Habari wadau,
Kama nilivyoaandika katika title ni kuwa binti yangu anataka kuleft home AKAPANGE!
Hili Jambo limenishangaza Sana ukizingatia hapa nyumbani Kuna kila kitu na nahitaji yote Nampa...
Habari yenu ndugu zangu.
Niende kwenye mada.
Mimi nina mchumba wangu toka mwaka juzi tupo kwenye uchumba na mwakani tumepanga kufunga ndoa.
Sasa mwaka jana mwezi wa 6 nilipata transfer...
Naombeni ushauri ndugu zangu,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, naishi mkoani Iringa hapa mjini.
Nimepanda kwenye nyumba Moja hapa mtaani (mtaa sitautaja) hapa nilipopanga pia mwenye...
Hicho kiwanja andika majina ya watoto wako, usiwe loofer.
Kama mkeo hakusikilizi, wewe ni loofer.
Kama mkeo anakupangia namna ya kutumia ela zako wewe ni loofer.
Kama mkeo umemfungulia biashara...
Kipindi nimemaliza kidato cha 4 nikiwa sina hili wala lile yani sina mchongo wowote ule, nilisoma mbali na kitaa chetu kwahiyo kupata hata masela wa kunipa dili ilikuwa ngumu.
Kuna siku nilikuwa...
Uyu demu ni material oriented
Kuna siku tunaenda nae sehemu Kwa kutembea tumepanga twende Kwa mguu nilikuwa namsindikiza unfortunately akatokea boda akapanda wakasepa
Na Huwa namjali kumhudumia...
Najiona kwenda kuangukia kwenye ugonjwa wa moyo kutokana na changamoto za huyu mwanamke. Nimekosea sana kupuuzia baadhi ya mambo kipindi cha uchumba nikidhan atabadilika.
Anamatumizi mabaya ya...
Habarini za wakati mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,natafuta mpenzi wa kike hasa awe na jinsia mbili ila ya kiume iwe haipo active na kama ipo active awe tayar kufanyiwa upasuaji kabla ya...
Nguvu tunazotumia kuwekeza sehemu tusipotakiwa huwa ni kubwa sana kiasi kwamba hizo nguvu zingewekezwa pengine zingeleta matokeo chanya na makubwa.
UKIONA UNATUMIA NGUVU NYINGI NI DALILI KUWA...
Habari wakuu,
Mjuavyo tena, mwanaume bila michepuko ni sawa na jogoo kuishi na mtetea mmoja, kitu ambacho hakiwezekani.
Nimebahatika kuwa na michepuko kadhaa, ambao ni pisi kali; na baadhi yao...
Wakubwa, wabobezi, nguli, waandamizi, wataalamu na majina mengine nimetanguliza heshima kwenu ili niweze kupata busara zenu.
Je, Kuna ukweli kwamba kabla ya kuoa mwanamke inabidi kuna mitego...
Elon Akihojiwa na redio , amesema chanzo cha kutengeneza sex robot ni kuokoa Mali, muda na uhai wa wanaume wengi duniani.
Akitolea mfano wa sheria za talaka ambapo wanaume wengi hujikuta...
Shalom,
Ukweli ni dawa na acha tuwape dose, mwanaume akiwa akiwa na kazi rasmi na umri 30+ years kama hajaoa huyo ni Poyoyo na Mwanamke ambae hajaolewa umri wa 27+ years huyo ni Malaya.
Sina...
EPS 1
Heshima Kwenu Wakuu,
Niliwaahidi Kwamba Nitawaletea Mkasa Kuhusu safari au Hekaheka zangu nilizozipata wakati nafanya Shughuli zangu za Udalali Jiji la Dar es salaam na maeneo ya jirani...
Piga ua lazima mmoja amroge mwenzie alasivyo fujo,vurugu na vitimbi havitaisha. Iwe jua iwe mvua lazima mmoja wenu awe msukule wa mwenzake!.
We sema hela Sasa utateseka na hela zako,cheo...
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.
Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni...
Tangu nitumie mitungi ya gesi sijawahi ona expire date kwenye mitungi hiyo je nani anawajibika ?
Nimeona mtu kaandika huko Instagram hivi
Hapa alimaanisha mitungi sio majiko na kama ni hivyo...
Kwanza kikazi chetu ni kizuri kinaleta changamoto kwenye jamii na kuonyesha ma "gap" mengi ambayo hayajazibwa vizuri kwenye jamii.
Kinapima uwezo na utoshelevu wa malezi yenu (Millennials) Je...
May all souls find enlightenment,
Moja kwa Moja kwenye mada, nianze kwa kusema Mimi ni mwanaume (45) nimepata na pamoja na mambo mengine katika ndoa yangu naenjoy sana sex ofcourse nina michepuko...
Kataa ndoa tunajambo letu 2025 mwingine huyu hapa namuachia manyoya shwaaaah uzuri ashalambwa mara mbili japo sikuwa na mpango wa kumuacha ila kwa haya mashuti aisee nakimbia mbio ndefu sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.