Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao...
Kwa kweli,sio kwamba nina pesa nyingi la hasha,ni mtu tu ambae sinaga mambo mengi hivyo huwa najitahidi kuwa na kabalance ka kutosha kwenye accounts zangu kwa ajili ya mambo yangu binafsi.
So...
Msichana aliyeumbika vizuri na kubarikiwa tabia nzuri huwa anagombewa na wachumba tangu akiwa na miaka 15.
Hivyo haiwezekani popote pale duniani msichana mrembo na mwenye tabia njema kufika...
Habari za muda huu wanajamii forum. Nia na madhumuni ya Uzi huu kujua au kutambua sababu zinazo pelekea wanawake au wanaume wachelewe kuolewa au kuoa.
Karibuni sana
Ni kweli, mwanamke jitahidi uolewe kabla hujafika 32(maximum age). Baada ya hapo ni aibu kweli. Aibu yakutokuolewa ni mbaya sana.
Nawaombea kwa Mungu wanawake wote muolewe on time.
Kibaolojia, mwanamke hukata moto wa kuchakatana (kugegedana) na hukoma kuzaa akiwa na 45 ama chini ya hapo.
Ndiyo kusema kama mwanamke ameolewa na 32 tafsiri yake ni kwamba atakuwa consummated...
Kuna katabia kapo hata sijui aliyekaanzisha nani aisee, ka kuamini kila mwanamke anataka kuolewa na ndio lengo au ndoto za maisha yake.
Utakuta wanaume wanamtongoza mwanamke akikataa wanaanza...
TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi...
Hivi wanaume wenzangu mnaohonga nyumba Mpaka magari Nyoyo zenu zipoje? Maana mimi nimejaribu ELFU KUMI tu yaani hapa natetemeka mwili mzima jasho, halikauki yani nahisi kuzimia zimia😂😂
Sijui kama huu Uzi utabaki hapa, ila lengo kuu mjifunze kitu
Mnaweza msinielewe kabisa, na kujua lengo la thread hii ni Nini ok??
Hii Dunia imekwishwa wakuu, mpaka naandika hichi kitu natokwa...
Moja kwa moja kwenye mada
Kama unatabia ya kujipongeza kwa kufanya ngona bila stahiki acha mara moja unajiharibu kufanya ngono ni kuzuri, kuna faida nyingi katika mwili wa binadamu lakini kuna...
Holla
That's it.... He wasn't man enough for me and am the one for the cause we're apart.
Lady out there... jiamini acha kulialia. .... to Kasie he wasn't man enough.
"He Wasn't Man Enough"...
Kuna jamaa yetu tuko nae hapa kwa wachina.alimfumania mkewe wa ndoa takatifu kabisa analiwa na njemba nyingine ila cha ajabu jamaa limemsamehe mkewe na saivi limemrudisha nyumbani.
Huu ni uzoba au...
Kuanzia miaka 14 hadi 18 anachezeana na wanafunzi wenzake huko hajui lolote kuhusu shule yeye ni kuoga na kupunguza skirts zake tu, mrembo wa shule, kichwani bila bila yaani tupu ( utupu )...
Mwanaume akikufata kutaka uwe nae kama ujampenda ata usijisumbue kumkataa kumvunja moyo na kauli za oh sio type yangu sijui nina mtu wangu blah blah blah!!
Siku izi mwanaume akikutaka alaf...
Habari Wana JF hope mko poa. Hakuna kitu kinaumiza hapa duniani Kama unampenda mwanamke na yeye anaonesha kabisa kukuelewa lakini unashindwa kumwambia. Ni mwaka wa tatu toka ni fall in love kwa...
Kutana na mtu anaejiita PROSER NOW (ProsperNow) katika mtandao wa X
Ndugu yetu huyu amejipa ukungwi wa kiume lakini maandiko yake ukiyasoma kwa undani zaidi unagundua jinsi alivyo na upeo mdogo...
Kila mzazi anachukizwa na tabia ya watoto kujiingiza kwenye mahusiano ya kimapenz shueni. Watoto wawapo shuleni hasa kizaz hiki wanakuwa na wapenzi wao. Wengine wanakuwa ile kimakuzi tu ni mpenz...
Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo...
Wakuu naomba ufafanuzi katika hili.
Je Mke anapaswa kumuachia Mama siti ya mbele akae na mwanae na yeye akae siti ya nyuma.
Au Mama ndiye anayepaswa kukaa siti ya nyuma.
Naona kama hili suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.