Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wakuu salama salama.. Wakuu mpaka sasa nimekua naogopa mno maana nimejikuta natumia mda mwingi kuwaza kuhusu hili penzi la single mom mmoja hapa mtaa wa kati. Huyu binti ukimuona uwezi amini...
21 Reactions
334 Replies
6K Views
Tunawalaumu sana wanawake,kuhusiana na maisha baina ya mwanamke na mwanaume.Kila jambo baya likitokea basi ni mwanamke ndio kahusika.Tujitazame na sisi wanaume tunatenda haki?,Tupo sawa? hatna dosari?
1 Reactions
6 Replies
156 Views
Hii ndio ya mwisho siwafundishi tena!, Alietulia ni sawasawa na kasongo (ngiri) siku akikumbuka shimo lake basi anarudi kwa spidi kali na mnajua huyo mnyama anavyoingia kwenye shimo lake...
11 Reactions
70 Replies
1K Views
Jihadhari na Udanganyifu wa Kijinsia... Wanaume Ngono ni nzuri, lakini imepewa thamani ya juu kupita kiasi. Wanawake wanadhani ngono ina nguvu sana. Wanadhani na kupitiliza uwezo wao wa kijinsia...
9 Reactions
22 Replies
863 Views
Habari zenu wakuu. Nauliza hivi Kwa Sisi WANAUME Je, mwanamke msaliti anasemehewa?
6 Reactions
130 Replies
3K Views
Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana. Kama hiyo haitoshi Princess...
3 Reactions
2 Replies
293 Views
HILI NI JANGA LA KITAIFA KWA MABINTI WALIOPO KWENYE NDOA!😭💔 Wanawake wanaokubali kuingiliwa kinyume na maumbile katika ndoa zao ni wengi, tena wengi ni mabinti wa kuanzia miaka 22 mpaka 27, ndiyo...
9 Reactions
54 Replies
3K Views
Ndoa ni safari takatifu, lakini kama ilivyo safari nyingine zozote, inahitaji kuwa tayari kabla ya kuianza. Si kila mtu anafaa kuwa mwenzi wa ndoa, na si kila mtu anafaa kuingia kwenye taasisi hii...
11 Reactions
90 Replies
3K Views
Mwanamke ana kazi mbili mnapoanza naye maisha ya ndoa, nazo ni; ...Kukutuliza ukiwa umechanganyikiwa na kukuchanganya ukiwa umetulia. Asante.
10 Reactions
15 Replies
531 Views
1. IT WON’T LAST FOREVER When you’re having tough times with your partner, it can feel like it will never end. But remember, things will get better! Look back at happy memories together to remind...
2 Reactions
8 Replies
342 Views
Habarini wana jukwaa. Mwanzoni mwa mwaka jana (December 2024) wazazi wangu walinishauri tutume wawakilishi waende nyumbani kwa wazazi wa mchumba wangu kwaajili ya utambulisho. Japokua Binti...
11 Reactions
152 Replies
3K Views
Kutokana na ubusy na kazi yangu mara nyingi nlijikuta si mtu ambaye nina muda wa kukaa na mwanamke au kumchunguza mwanamke.nlichelewa sana kuoa lakini pia hata kupata mtu wa kumwita mchumba maana...
188 Reactions
1K Replies
77K Views
Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K)...
15 Reactions
161 Replies
5K Views
Nakumbuka mwaka Jana February niliwai leta kisa humu Cha kumchapa makofi mchepuko wangu. https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/38182399 Ebana eeh, Yule mchepuko mwezi machi katikati...
21 Reactions
2K Replies
93K Views
Habari Kaka magical power,mimi ni Mama wa miaka 38 Majina naitwa Brenda, nipo kwenye ndoa kwa miaka 7 sasa😭💔, mimi na mume wangu tulikua vizuri tu, mume wangu ni wale wanaume wapole, ananiruhusu...
13 Reactions
62 Replies
4K Views
UZI WA KIJOBLESS NA MBINU ZA KIDIGREE (Utatu wenye utata) GAP YEAR......!!! Kati ya mwaka 2017_2018, inaweza kuwa mwanzoni au mwishoni mwa miaka hio kumbukumbu zangu hazijakaa vizuri...
2 Reactions
17 Replies
849 Views
Maneno ya mwisho niliyomwambia ni kuwa, "Huwezi kupata mwanaume mwingine kama mimi, ondoka, lakini najua utarudi, mjinga wewe!" Miaka miwili iliyopita nilifunga ndoa na mke wangu wa sasa. Kipindi...
19 Reactions
58 Replies
4K Views
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo...
30 Reactions
162 Replies
7K Views
Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom