Mapenzi ni Hisia , Kimahaba ninaweza yaelezea kua ni Hisia ambazo Zinakaa Damuni , Ubongoni, Moyoni, kila mahali ya Mwilin mwako.
Na Inapokua ya kweli na dhati, kila mmoja anataka awe mahali pa...
Jana mpenzi wangu alisema amenichoka na kuniambia why wakati wa kugegedana huwa nalia sana? Ila kwa kweli sikumjibu na wakati ulipofika wa kupeana utamu wetu nilianza tena ile tabia na akachukua...
Leo nimeona niwakumbuke ndugu zangu wanaopenda Mwanamke kwa Dhati ya Moyo na akili yao yote na hisia zao zote kuliko Kumpenda Bwana Yesu.
Sawa, eehh ndo umempata sasa , umwekeza Muda na Pesa zako...
Onyo:
BIDADA wale wa" Mkaka gani Unatuletea inshu hizi humu , Hawa ninawaambia, Achen Wivu , sijakutongoza na Sina mwanamke JF na kwakua sitegemei kupata mwanamke humu, Tulia am free ndio maana...
If a woman mistreats her man, it is only because he lets her....YES ITS BECAUSE OF YOU MAN !!.
Mnatia Hasira sana nyie wasenge, haiwezekani, haiwezekan ... Na ndio Sababu mmekuja na makampeni...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema.
Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi...
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.
Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.
Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula...
Mnajua Wanawake wanatuhitaji sana sisi wanaume ndicho kitu walichoumbiwa.
Mwanamke inabidi ndio awe mwenye Furaha sana pale unapomwambia Ninakuoa !!.
Et waoo kasema ' ndio' , Kwa lugha nyingine...
Habarini
Huu ni ukweli mchungu ambao wadada na wakaka wengi wanashindwa kusema, wanaume wengi wetu sisi tuna vitambi kama tumebeba mimba, vimbaumbau, mwili mmoja rangi mbili, ngozi ya mwili kama...
Leo navunja utamaduni wangu wa kutojaadili jinsia ya mtu majukwaani.
Nimesoma nyuzi kadhaa za ndugu yetu Mpwayungu Village ambaye hana parody kama walivyomclone GENTAMYCIME GENTAMYCINE bila...
Wanaume wenzangu!
Kila mwanamke ana wanaume watatu katika maisha yake.
Hii ndiyo hali halisi ya uchungu wa mahusiano ya kisasa: kila mwanamke ana wanaume watatu katika mzunguko wake. Nafasi...
In this article, I’ll be pulling the curtain back on the 8 types of people who never deserve a second chance. Hold on tight, because some of these might hit close to home.
1) Chronic liars
We’ve...
Leo nmeamka na mood ya mapenzi sana.
au ni hali ya khewa hii[emoji12]
Dedication kwa Babe wangu,Baby dady(Meck).
Darassa feat Bien-No body
No body can love you better than i do baby.
Happy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so...
Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa.
Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini...
Wana Jamiiforums
Kuna wakati wakina dada wengi wanapata shida kuolewa kutokana na maeneo wanayotoka, utafiti nilioufanya maeneo niliyoyataja ni nadra sana kupata mke bora ambaye hajashawishika...
Kaka Magical power nina ushuhuda kuogeshana
Umekuwa ukiandika kuhusu kuoga pamoja na mtoto wa mtu. Nilikuwa sipendi kabisa kuoga na mwanamke leo ukawa umeandika tena nikasema nitajaribu ili nione...
85 percent ya Wauza iPhone
Hawawezi kukwambia SIRI hii
Kwanini?
Subiri nikupe Story,
Nina Ndugu yangu
Kila ikitoka iPhone,
New Model, lazima Aidake!
Na anaidaka ikiwa,
Bado haijapoaa!
My...
Wakuu naombeni mnishauri mie mdogo wenu aisee hivi ni sahihi kumuuliza mwanamke kuhusu past yake? Ila sasa baada ya kumuuliza akanijibu fresh tu ya kwamba alipigwa miti sana na mshikaji wake sasa...