenza au hili limenikuta Mimi tu
12 Reactions
99 Replies
5K Views
Nataka kuanza mazoezi nimekua kama mdudu wapendwa,kuna ka gym karibu na goli langu hapa ila sasa huwa nawashahudia ile miili jamani...mmh..nyie Inahitaji kujitambua sana kuiacha kama ilivyo. By...
6 Reactions
66 Replies
4K Views
Yaani unakuta Mwanaume unampikia, unamfulia, unamuogesha na mapenzi unampa kama yote. Lakini sasa hizo dharau wanazotuletea hadi unatamani kulia. Ndio maana mimi mwenzenu natoka na Wanaume...
15 Reactions
188 Replies
21K Views
Wanawake wasio na Kazi wanakuwa hawana mambo mengi. Ukitoka kwenye mihangaiko yako anakupokea na kukukaribisha Nyumbani kwa furaha. Utakuta chakula kishaiva, utakuta Watoto wasafi kama mmebahatika...
46 Reactions
347 Replies
21K Views
Ni swali fikirishi kidogo, sijui jamii yetu hii inaelekea wapi kimaadili.Sijui mambo ya usasa zaidi kwa baadhi ya mama zetu na baadhi ya vijana wetu.Hali sio shwari kabisa kwenye jamii yetu kwa sasa
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu nipo dilema msaada wenu wa hali unahitajika Baada ya kumfukuzia huyu mwanamke kwa takribani ilikuwa mwaka mzima alikuja kukata shauri na kunitunuku papuchi iliyoshiba imevimba, kitumbua...
12 Reactions
45 Replies
7K Views
Nataka niwaulize Dada zangu manake kuna siku nilikutana na kiteenage kimoja kina shape, mguu wa haja chuchu zimesimama af kilaini hatari, kilikuwa kimepiga pamba nyepesi niliangalia Mapaja kwa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Naombeni ushauri wenu juu ya mada tajwa. Mzee wetu amefariki miezi 8 iliyopita baada ya maisha yake yote kuwa katika ndoa na mama yetu. Mama Sasa ana umri wa miaka 68. Kwa...
42 Reactions
364 Replies
23K Views
Ni single mother wa mtoto mmoja, jamaa anamfuatilia sana akitaka warudiane lakini mke wangu amekataa kabisa ila jamaa hakati tamaa. Alimtelekeza toka akiwa na mimba miaka mitano imepita ndio...
15 Reactions
123 Replies
12K Views
Habari wana bodi Ningependa niwape story yangu fupi ya maisha ambayo imepelekea hapa nilipo hii leo, miaka 3 iliyopita baada ya kufeli mitiani yangu ya kidato cha sita nilikosa kabisa shughuli ya...
7 Reactions
80 Replies
18K Views
Ni mwezi sasa tanguu huu mkasa unitokeee yani kila nkimgegeda mke Wang hawa na hawa paka wanafanya mapenzi na wanatoa sauti kama ya wifee Mke Wang akikojoaa tu na yenyewe yanalia kwa...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Habarini Leo napenda kuongelea suala zima la talaka kwa kipindi cha hivi karibuni au siku hizi kinachukuliwa kama fashion yaani mtu anadai talaka ili tu jamii imuone yeye ndio kaacha na sio...
1 Reactions
1 Replies
633 Views
Hi! 2014 ulinipenda pasipo chochote, sikuwa na kitu lakini hukujali, ulinipenda na umasikini wangu, licha ya kuwa ulikuwa mrembo Sana, Nimekumbuka sauti yako nyororo na macho yaliyolegea...
17 Reactions
148 Replies
7K Views
Wanabodi, Kama umeoa au umeolewa na mume au mke wako upo naye mbali kikazi basi unatakiwa usali sana, maana mambo yanayoendelea katika ofisi nyingi miongoni mwa wafanyakazi ni balaa. Kuna...
17 Reactions
200 Replies
31K Views
Ni kweli umempenda kwa dhati? Wakati mwingine watu huanzisha mahusiano kwa kuwa wamezoea kuonana tu kila siku ofisini, kupeana lunch na zawadi ndogo ndogo hivyo huhisi kuwa amempenda...
7 Reactions
92 Replies
12K Views
Dada Zangu na Wadogo Zangu wa kike Nawapa Ushauri wa bure. Acheni Kuingia kwenye Toxic Relationship dada zangu siku hizi wanaingia kwenye relationship na mwanaume kwa kuangalia Muonekano au...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana jf poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Leo katika pitapita zangu nimekutana na hivi vitu nikaona bora na nyie niwashirikishe maana vizuri kula na mwenzako 1. Mwanamke...
14 Reactions
29 Replies
5K Views
Yes he broke your heart. Naam yawezekana aliuchubua moyo wako ,mithili ya mchinjaji anayetayarisha nyama kwa ajili ya walaji wenye uchu. Na yawezekana kwa sababu umeonesha kila dalili ya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom