Je una mtambo/Mashine /kifaa kilichoharibika mfumo wa umeme au mfumo wa electronic (circuit),ambacho umejaribu kutengeneza ila bado kinasumbua kupona au bado hujajaribu,ila ungetamani kifaa hicho...
CAM STORE INCUBATORS - KIATAMISHI
MAYAI 60 / TREY 2
BEI 350,000 TU.
SIFA ZA MASHINE ZETU.
Zinatumia umeme solar na betri.
Zinatumia computer ndogo ambayo hudhibiti kiasi cha joto na unyevu...
Viwanja 2 vinauzwa kwa pamoja.
i. Sehemu: Makuburi, Mabibo. Dar es Salaan.
ii. Ukubwa: 1780 sqm
iii. Vina hati.
iv. Bei 120m
Ni hivi vyenye vidoti vya kijani.
Mawasiliano: 0743-398408
Lengo la uzi huu ni kupeana dili mbalimbali za kimtandao ili kupunguza angalau ukali wa maisha....[emoji16][emoji16]
LENGO NI...
1. Kupata referrals
2. Kujifunza zaidi
3. Kufundishana zaidi
4...
Karibuni sana wapendwa Daju Collection.
Sisi ni wauzaji wa nguo za kike za mtumba classic GRADE A+ kwa kila occassion yako.
Ofisini [emoji91]
Kanisani [emoji91]
Harusini [emoji91]
Beach [emoji91]...
Kujenga nyumba ya kupangisha kulingana na mahitaji ya soko la mtaa husika ni mbinu bora inayoweza kuleta mafanikio makubwa katika uwekezaji wa mali isiyohamishika.
Hapa chini kuna sababu 20 za...
Wakuu, kuna mtu nipo naye hapa, anatafuta pharmacy ya kununua ndani ya jiji la Dar.
Iwe na usajili,
Iwe na mauzo mazuri (250k na kuendelea kwa siku)
Offer yake ipo vizuri tu,
Kama unayo au una...
Kanuni mama kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni KUTENGENEZA FEDHA WAKATI WA KUNUNUA ARDHI/MAJENGO. Leo nimekushirikisha sababu 10 kwanini unatakiwa kutumia mtandao wa watu sahihi kununua ardhi...
JIPATIE HUDUMA YA LIPA KWA MPESA BURE:
VIGEZO[emoji116]
[emoji117]Sajili namba ya vodacom bila kuiwezesha mpesa.
[emoji117]Uwe na TIN namba
[emoji117]Uwe na kitambulisho cha NIDA
Ukiwa navyo hivyo...
Habarini wadau wa JF!
Naomba ushirikiano wenu kwa mtu ambae atakuwa anajua sehemu yenye one bedroom apartment yaani chumba, sebure choo ndani na stoo pia kiwe ndani fensi, eneo liwe karibu na...
Tuna uza vifaa vyote vya Electronics kama vile; TVs, Cookers (majiko), Fridges, Home theatre, Subwoofers, Freezers, Fans, Air Condition, Air Cooler, Stabilizer, Speakers, Blenders n.k. Kwa bei Poa...
Kutathmini thamani ya ardhi na majengo ni mchakato muhimu unaohitaji uelewa wa kina wa masoko ya mali isiyohamishika, vipengele vya mali, na vigezo vingine vya kiuchumi. Malengo ya tathmini hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.