Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ndugu zangu wana Jf Salaam sana. Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya...
24 Reactions
194 Replies
8K Views
MADHARA YA KASHFA NA TUHUMA ZA UZUSHI Madhara ya kashfa ni kwamba unaweza kufukuzwa kazi,kutengwa na familia pamoja na jamii, unaweza kupoteza ajira, unaweza kupoteza uaminifu katika jamii...
6 Reactions
6 Replies
338 Views
Mwaka 2018 alienda Dar-es-salaam kutafuta maisha katika harakati za maisha jamaa kajitokeza kua na dada. Cha ajabu huyu sister sijui ana Akili gani hua anakuja yeye tu maskani lakini bwana wake...
20 Reactions
184 Replies
8K Views
Mbinu za kivitaa wadada wanaelewaa Mwaka huu usipoongwaa nyumba basi Hakikisha amekuongaa hata ki gari cha laki 1 kile kiportel
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Salaam wana fikra pevu. Je, unaweza kueleza ni eneo gani ulikutana na mwenza wako kwa mara ya kwanza, pia je ni kweli kwamba tabia na mwenendo wa mwenza (mke/mume) hutegemea zaidi na sehemu...
1 Reactions
592 Replies
54K Views
Huu uzi naundika mahususi kwa kwasababu ya mdau mmoja ambaye anatupigia sana makelele hapa jukwaani kuhusiana na mwanamke bikira,kwa mtazamo wake anaona mwanamke bikira ndio sababu ya utengamano...
21 Reactions
209 Replies
9K Views
Ukichelewa kuoa au kuolewa ni NGUMU SANA kumpata mwenza mnayeendana. Huu ni mtazamo tu wakuu japo najua kila mtu anaweza kuwa na namna yake ya kutazama mambo lakini mimi naona kama ni ngumu sana...
4 Reactions
24 Replies
970 Views
Kwanza kabisaa usiamini story zote humu utakuwa mjinga sana humu kuamini kila story na kuanza kumdefine mtu kulingana na story alioleta… visa vingi ni uongo uongo Hii tabia imekuwa kero sana kwa...
18 Reactions
109 Replies
2K Views
Kama mada inavyojieleza Kuna rafiki yangu alikatiwa bima ya afya na mke wake sasa wana ugomvi mke anatishia kwenda kuifunga Jamaa anaulizia utaratibu ukoje ili apambanie haki yake kama mume...
4 Reactions
30 Replies
668 Views
Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko 🤝Wiki kadhaa ziliyoisha ya tarehe 25/12/2023 Kuna mdada nilikutana naye kwenye Uzinduzi wa siku 16 za uanaharakati dhidi ya UKATILI wa kijinsia...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata...
168 Reactions
264 Replies
39K Views
Ule usiku wa shughuli pale ukumbini huwa tunaona mwaliharusi mrembo hadi unajiulizaaswqli mengi Huyu mlimbwende katoka wapi huyu? Wajameni mbona binti mrembo hivi? Huyu katoka uhabeshi? Huyu...
3 Reactions
24 Replies
758 Views
Wanandoa wengi wanaendekeza mazoea ya kuzoeana katika ndoa hadi kufikia kunyimana tendo la ndoa lenye uweledi na kufikia ndoa kuvunjika kwa jambo dogo tu. Mimi ni jambo ambalo na lipa kipaumbele...
1 Reactions
2 Replies
339 Views
UGONJWA WA VIJANA NDO UMAUTI WAO. Dhana mnayoiendekeza namnaiona ndo pepo yenu tambueni ndo umauti wenu pia maana hakuna kizuri kisicho kuwa na kasoro. Yes nawakumbusha Vijana 👇 Mashangazi...
4 Reactions
20 Replies
521 Views
Habari , Hope mko poa Twende directly kwenye Mada. Hivi wanawake Especially Mlioolewa Mnaweza Vipi Kuishi na Mwanaume anayependa Kununa nuna ? Binafsi Nimechoka sasa Mume wangu ni ile aina...
16 Reactions
100 Replies
2K Views
Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya. Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana??? Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri...
4 Reactions
28 Replies
567 Views
Maexpert wa kiume nawapa mchongo ambao wanaume wenye hekima tu ndio wanaielewa hii code Mosi, mwanamke wako hatakiwi kujua hisia zako za ukweli kabisa,yes you heard me! Fanya utakavyo fanya na...
30 Reactions
235 Replies
5K Views
Tulitishwa Sana kuoa kabila za mkoa wa Tanga (hususani Wadigo na Wabondei) kuwa tunakaribisha umaskini, Leo hii mwaka wa 7 nipo na mke wangu Ashura, ananipa yote kwa mapenzi na mahaba. Napewa...
19 Reactions
96 Replies
11K Views
Inashangaza sana kwa mwanamke mwenye ndoto ya kuolewa na kuitumikia familia yake kuanza kuweka vikwazo kama anavyoviweka huyu binti Amepata mwanaume ambaye yuko kwenye mstari mnyoofu wa maisha...
22 Reactions
189 Replies
7K Views
Nilimkuta anaandaa mahindi, kipindi ambacho kulikuwa na balaa la wadudu na ukame hivyo uvunaji haukuwepo kabisa au ilikuwa duni mno. Katika kuchangamsha tu genge nikamsifu kidogo kwa kumwambia...
5 Reactions
9 Replies
540 Views
Back
Top Bottom