Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Inatafutwa Carina TI au Suzuki Swift Sexond Generation haraka sana. Nicheki PM for serious business.
1 Reactions
4 Replies
401 Views
Habari za leo ndugu zangu? Nauza tofali za Mwamba tofali ngumu mra 5 ya tofali za block! ukijenga nazo usitegemee nyumba itapata crack au msuko suko wowote! Tofali hizi ni ngumu kiasi ambacho...
13 Reactions
149 Replies
18K Views
Kumekuwa na ongezeko la bei kwenye electronics ila nimekuja na suluhisho, Unaletewa mpka ulipo kwa bei za store au unakuja ila kumbuka bei hii nikikuuzia nitakupa warranty kulingana na product...
5 Reactions
358 Replies
23K Views
  • Poll Poll
Ipo Pugu kigogo fresh, Nyumba ina vyumba vinne vya kulala, sebule, dinning, jiko, choo&bafu ndani 0684223374
1 Reactions
7 Replies
432 Views
Naomba msaada anayejua mashine ya kutengeneza chapati 200 kwa saa, anisaidie. Nimekuwa nikitumia chapat maker ila Haina uwezo huo, sasa natafuta ya kutengeneza chapati 300 kwa saa.
2 Reactions
13 Replies
822 Views
Habari zenu ndug wana JamiiForums, Kama mada inavyojieleza hapo juu mimi kijana mjasiliamali ninaye jiusisha huduma uuzaji wa vifalanga vya kuku wa kienyeji na chotara wa mwezi mmoja na vilivyo...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Hii ni nusu oven https://youtube.com/shorts/Cq65cJXrEDc?si=OCHus-xjbSdVyx65
1 Reactions
5 Replies
444 Views
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya. 1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store) 2. Ingia Invite & Earn 3. Bonyeza Redeem 4. Weka hii code 2ZJVO8ZK...
0 Reactions
2 Replies
455 Views
Swalama ndugu zanguni? Huyu mwamba anapika sana pilau, sijui kwa sasa yuko wapi? Mwanzo alikuwa soko la Kibasila Kariakoo. Soko lilipovunjwa kupisha mradi wa Reli ya SGR akahamia Suwata. Sasa...
1 Reactions
10 Replies
788 Views
Mashine za kufulia za kisasa zipo karibu yako kwa bei nafuu. Ni za kilo 3 - tsh 120,000 tu Kilo 4.5 - 350,000 tu Kilo 7 - 560,000 tu Bei zetu ni nafuu sana mtu yoyote anaweza ku afford Offer hii...
2 Reactions
4 Replies
413 Views
Wadau..natafuta mashine ya kutengeneza/kukata crips za ndizi. Mashine iwe ya umeme na iwe inafaa kwa mjasiriamali mdogo. Isiwe heavy duty. Mwenye connection naomba contact za wauzaji.
1 Reactions
2 Replies
588 Views
Nanunua Google Play Console bei kuanzia laki 5 hadi milioni moja na laki 5 , iwe na angalau mwaka mmoja, na app hata moja ndani, No: 0718474600
1 Reactions
6 Replies
366 Views
Wajasiriamali mwaka ndio huo unaanza karibu ujipatie Mashine tunapatikana mtaa wa masasi kariakoo fuatilia hapa zilizopo dukani Mashine za juisi ya miwa sifa kuu inakamua na kuchuja yenyewe...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Nauza simu Nokia 105 mpya Zipo kwenye box kuna rangi nyeusi, bluu na pink Zinaingia line mbili Karibuni sana Mawasiliano 0717 592 165
1 Reactions
4 Replies
721 Views
Wadau wa jamvini, Niataji kiwanja na shamba la kununua kata ya pahi(kondoa). Mwenye kiwanja au shamba nijulishe inbox au kwa namba 0767727388.
1 Reactions
0 Replies
176 Views
Wale msiojua mnaoingia asala Kila wakati kununua taa za gari ako, mkombozi amepatikana , Okoa ghalama za kununua headlight hadi lakin tatu nakuendekea Kwa sh elf 30 tuh! Hii huduma yakuondoa...
0 Reactions
3 Replies
337 Views
Guy kama Kuna opturnity Naomba kazi, l do concrete posts making on client land and fencing.
1 Reactions
3 Replies
173 Views
Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Shamba la ekari kumi (10) au zaidi linauzwa eneo la Vianzi, ni umbali wa Km 6 kutokea Vikindu, barabara ya Kilwa, Km 36 kutokea katikati ya jiji la Dar. Linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji, kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom