Unapozungumzia suala la ubishi, wapo watu wengi ambao ni wabishi, ila Waha ni exceptional. Ukizungumzia ubahili, wengi ni wabahili, ila Wapare ni special case. Ukigusa elimu, mikoa mingi...
Wakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake...
Habari wanaJF, am sure mkopoa sana ndugu zangu..
LET NIENDE KWENYE MADA MOJA KWA MOJA..
Wakati nipo chuo nilibahatika kupata mpenzi ambae kiukwel nilimtongoza kwa kujaribu tu lakini...
Kwenye stage ya ujana mahusiano mengi huanzishwa hapa ndio tunapokutana na kila aina ya tabia na hali tofauti za kiuchumi kati ya wenza, unaweza kutana na mabinti ambao siku ya kwanza tu mnaonana...
Acheni kuwa waongo dunia hii sio ya zamani mtazimwa kabisa.
Wanawake wamechoka wanaume waongoo, unamke sema mtu aolewe kwingine kwani mkisema nimekupenda na nimume wa mtu kuna ubaya gani? Dunia...
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern.
Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi...
Habari wana Jf
Leo naandika uzi huu moyo wangu ukiwa umejaa huzuni sana sielewi hata la kufanya!
Ipo hivi mwaka 2021 nikiwa chuo, nilikutana binti mmoja classmate, nikatokea kuvutiwa naye maana...
Msaada tutani wakuu.
Nawezaje kujua kama huyu ndiye au siye? Je wana alama yoyote kama wamakonde au?
Naomba niachwe kwanza nisihojiwe kwa sasa nipo kwenye uchunguzi maalum.
Tafadhali vijana...
Muigizaji maarufu wa Marekani Tyrese Gibson ameangua kilio kikali baada ya mke wake Samantha Lee kushinda kesi ya talaka na kuchukua mali zote za jamaa ikiwemo jumba lake na binti yao kisha...
Poleni na msiba wa kariakoo watanzania wenzangu.
Issue yangu iko hivi. Kuna mwanamke ni rika langu tumekua nae toka utotoni huko kwa kifupi alikua ni my childhood sweetheart, so ktk harakati za...
Habari, wana jukwaa
Ambao hamjaoa msije mkaogopa
Kuna dada mmoja ambae ni best friend wangu na hanifichi kitu na Miongoni mwa watu wangu wa karibu na ni msaada mkubwa kwangu.
Sasa huyu dada ana...
Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani.
Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake.
Sasa bana siku za hivi karibuni namuona...
1: Katika umri wa miaka 14,Huanza kuonekana ni mabinti wa kuanza kutamanisha kwa uzuri...πππ
2: katika umri wa 16 huanza kujiskia na kujiona wanatamani kua na wanaume waliowapita umri,na hutamani...
Mke na mume walitembelea shamba la kilimo. Wakamuona ng'ombe dume akishiriki tendo la ndoa na ng'ombe jike.
Mke akamuuliza meneja wa shamba:
"Mara ngapi ng'ombe dume huingia katika tendo la ndoa...
Wakuu kwema?
Kila mtu amewahi kupitia kwenye mahusiano. Kuna kipindi mtu anakuwa kwenye mahusiano yenye furaha isiyo kifani hadi anaona kama dunia yote ni ya kwake. Ila mambo yanapogeuka...
Habarini za wikiend?
Natumaini wana JF wote mko poa na wikiend inaenda vizuri kwa upande wenu.
Sina muda mrefu sana hapa JF japo nimekuwa nikiingia kila siku hapa ili kujifunza mambo na vituko...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Ebana me msichana wangu namshangaaga sana, kama kunipenda ananipenda hilo halina mjadala, lakini tangu tuanze safari ya mapenzi yetu hajawahi kunipiga busu kabisa...
Nitoe mfano, majina yakiwa ya kutunga.
Mwaka 2008 Fred akiwa na miaka 26 alifunga ndoa na Recho mwenye miaka 25. Wote walikuwa bado ni vijana wabichi kabisa wanavutia.
Kufikia Leo Fredi ana...