Katika watu ambao nilikua najivunia uplayer na kuchezea wanawake basi mimi ni miongoni mwao.Sina idadi kamili ya wanawake ambao nilishawahi kuwachezea,kumbukumbu zangu hata haisebiki. Mtu mwenye...
Kiukweli wanawake wanakuaga na njaa Sana
Jinsi Ahsubui wanavyogombana na watoto wakigombea Upolo Unakuta Mama mtu mzima anawafokea watoto wake kisa ajawekewa Upolo sad
Wanawake badilikeni...
Ujumbe wangu huu hauwahusu wanaume wa Tanga wanaoa mabinti wa kitanga naamini wao wanaendana kitabia hivyo sio issue kubwa sana kuishi katika ndoa.
Tuje kwetu sisi ambao si wenyeji wa Tanga na...
Nmelala nadaiwa songesha, uku nina pisi moja kali na ndo naitegemea na inanitegemea.
Nashtuka zangu usingizini baada ya jana kurudi home saa 7 nikiwa kwa wana tunakula machingwa usku wa manane...
Babu yangu alinisihi kwamba mwanamke ana masikio matatu, mawili juu moja chini, wakati huo mwanaume ana macho matatu na vichwa viwili,.kichwa kidogo kikisimama kikubwa hakifanyi kazi, na macho...
Habarini, nina imani wote ni wazima Mungu anaendelea kutupigania.
Nina changamoto naomba ushauri wakuu.
Nina demu nipo nae kwa mahusiano lakini hii wiki sasa temekuwa tukipishana ishu nikwamba...
Unyenyekevu na utii wa wanawake walio kwenye ndoa umekua chini ya kiwango himilivu katika ndoa nyingi na hivyo kusababisha waume zao kupata pumziko la amani kwa wale wanawake wanyenyekevu...
Katika hali ya kushangaza,shetani anaonekana kufanikiwa katika eneo hili ili aweze kuziteka familia ama kuzivunja,kwa kuliteka tendo la uzazi.
Kwa nini wanawake hawaridhiki siku hizi?
Ukiachilia...
Wakuu leo ilikuwa ni siku ya harusi ya aliekuwa mchungaji wangu.
Lakini katka hali ya kushangaza,,
Bibi harusi hajaja kwenye ukumbi wa harusi.
Yaani sendoff imefanyika kwao jana alafu leo siku...
Huu uzi maalum kwa wale waliooa; tunataka kujua faida mnazozipata baada ya kuoa au tuseme ni kitu gani mnaweza tushawishi sisi ambao hatujaoa tuchukue hatua kama nyinyi, hebu mtupe faida...
Huyu Mwanamke Kama anailewi nimemwambia aniache nifocus na Maisha yangu lakini yeye kutwa kulazimisha yaani hata sielewi anatafta Nini kwangu.
Mimi sasahv nataka kukaa single nimemwambia lakin...
Kuna mtu anashida kapata mtoto na mdada ambaye hawajaafikiana kuoana sasa huyo dada anapewa matumizi na huyo kaka na nikwa kila kitu.
Sasa huyo kaka ni dhehebu jingine na yeye ni Mkatoliki...
Wallah sitasahau siku moja alfajiri kama hii nilipewa bonge la msonyo ule wa kuandikika! MXIUUU[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji30] [emoji31]
Malumbano ya hoja ukichanganya na vichwa...
Ndoa za siku hizi zinakuwa na mambo mengi pengine hata wakati mwingine zinaanguka Kabisa Sasa wakati zinapoanguka inaathiri uchumi hasa wa wanaume kupeleka hata kupata magonjwa ya moyo
Sasa...
Wanaume wenzangu naomba tuwaambie wadogo zetu kuwa si kila mwenye jinsia ya kike ni wa kuoa, wanawake wa leo wengi ni vivurunge, wanayo pesa ila wanataka kuwatawala wanaume hivyo kuwa makini ni...
Imefika mahali wanaume wanaume tumekua Kama hatuna akili hivi.tumebaki tunashinda tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Yaani wanaume tunamalalamiko Kama wajane vile.
Serikali za kimataifa na...
Ni siku fulani nzuri na tulivu, ikichagizwa na weekend kuingia
Moja kwa moja kwenye mada,
Ni hivi, ukiwa kama mwanaume halafu ukaletewa malalamiko na Dada yako wa damu yaani tumbo moja.
Kuwa...
Habari? Natafuta mdada wa kazi za nyumbani nipo Dodoma, Familia yangu ni ya watu watatu baba, mama, na mtoto mmoja naomba aliyetayari au anayemfahamu mtu anayehitaji kazi aje pm kwa maongezi zaidi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.