Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kijana ruka rukaaa Siku.umeukwaa hata Kuku watakuona kanyaboya.
14 Reactions
87 Replies
11K Views
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu Ndugu zangu hongereni kwa kumaliza mwezi mtukufu wa ramadhan na kusherehekea sikukuu kuanzia juzi Jana na leo yote tunasema mungu ndo mjuzi wa yote...
2 Reactions
5 Replies
827 Views
Yeyote anayekunyima furaha, piga chini. Maisha haya ni mafupi, haijalishi utaishi miaka 100 au 200; bado tutasema maisha ni mafupi tu, ikiwa na maana hapa duniani tunapita. Hakuna haja ya kuwa...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
Wanajamvi kwema? Kutokana na maudhi ya wife ya mimba. Nikajikuta nimezoeana na mdogo wa wife. Huyu dogo ana rafiki zake wawili mapacha. So, kwa kuwa wife yupo kwao kwa likizo ya week 2...
13 Reactions
149 Replies
10K Views
Huyu Shemeji yenu ambaye ni Mchepuko wangu wa nguvu, Kiukweli naukubali sana, hauna makuu, muda wowote nikitaka kuchakata nachakata tu, alafu unajua kupuliza fuuuu. Ebwanaaa Asubuhi nilimwambia...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Hili ni tusi la kiutu uzima. Ingawa dada huyu alikuwa anaongea kama utani lakini she was making alot of sense. Ni hivi tulikuwa kwenye kikao cha harusi bar. Akapita jamaa AKASEMA anauza Dawa ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Husika na kichwa cha habari, Yani hawa wanawake wa hivi wanakuwaga wagumu sana kufika Kilimanjaro sababu kwanza wanamaumivu makubwa ya mapenzi. Pia wengi wao ni masingle mama...
12 Reactions
57 Replies
6K Views
Habarini wakubwa, Niende kwenye mada moja kwa moja Kwanza mtanisamehe kwakuwa Mimi sio mwandishi nzuri. Mimi ni kijana mnaefanya huduma kwenye taasisi Fulani kubwa tu inayojihusisha na utatuzi...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Habari za mwisho wa mwaka. Bandugu huu si uchonganishi ila ni dhamira tu ya kukufanya uishi kwa akili na watu wanaokuzunguka na hasa marafiki. Kwa utafiti niliofanya kulingana na matukio...
13 Reactions
45 Replies
8K Views
Nlisema ntaacha kukula makahaba lakini pombe sitaacha. Shida tu kulewa nayo inakujanga na majaribio yake. Wiki mbili iliopita nimeingia sehemu fulani hapa Tanga kuona mpira kumbe ni danguro ya...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Unaweza ku-share Mswaki na Mpenzi wako?
-1 Reactions
19 Replies
1K Views
Asalaam aleykum.. Kristu.. Bwana yesu asifiwe Kutokana na maendeleo ya utandawazi karne hii imekuwa ni kawaida watu kutafuta wenza au marafiki kupitia hasa mitandao ya kijamii,kwa zaman kidogo...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu Kuna church girl Mmoja alinikazia kabisa ati lazima niokoke nimuoe ndio nimnyanjue. Kumbe chini ya maji alikuwa anapigwa miti na wadosi at her place of employment. Na vile alikuwanga soft...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
[emoji28][emoji28] kuna mabinti wengine akili zao sijui zipoje. Mwaka 2017 nlikua nadate na binti flani enzi hizo alikua bado mbichi kabisa miaka 18, siku namwambia tukutane kaniambia niandae...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za mchana ndugu zangu, Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha. Mume akadai chumba...
19 Reactions
123 Replies
10K Views
Kama inavyosomeka hapo juu, Nimekuwa na mahusiano na kaka mmoja kwa miezi mitatu, lakini cha kushangaza alikuwa haniombi mchezo, nikawa najiuliza huyu kaka miezi mitatu sijawahi kusikia hata...
9 Reactions
148 Replies
19K Views
Salaam binafsi sijawahi kupigwa na msichana achilia mbali demu wangu, je, katika maisha yako imewahi kukutokea ukapigwa na msichana katika ugomvi? Ilikuwaje? Funguka japokuwa ni aibu!
4 Reactions
98 Replies
8K Views
Hali nchini Tanzania imekuwa mbaya mno Wasimbe wanaongezeka kila kukicha kwa mujibu wa takwimu zilizofanywa huko Africa Kusini katika kila wanawake 10 wasimbe ni 7. Bado haijajulikana shida hasa...
10 Reactions
62 Replies
6K Views
Mko fresh watu wa Mungu? Nimepanda basi la angani toka saa 12 asubuhi kuja mwanza kikazi, lakini cha kustaajabisha mpaka sasa saa mbili kasoro usiku kwa saa za Afrika Mashariki wife hajanipigia...
16 Reactions
86 Replies
5K Views
Kitu ushawahi Fanya Maishani mwako na wala Haijawahi kujuta hata kidogo. 1. Sijawahi kujuta kuacha Advance japo watu walionizunguka waliona kama nimepoteza direction ya Maisha ila leo Hii Niko na...
0 Reactions
5 Replies
587 Views
Back
Top Bottom