Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Tayari kumeanza kuchangamka kwa mwenzetu Habari picha inajieleza Tumpe ushauri tu mana story inajieleza Edited for more view: Hapo issue iko hv. Mshikaji wangu kazaa na mtoto mmoja wa elf2. Yule...
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Wataalamu kwa jinsia zote njooni mfunguke ili atleast mtuokoe vijana tusiangukie matopeni uko. Natanguliza shukrani
6 Reactions
24 Replies
961 Views
Habari za muda huu waungwana wa humu jamvini. Katika ulimwengu wa soka na wapenda soka kumezuka habari mbaya kwa upande wa mwalimu wa soka safi lenye kuvutia anajulikana kama GUARDIOLA. NDOA...
8 Reactions
20 Replies
543 Views
Angalia video hii kwa makini ,weka maoni yako
1 Reactions
1 Replies
181 Views
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,, Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa. Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
6 Reactions
18 Replies
591 Views
Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi...
1 Reactions
10 Replies
313 Views
Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa...
2 Reactions
14 Replies
541 Views
Kichwa cha habari chahusika mimi ni mkazi wa Dar es Salaam pia ni mtetezi wa wanyonge wa kila namna especially wanawake. Nimeamua kutua mzigo alionao binti mwenye jinsia mbili but inayofanya kazi...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Miaka kama miwili nyuma nilikuepo huko mererani, sikua huko kwa ajili ya kuchimba madini la hasha bali nilikuwa kwa mishe mishe zangu zingine, Nilikuwa niko na binamu yangu wa kiume yaani mtoto...
3 Reactions
53 Replies
10K Views
Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani. Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi. Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye...
6 Reactions
161 Replies
8K Views
Movie nimeiangalia zaidi ya mara Tano bila kupelekea mbele Mwanzo nilifikili titanic ndio movie ya kali mapenzi yenye mwisho mbaya Ila baada ya kuangalia hii la la land wanawake wote wana tamaa...
2 Reactions
1 Replies
246 Views
Wakuu mnisikilize Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic...
2 Reactions
17 Replies
319 Views
Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao...
1 Reactions
17 Replies
732 Views
Habari za jioni. Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa. Niende kwenye mada. Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini...
72 Reactions
572 Replies
39K Views
Habari Wakuu , Natumai Mko poa . Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana...
9 Reactions
55 Replies
1K Views
Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya...
11 Reactions
72 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa? Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali...
24 Reactions
260 Replies
12K Views
Hakuna sababu ya kuhangaika sijui kutumia mkuyati, sijui vumbi la Bongo kwa ajili ya kumridhisha mwanamke,anayetakiwa kuhangaika ni huyohuyo mwenye tatizo la kuchelewa kufika kunako. Nilihangaika...
36 Reactions
128 Replies
14K Views
TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa...
23 Reactions
41 Replies
3K Views
Back
Top Bottom