Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ulaghai wa mahusiano mtandaoni hutokea pale ambapo mtu anaamini yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine 'tapeli' katika Mitandao ya kutafuta wachumba 'dating sites' kama vile Tinder na OkCupid...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Achila mbali IDs au avatar yake... Ni nani miongni mwa wanaFamilia wa JF ambao kwa mabandiko au michango yao ya mawazo humu jukwaani, unapoisoma tu, wanaashiria kabisa ni warembo with brain...
19 Reactions
584 Replies
14K Views
Kila mtu sasa hivi ni mwanasaikolojia anaelezea mapenzi na afya ya akili. Ukimuangalia huyo mwanasaikolojia unabaki kushangaa huyu mbona yeye tayari ana stress. Baadhi ya 'wanasaikolojia' wa...
5 Reactions
25 Replies
752 Views
Hi guys, Nahitaji advice , ndugu yangu met a guy from a dating site , ni mzungu ( sitaki kutaja country) and he is aged enough , things were going well na mwanaume alikua anaonesha upendo Ana...
14 Reactions
140 Replies
3K Views
Jana ndiyo nimeamini ni heri utupe nyavu halafu ukataliwe kuliko kuishi na majuto baada ya kutotupa nyavu. Jana nilikuwa nasafiri kutoka mkoa X kwenda Z kwenye basi nilikaa na binti mmoja alikuwa...
11 Reactions
45 Replies
1K Views
"Endapo bado hujaelewa tofauti kati ya wavulana na wanaume, hapa kuna mifano michache inayohusu mahusiano ya kimapenzi: - Mvulana: hutumia wanawake kujenga kujiamini. Mwanaume tayari ana...
7 Reactions
6 Replies
538 Views
Wananzengo mko salama? Leo nimeulizwa swali na raia mmoja nikakosa majibu ndugu zangu; natumaini kupitia jukwaa hili, nitapata majibu ya swali nililoulizwa. Natumaini hii hali ilishakutokea...
16 Reactions
457 Replies
16K Views
Natamani kuvunja ndoa yangu. Habari zenu wakuu, natumai mko poa. Nimekuja na nia ya dhati kutafuta ushauri kuhusu jambo langu ambalo linanitatiza. Mimi ni msichana mwenye umri chini ya miaka 30...
41 Reactions
532 Replies
27K Views
Wakuu, Leo acha nizungumze na wazazi, wazazi mtanisamehe kwa nitakachokizungumzia hapa leo hii ila naomba mnielewe. Naombeni muda wenu walau kwa dakika kadhaa someni hiki ninachowaasa kitawasaidi...
10 Reactions
56 Replies
2K Views
**weekend hii tulivu nimekaa nikatafakari juu ya Ukuu wa baadhi ya wanaume jamani ** Yaani unakuta mwanaume anagusa kona zote, Kushoto kulia Kaskazini mpaka kusini Anakata mabonde na milima bila...
71 Reactions
475 Replies
48K Views
To you Papa D, I know you know how much I love you. Wachana na maneno ya wanga, Nisikize mimi,nipe vya uvunguni usinibanie, Nilaze kwenye kifua chako Mashaallah, usiniache hewani.. Nipo tayari...
13 Reactions
157 Replies
9K Views
Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
15 Reactions
235 Replies
8K Views
Kuna Mdada nimeona mtandaoni anasema "wanaume siku hizi hawatongozi, wanatafuta shida yako ni nini, anakaa, anakukula, anasepa". Ningependa kumwambia kuwa hao wanaume ni Madomo Zege na midomo yao...
3 Reactions
5 Replies
686 Views
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu, Jengine bado hajamalizia...
53 Reactions
272 Replies
7K Views
Dear Ladies. Ukiachana na sex unayoprovide kwa mwanaume ni kitu gani kingine kama mwanamke kwenye ndoa au uliye kwa mahusiano unatoa. Ndoa za sahizi zimekuwa shida Ila moja ya vitu nilivyogundua...
12 Reactions
164 Replies
3K Views
Habari za mda huu,. Simu yangu ilikua nzito nikasema ni-restart ili ianze upya maana mtandao ulikuwa chini sana na sikuwa naweza kuongeza au kudownload picha wala chochote inaniambia space...
11 Reactions
34 Replies
694 Views
MWANAMKE HAPASWI KUWA MGOMVI Mithali 21:9, 19; "Ni afadhali kukaa ktk pembe ya darini, kuliko ktk nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi." "Ni afadhali kukaa ktk nchi ya nyika, kuliko na...
4 Reactions
16 Replies
5K Views
Kati watu ambayo tumewahi kushika pesa umri mdogo kuanzia miaka kumi na 14, basi mimi ni miongoni mwao. Siwafichi chanzo cha hela ilikuwa wazazi wangu, hata nakumbuka nilijua kuendesha gari na...
1 Reactions
10 Replies
987 Views
𝚂𝚎𝚑𝚎𝚖𝚞 𝙸 𝑵𝒂. 𝑱𝒐𝒉𝒏-𝑩𝒂𝒑𝒕𝒊𝒔𝒕 𝑴. 𝑵𝒈𝒂𝒕𝒖𝒏𝒈𝒂 _______________________ Moja ya tofauti iliyopo kati ya Mwanaume na Mwanamke ni kwamba Mwanaume anahitaji sana Utulivu na Amani ya Akili (Peace of Mind)...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom