Salaam sana jf
Imekua kawaida kwa hali ilivyo kwa sasa,kila tunakozunguka ktk maisha ya kawaida tunakutana na mijadala na hotuba mbali mbali za kumnyanyua mtoto wa kike ktk masuala kadhaa wa...
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja.
Shida ni...
Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical.
Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha...
Jamani mimi sielewagi shida ni nini, sometimes unaweza pata kijana mzuri tuu na unaona kabisa anatabia njema za kufaa kuwa hata mume/mke lakin mara nying hao ndo tunaowa push away.
Mimi...
Heshima yenu nyote wapambanaji wenzangu.Matumaini yangu mmeamka na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Tuje moja kwa moja kwenye mada.
Ipo hivi ukitaka kufa masikini kama unafamilia...
Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba...
Hello wanajamvi,
Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki...
Hali zenu?
Hii hali ninayo tangu nikiwa form 6. Wasichana niliowahi kutembea nao wote wana ngeu mpaka muda huu, japo sio kubwa ni ndogo ndogo tu, kwenye maeneo kama vile kifua, uso na mapaja...
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa!
Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea.
Najua wengi hapa...
Last week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao...
Habari wana JF,
Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze.
Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio?
Nina nyumba ya...
Kwema watu wa mapenzi?
Aisee, iko hivi kama hujaoa nakushauri usioe mwanamke msomi kabisa, mimi mshikaji wenu nimeoa mwanamke msomi tena wa kiwango cha masters tena ya Birmingham City University...
Niko somewhere in East africa, wife yuko kilometres kadhaa from me na tumezinguana toka jana,hakuna aliyemtafuta mwenzie leo for sex video,so nimeamua nitafute tu malaya hapa nilipo nijipigie siku...
Hii tabia naona inataka. Kuota mizizi kwa mpenzi wangu, Mara nyingi ninapompigia kumjulia Hali, maana tunaishi mikoa tofauti amekuwa akinijulia kuwa yupo off mood,bila ya kunioa sababu ya msingi...
Wadau habari,
Mimi nina jambo linanitatiza sana, sana, sijui nimekua dhaifu au ni vipi. Jamani kuna kipindi nilikuja hapa kuleta uzi wa mm kuwa kwenye mahusiano na Dada mmoja kazini, dada huyu...
Habari wadau.
Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo.
Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka...
Habarini wapenda,
Binafsi nafurahi sana kuwa mahali hapa najifunza mnooo.
Ila nilikuwa nina ombi. Mtu anapoleta uzi kutaka ushauri au msaada. Tujifunze kuwa na utu kuwaelekeza watu bila...
Wakuu bahari ya mihangaiko ya hapa na pale..na pirika za maisha..
Niende moja kwa moja kwenye swali..hivi inawezekana kurudiana na mpenzi wa zamani na mkawa kama kawaida..hata kama mliachana kwa...
Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.