Habari wakuu.
Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa.
Storage 128GB
Ram 6GB
Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu.
Bei ya kubadilisha kioo ni 170k...
Leo napenda kuwasiliana na wewe mchakalikaji popote Tz na nje ya nchi .Kama unajengaKujenga nyumba katika eneo lenye chemchemi ya maji au eneo lenye asili ya maji kunahitaji tahadhari maalum...
Vitz old model inauzwa
1. Milango 5
2. Cc990
3. 1SZ FE engine
4. Haina deni, bima imelipwa
5. Engine ina kipengele, inarekebishika au inafaa kwa mswaki. Mimi nna gari nyingine
6. Bodi zima...
Wakuu kwema?
Chukua pikipiki kwa bei ya kutupa ukatumie ama biashara, yote juu yako.
Chombo iko sawa,
Changamoto ni kuweka break mpya ya mbele pamoja na tairi la mbele.
Chombo inatoka kwa...
Howo tipper 371 used inauzwa, ni used kutoka China ina Hali Nzuri Sana, Karibu ofisini kwetu Kurasini opposite na diplomatic college,
Pia utapata offer ya kufanyiwa service ya truck Kwa mwaka...
Viwanja vinapatikana kama ramani hii inavyoonyesha. Kama unavyoona, ni viwanja vichache tu. Bei ni shs 40,000 kwa Square metre. Kwa mawasiliano zaidi piga/sms number 0678-868860.
Utangulizi
Uamuzi wa kukodisha au kuuza majengo ni muhimu kwa wawekezaji na wamiliki wa mali isiyohamishika. Kila chaguo lina faida na changamoto zake.
Makala hii itachunguza kwa kina mambo...
(1) Mkakati wa Kuunda Utajiri Kupitia Mali Isiyohamishika.
Kris Krohn anaanza kwa kuelezea umuhimu wa kuwa na mkakati thabiti wa kuwekeza katika mali isiyohamishika. Anasisitiza kuwa, ili...
Habari za majukumu wanazengo
Mada inajieleza, viwanja vipo miti mirefu, Malimbe-Nyegezi-Mwanza(viwanja vipo karibu na beach kama Samanene, Avash, jembe ni jembe, wag hill)
Viwanja vinafaa kwa...
OFA KABAMBE!
Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE...
Habari wakuu.
Samsung note 9 ipo sokoni ila ina shida ya kioo kinahitaji kubadilishwa.
Storage 128GB
Ram 6GB
Bado ipo kwenye clean condition ukiacha kioo tu.
Bei ya kubadilisha kioo ni 170k...
• Direction: Magogoni, mita 300 kutoka Ferry
• Plot Area: 300 sqm
• Document: Title deed
• Price: TZS 70 million
.
✓ inatazama barabara kuu ya lami ya Ferry-Kimbiji
✓ mita 100 mpaka baharini
✓...
Wakuu habarini.
Nina shida kidogo ya kifedha hivyo nina laptop yangu haiko vizuri kimuonekano, lakini inapiga kazi mwanzo mwisho.
Ndio ninayoitumia hata katika kazi zangu za muziki..naiuza kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.