Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale kuna demu mmoja ni Mpangaji mwenzangu hapa tulipopanga tumepanga wengi sasa Huyo demu ni pisi Kali kinoma toka ameamia ana mwezi mmoja.
Sasa wadau wengi...
Salamu!
Nakumbuka,nikiwa chuo ilikuwa likipita daladala tu unakuta,ndani kuna ngoma inapigwa then nje kuna dada katoa makalio kupitia dirishani anakatika.
Aisee nilikuwa sipitwi, nakumbuka...
Why women fail to fight until they get Life and end up giving up naked to live with every Man who seduces them turns him into a source of money
But we galla Love for them
most of women are shit
Heri ya siku ya wapendanao
Iko hivi nilikuwa kwenye mahusiano na huyu dada nkwa miezi sita,Mm ni graduate nipo kitaa nina mwaka na hustle na kilimo na ufugaji ili kupata mahitaji yangu ya msingi...
Mwanaume mmoja nchini Kenya aitwaye Meme Kabati mwenye umri wa miaka 56 amelazwa Hospitali ya Nyambene Kaunti ya Meru baada ya Mkewe Karambu Meme, kumvuta na kuikata korodani yake moja kwa madai...
Inaonekana ni kipande kisichofaa cha filamu ya mapenzi . Lakini taarifa kuhusu 'kunatana' wakati wa tendo la ndoa ni jambo lililopo kwa karne na karne - huenda zingine kukawa na ukweli.
Safari ya...
Makamu wa rais Samia Suluhu Hassan, amesema pamoja na wadhfa alionao, lakini mbele ya mume wake atapiga goti ili kuonesha mahaba aliyonayo kwake.
Alikuwa akiwaambia wanawake kuwa hawako sawa...
Habari yako msomaji,
Nilikuwa nawaza kumbe mahusihano Saa nyingine yanarudisha maendeleo nyuma, nakumbuka nimeanza kuhonga mwaka 1997 nikiwa standard 4 yaani
kalikua katoto ka mwalimu mkuu, si...
Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake.
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo...
Blue monday wakuu! !!
☆hivi inakuwaje binti anakukasirikia halafu bado anataka kuwasiliana na wewe!?
♧kuna workmate wangu anapenda sana kunikasirikia nikifanya jambo tofauti na anavopendelea...
Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini!
They are soo insecured
Iwapo ndoa baina ya baba yako na mama yako mdogo ilitimia kisheria, basi akawa mama yako wa kambo, huyo tayari anakuwa ni Mahrum (Mwanafamilia ambaye ni haram kwako kumoa). Maisha yote hata kama...
Babaa,
Mahabuba,
Mpenz,
Laaziz,
Mfalme Wangu...
About last night....
Am trying hard to keep it low but nashindwa mpenz....
Hawakukosea waliosema penzi ni kikohozi, kulificha huliwezi...
Wadada wa Sinza wameanza kujipitisha nyumbani kwa dokta Shika wanasema kwamba Dk. Shika ni mpole, mstaarabu.
Wadada wengi wameanza kumsaka tajiri Dr. Shika na wengine wameenda ofisi za Television...
Ebana nina imani mko salama salmini.
Nimeleta uzi huu hapa nikiwa nina imani wengi wetu tumepitia mahusiano mbalimbali mpaka kuja kufikia hitimisho (ndoa)
Kuvunjika kwa mahusiano haimaanishi...
Kwenye mchezo wa soka Kuna Simba na Yanga, kwenye mziki kuna Diamond na kiba kwenye mchezo wa ngumi kuna Mwakinyo na Twaha Kiduku kwenye siasa kuna CCM na Chadema, kwenye mapenzi kuna mwanamke na...
Kuna ukweli katika msemo wa kwamba "Bora ukosee vyote ila usikosee kuoa au kuolewa. Mapenzi ni vita, Mapenzi mabaya
Wahenga wanasema hivyo na wanasistiza mapenzi yana run dunia.
Kuna jamaa...
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyojieleza nahitaji ushauri au mnitie moyo.
Katika maisha yangu nimejikuta naangukia kwenye uhuni hivyo mpaka hapa ninavyoandika mada hii nishalala na malaya zaidi...
Kuna Jamaa anatoka Na Ex wangu
Sasa Jamaa huyo ana Tumia pesa nyingi kumgharamikia mtoto apendeze Kweli
Na Kweli mtoto kawaka kinoma
Ila kibaya pamoja Na hayo yote ambayo Jamaa ana mfanyia demu...
Unajua buana, kuna utofauti mkubwa sana katika kutongoza
1. Mtoto wa kishua ambae hana shida
2. Mdada mwenye kazi yake
3. Mwajay ndala ndefu
4. Workmate
5. Mwanafunz mwenye msimamo wa masomo
6...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.