Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hopes mko poa wana MMU, ningependa kutoa mrejesho Kuna siku nilipost kule love connect kuwa naitaji rafiki wa kike, ingawa niliweka vigezo vingi ambavyo wengi waliokuja PM walishindwa kuvikidhi...
6 Reactions
139 Replies
5K Views
Heshima yenu wana JF, kiukweli wanawake hawajawahi kueleweka, nilikuwa na mpenzi wangu ambae tumedumu kwa miezi mitatu...
21 Reactions
85 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya nyotee!!!! Aina tatu za ndoa 1. Kuoana kwa sababu huyu anataka kuoa na yule anataka kuolewa, wakakutana kwa haja hiyo. Kinachowakutanisha ni hiyo haja. Ikishatimia kila mtu na...
1 Reactions
5 Replies
177 Views
Wakati kijana uko kwenye process ya kutafuta na kujaribu kuuteka moyo wa msichana, unatakiwa kujifunza kutumia maneno matamu. Na lazima ujue kuwa sio kila neno unalotumia litagusa moyo wa mwanamke...
9 Reactions
107 Replies
101K Views
Sehemu hii inaweza kufanyiwa kazi na mwanaume Rijali kwa kuzingatia yafuatayo Pata utulivu wa akili kwa kutumia njia za kuvuta pumzi (Deep breath),kupiga miayo mfululizo,kutoa hewa tumboni kuja...
3 Reactions
5 Replies
255 Views
Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Salamu za Januari wajumbe, Miaka ile ya ujinga, nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, mahusiano yalinoga haswa kuna wakati nikadhani kabisa kuwa sasa huyu atakuwa mke na mama wa watoto wangu...
25 Reactions
36 Replies
6K Views
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha. Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
25 Reactions
222 Replies
7K Views
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka. Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa...
5 Reactions
37 Replies
1K Views
Habari wanajf nipo natafta mke naomba kujua sifa za Wanawake wa kikurya
5 Reactions
64 Replies
4K Views
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi. Naombeni mfute ile dhana...
4 Reactions
319 Replies
51K Views
Niaje niaje. Hii inagusa story muhimu kwenye maisha yangu halisi ingawa sitaingia ndani sana lakini nitagusa kidogo na code zitakuwa mubashara. Picha linaanza niko chuo x ndio kwanza nimefika...
0 Reactions
4 Replies
509 Views
Hapa siongelei financially. Naongelea katika upande usionekane katika macho ya nyama. Namaanisha energy, namaanisha kiroho. Nimesikia hapa na pale katika mada tofauti kuhusu jambo hili huku...
5 Reactions
76 Replies
2K Views
Nilikutana na usaliti kutoka kwa rafiki, anaongea shit kuhusu mafanikio yangu. nilijitenga naye kwa muda (kumpa space) aliniomba msamaha mara kadhaa, nikachukua muda wa kutafakari nikampa nafasi...
2 Reactions
5 Replies
273 Views
Katika mahusiano na hasa juu ya kitanda,utamu hasa ni nini? Miguno? Miuno? Mnato? Speed? Tujadili wanaMMU
1 Reactions
17 Replies
7K Views
Habari wanaJF, Naamini kwa idadi kubwa ya watu wa humu, kunaye mtu uliyewahi kumpenda na pia bado unampenda lakini kuna mambo yalitokea hadi hivi sasa haupo karibu nae au haupo nae katika...
7 Reactions
97 Replies
2K Views
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa...
143 Reactions
530 Replies
37K Views
Kweli hisia hazifichiki kabisa. Hapa mwamaume mwenzetu kweli kakosea sana.
9 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu habari za asubuhi? Hivi karibuni nilishare huu uzi hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/najuta-sana-kuharibu-ndoa-ya-huyu-jamaa-nitumie-mbinu-gani-kumuomba-msamaha.2278938/ So kilipita...
7 Reactions
31 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari husika Nimejichunguza vya kutosha nashindwa bado kujipa majibu ya uhakika… ni mimi nina tatizo ama ni hali ya kawaida tu kwa kila mwanamke Mimi sio mwenyeji sana kwenye...
20 Reactions
158 Replies
3K Views
Back
Top Bottom