Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo: 19 to 32 years Mweupe na beautiful Mrefu kiasi Sio mnene wala mwembamba sana Mwenye dimpoz Awe tayari...
24 Reactions
193 Replies
3K Views
𝙈𝙎𝙄𝙆𝙄𝙇𝙄𝙕𝙀 𝘼𝙎𝙃𝙍𝘼𝙁 𝙃𝘼𝙆𝙄𝙈𝙄 Alipoulizwa kama aliweka mali zake chini ya uthibiti wa mama yake kwaajili ya Ndoa: Hakimi alisema: "Hapana! Hii haina uhusiano wowote na ndoa, kwa sababu kama...
0 Reactions
3 Replies
225 Views
Hakuna mwanamke wa kisukuma asiye na chale mwilini. Familia za kisukuma kupeana connection za waganga konki ni jambo ka kawaida, usishangae siku mkeo anapigiwa simu na mama yake kuwa aombe ruhusa...
72 Reactions
255 Replies
10K Views
Ukiangalia historia ya maisha ya watu wengine waliotangulia utabaini kwamba maisha ya mwanaume siku zote huwa magumu sana.Mwanaume anaweza kuonewa huruma nyakati nne ,moja akiwa mgonjwa sana,mbili...
10 Reactions
24 Replies
816 Views
Bwana Yesu apewe sifa. Kuna sehem nimesoma kua kama mwanamke ameshatumika sana na wanaume. Ikitokea ameolewa basi hataweza tulia kwenye ndoa yake kabisa. Mshkaji anasema sababu ni wanaume ambao...
26 Reactions
245 Replies
6K Views
Natumaini mkopoa Natamani kujua namna malezi ya watoto wenu yalivoleta changes kwenye maisha ya wazazi wengi Nitaanza na mm story yangu ya kweli lakin nilisimuliwa na mamayangu pia Kwa kias baba...
21 Reactions
127 Replies
3K Views
Nimemfumania zaidi ya mara 3 na kumsamehe. Tuna mtoto mmoja, lakini bado hataki nimuoe. Nina miaka 37 na niko kwenye mahusiano na huyu dada kwa miaka 12 sasa. Yeye ana miaka 35, ni mwanamke...
19 Reactions
183 Replies
5K Views
Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila...
6 Reactions
50 Replies
2K Views
Heshima kwenu Haya ni maneno yako yaliyopangwa vizuri kwa kutumia mtindo ule ule: Dogo, wasikusome! Hii dunia ya sasa usikariri. Manjegeka ni mengi, na mambo mabaya ni kibao. Mwanamke akisha...
2 Reactions
3 Replies
190 Views
Fundi wa Ving'amuzi alienda kurekebisha dishi la Azam kwenye Nyumba ya Wasomali , Baada ya kufika kwenye nyumba ile alimkuta Binti wa mwenye nyumba akiwa mwenyewe . Yule binti alikuwa na miaka 20...
2 Reactions
12 Replies
588 Views
HESHIMA KWENU kupitia maisha ya kila siku ni kweli kuwa jina hali define hatima wala halileti hela. ila kwenye dini zote tunasisitizwa IMANI MOVES MLIMA , tunaweza kuinvest majina kwa watoto...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)? Umri una changamoto sana huu maana kijana ameanza kuutambua ulimwengu na mema yake. Kipindi hiki kiburi...
3 Reactions
17 Replies
600 Views
Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza...
11 Reactions
22 Replies
938 Views
Baada ya kukaa mda MREFU Sina mahusiano nikaamua ngoja nitest skills zangu wazee Nikamtokea Binti mzuri mtoto wa 2000 akakubari ila nilipomsoma nikaja gundua ni mtu wa tamaa sana He only check...
4 Reactions
23 Replies
900 Views
Jamani wadau, naomba mnisaidie kitu. nina manzi wangu kimahusiano, ila kila akinipigia simu napata hasira, tunalumbana lumbana sana lawama kwa sana Shida inakuwa nini....?
6 Reactions
43 Replies
739 Views
Mwenye sikio na asikie 😁😁😁😁😁😁
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Habari wakuu! Ipo hivi, nipo kwenye mahsiano na mwanamke aliyeachwa kwa kosa la usalit katika mahsiano yake ya mwanzo. Alimsalit mtu wake akaja kwang, jamaa alipogundua akaachane nae. Jamaa...
17 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari wadau..mi ni mgeni humu naomba nipokelewe.. Mi ni kijana wa makamo,Nina tatizo Moja kubwa na linanitesa sana.. Kwenye mahusiano natokea kupendwa sana na mabinti,lakini wanataka sex TU...
13 Reactions
45 Replies
1K Views
Akitoka ananiacha na watoto na mfanyakazi wa ndani, Naakirudi nashindwa kumkemea, sana sana naishiakumpa pole na pilika. Hauwezi kunishauri kitu nikakuelewa namuelewa sana. Juzi wakati natoa...
6 Reactions
108 Replies
6K Views
Sometimes unajiuliza maisha yana maana gani? Aisee waliosema "It takes courage to love" hawakukosea. Nilikutana na huyu binti mzuri sana, zaidi ya sana mahala fulani hapa dar. Kuna kitu...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom