Dalili Kwamba Anakupenda
Anaonyesha Kujali kwa Moyo wa Dhati
Anakufuatilia kujua hali yako (mwenendo wako wa kila siku, afya yako, au matatizo yako).
Anachukua hatua kukusaidia bila ulazima, iwe...
Kwanza naomba mjue nawapenda sana maana bila uwepo wenu hapa duniani sijui kama maisha yangekuwa na thamani yoyote,ndiyo maana pamoja na baba yetu Adamu kuwa peponi lakini bado Mola wetu akaona...
Hao wanawake wana mapungufu mengi hususani hao tunao oa kutoka familia za mijini za middle class wana mapungufu mengi sanaa ila tuna puuzia ili mradi kama haja anza kuchepuka unamvumilia kuna...
Kuna huyo Kijana.. nampenda ila yeye hanipendi kabisaa japo anajifanya kunipenda ila mimi Naona Hakuna upendo kabisa…
Tulikutana kazini huko tukaanzisha husiano ila ni kama mimi ndio...
Ni content but in reality inachoma kama pasi.
Poleni wanaume wote mnaopitia khali hii ama zaidi ya hii.
Mwenyezi Mungu awaone na kubariki hustles zenu.
Happy Friday.
Dalili za Mwanamke Kukupenda
Anaonyesha Kupenda Kuwepo Karibu na Wewe
Atafurahia kutumia muda na wewe, hata kama ni kwa mambo madogo kama kupiga stori au kushiriki shughuli zako.
Hutafuta sababu...
Natanguliza Salam kwenu wadau wa jukwaa hili
Kama kichwa kinavyosema naomba kujuzwa kwa wale wanao fahamu sifa au characteristics za wanawake kutoka kisiwa cha mafia. Ndugu yenu nataka kujua...
Ipo ivi mm ni mama ninamiaka 29 sasa ..naombeni busara zenu kuishi vipi na uyu mwanaume ..tumezaa watoto wawil apa kati tuliachana lakini nyumbani awakuelewa na hawataki kusikia ilibdi niludi...
Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili...
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mimi ni Mwalimu kutoka Geita, Tanzania.
Nina mahusiano na wanawake zaidi ya mmoja, changamoto iliyopo huwa ninashindwa kumtambua...
Mtu ambaye anaweza kuumizwa sana ni yule ambaye kipaumbele chake namba moja ni kupendwa sana na kukubaliwa na kila mtu.Unapotaka kumfurahisha au kumridhisha kila mtu ni wazi kwamba unakua haujui...
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni.
Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo.
Tunakwama wapi jamani?
Kuna wazazi wanawalea watoto wao wa kiume kimayai sana! Yani mpaka leo anakaa naye nyumbani.
Na kijana anakazi yake inamlipa fureshi, sasa cha kushangaza kijana wa kiume hata kuoa hataki.
Hana...
Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke.
Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya...
Kwa mfano pakiwekwa mada au pakianzishwa mjadala unaohusu matatizo ya nguvu za kijinsia, udhaifu katika tendo la ndoa, matatizo ya afya ya uzazi, magonjwa ya zinaa, athari za punyeto na mambo...
Ndugu zangu salaam
Huu ni uzi maalum kwa wale waliokosea kuoa na kuolewa pia kw wale waliokosea kuwa kwenye mahusiano.
Tuambieni ni nini ulikiona kwa mwanamke wako au mwanaume wako ukagundua...
Vijana wengi wamekua wakishindwa kuchagua ni binti yupi anafaa kuolewa, hivyo hivyo wanawake nao wameshindwa kutambua ni mwanaume mwenye vigezo vipi anafaa kukubaliwa kuolewa nae.
Mambo mnne...
Kuna watu ambao huwa na tabia ya dharau, majivuno, kiburi, ujuaji,wanajiona ni wazuri sana,wanajiona ni ma-superstar kwa maana ukiwa naye kwenye mahusiano akili yake inaamini kwamba anakusaidia...
Habarini ndugu
Baada ya kupata mtoto, ilibidi mzazi mwenzangu aje nyumbani kwetu kumleta mtoto Bibi yake amuone kwani alikuwa na shauku ya kumuona mjukuu wake.
Walikaa kwa kipindi cha miezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.