Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni.
Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo;
Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo...
Ndugu wadau wa Jukwaa la Matangazo Madogo,
Tunafarijika kuona mnaendelea kutumia vizuri jukwaa hili katika kufanya biashara.
Hata hivyo, kuna changamoto kwa baadhi ya wenzetu kushindwa...
Kumekuwa na matangazo mengi sana yahusuyo mauzo ya simu na vitu vingine ila mimi nitaongelea zaidi kwenye simu.
Simu nyingi zinazouzwa humu ni vimeo utakuta mtu anajua kimeo kinaelekea kumfia...
Wakuu,
Penye wengi, pana mengi pia. Jukwaa hili pamoja na kuwa na matangazo mengi, lakini wengine ni matapeli wakubwa sana. Tafadhali, tulishatoa angalizo na tunasisitiza tena:
Mnapoamua kufanya...
Hodi hodi jukwaani kwa Waungwana wana JF,
Nitumaini kwa ukarimu wenu nyote mmesema karibu mgeni.
Nami naingia na kuanza kutoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Jamii Media Inc kwanza...
This thread is for the general discussion of the classified ad Nadizaini logo/nembo za biashara au kampuni. Angalia baadhi ya kazi nilizofanya ukipendezwa.... Please add to the discussion here.
Habari za humu?
Kwa wale wanaohitaji line za Safaricom zimefika TZ karibuni sana mana huwa zinakuja chache na kama zikiisha huwa zinachukua kuja tena(wahi sasa)
Line 1 ni 10000 ikiwa na vocha ya...
Njoo na bei yako tuyajenge.
Call:-
+255712302556
+255684240927
Hii fursa ni ya leo tu, simu na zianze kuita kwa ajili ya ukaguzi wa bidhaa na MANUNUZI.
🔹 Eneo: Ishambya, Block D, Bukoba Mjini
🔹 Ukubwa: 1,052 sqm
🔹 Umbali: Dakika chache kutoka lami
🔹 Mandhari: Eneo limeendelea, watu tayari wamejenga
✅ Inafaa kwa matumizi yote – Makazi, biashara...
Habari Yako,
Karibu ujipatie matairi Kwa bei nafuu kabisa tunauza matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo zifuatazo ni baadhi ya brands ambazo zinapatikana.
1.CENTARA
2.TIMAX...
This thread is for the general discussion of the classified ad UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile House designs. Please add to the discussion here.
Used SANY Excavator SY60C
Operating weight 6,100Kg
Bucket: 0.22Cubic Meter
Bei: 91,000,000/= pamoja na usajili.
Malipo ya awali: 66,000,000/=
Malipo ya pili: 25,000,000/=
Mashine ipo China...
Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari...
ASUS ZENBOOK DUO
A PREMIUM DEVICE BY ASUS USA
HEAVY DUTY COMPUTER
POWERFUL GAMMING & GRAPHICS PC
COLOR CELESTIAL BLUE
WITH DOUBLE DISPLAY EDITION
WHITE KEYBOARD BACKLIT LIGHT
Intel®️ Core™️...
Habari wakuu,
Anaeitaji Nyumba/ Chumba maeneo hayo kwajili ya kupanga, MAENEO KUANZIA Afrikana,mbuyuni,Tegeta, Skanska, mji mpya kule chini zamani machimbo ya mawe,kwasasa kumejengeka...
Google Workspace, zamani ikijulikana kama G Suite, ni seti ya zana za kidijitali zilizotengenezwa na Google kwa ajili ya kuboresha usimamizi wa biashara na taasisi. Ikiwa unatafuta njia ya kufanya...
OFFER KUBWA YA PHOTOCOPY MACHINES
Ndugu zangu changamkieni offer hii mapema hasa kwa wale wenye stationary au
wanaotaka kuanzisha biashara hio...hizi machine ni nzima zilikuwa kwenye office...
Tunatenheneza mashine tofauti hasa mashine za mbao kuchana mbao, kuranda mbao, kukereza mbao na kutoboa mbao
Tunapatikana kwa namba 0689 859167
Tupo mabibo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.