Schedularapp is desktop/laptop application which is designed to assist on scheduling your routines, tasks, assignments, appointments, meeting, reminders, events, time table. Scheduler app is...
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju A.
Viko vinne
Vimepimwa
Umbali ni meter 500 kutoka Bagamoyo road
Karibu na shule
Pembezoni mwa barabara kubwa ya mtaa
Huduma za umeme na maji zipo...
• Direction: Chama
• Survey: skwata
• Plot Area: Mita za mraba (sqm) 1,200
• Document: Leseni ya Makazi
• Price: TZS milioni 350
.
✓ eneo linachipukia ujenzi wa majengo ya kisasa kama: kanisa...
Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
Moja ya jambo ambalo linakuongezea maarifa mengi kulingana na uhitaji wako ni usomaji wa vitabu. Tumekuwa na programu za uchambuzi wa vitabu vya ardhi na majengo (real estate).
Kitabu cha wiki...
Greetings mates.
My name is Mayrah and I am writing to share with you a 2 days/1 night itinerary for you to visit Zanzibar this summer. This travel plan is only meant for a group of 5 Tanzanian...
Chumba Masta. Kodi Tsh 120,000
Eneo - Mbezi Beach, Makonde
Ndani ya fensi, Maji ndani. Umbali wa kutembea. Umeme submita yake.
Maelezo zaidi: 0679268006
Je unalipa bili kubwa ya umeme, ambayo unadhani inazidi matumizi yako?
*Nafanya ukaguzi wa mifumo ya umeme kuangalia chanzo cha tatizo.
*Nafanya marekebisho kuondoa tatizo
*Lakini pia kama...
Biashara ya kununua na kuuza viwanja ni moja ya shughuli za kiuchumi zinazovutia watu wengi kutokana na faida zake kubwa. Hata hivyo, kuingia kwenye biashara hii kunahitaji mtaji wa kutosha na...
Nauza Portable Dell laptop 💻
Specifications
Generation:10
Internal storage:1000Gb(1tb)
Ram:4
Processor:2.5GHZ
Condition :Used like new /nimetumia kwa mwaka mmoja nilinunua 700,000Tsh
BEI:Nauza...
OFA! OFA! OFA! Karibu ujipatie hii set ya dining table na viti 6
Material: hardwood mninga
Finishing kali sana, very quality
Ipo tayar karibu kukagua na kulipia✅
💰1,600,000/-
📍Kijitonyama...
Wakuu habar, kama kuna kijana anataka kufanya biashara ya viatu vya kike vya spesho,basi namkaribisha sana kwenye tasnia hii,niauzoefu wa kutosha, Najua changamoto zake, aina gani ya viatu...
Utangulizi.
Ukuaji wa wakazi ni kipengele muhimu kinachoathiri maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya eneo lolote. Mbali na kuathiri miundombinu, huduma za kijamii, na soko la ajira, ukuaji wa...
Chumba Masta Sebule na Jiko.
Kodi - Tsh 250,000
Eneo - Mbezi Beach Juu, Goba road.
Ndani ya fensi parking ipo.
Maji ndani.
Umbali wa kutembea.
Umeme submita yake.
Maelezo zaidi: 0679268006
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.