Kiwanja kinauzwa chanika Nguvu kazi kipo mita 900 toka barabara ya ram.kuna umeme .barabara ipo mpaka kwenye kiwanja .Ni eneo Endelevu,Tambarare.ujenzi ni rahis sana mchaka unapata hapo hapo...
Habari wana Jamii Forums,
Nahitaji mlango wa chooni wa PVC ambao ni used kuna mtu anauhitaji haraka sana, kama unao tafadhali ni PM tufanye Biashara, mfano Wake Kama Huo.
HII NYUMBA TULIDESIGN WENYEWE JAPO MTEJA ALIANZA UJENZI NA MTU MWINGINE THEN SISI TUKAANZA KUREKEBISHA
1. TULIREKEBISHA MSINGI MAANA ULIKUWA MFUPI SANA NA MKANDA ULIKUWA MDOGO MNO (REJ PICHA NO...
Habari, mwezi ujao naenda kupata milioni 30. Vijana wenzangu naombeni ushauri ili nisije kujuta baadae maana hela sasa hivi sina. Na hiyo hela sidhani kama nitaipata tena kama.
Naombeni ushauri...
Naomba kuuliza eti kuna kampuni inayojihusisha na kununua nyumba au viwanja. Kwamba ukifika pale wanatathmini nyumba yako bila ya kwenda kuiona wanaweza wakasema nyumba yako ina thamani ya milioni...
Habari! Tunatengeneza na kuuza furniture mbalimbali za majumbani, ofisini na hoteli. Tunazingatia ubora na finishing nzuri. Karibuni sana.
Call/ whatsapp 0628490035
NYUMBA INAUZWA (LODGE)
Loc: Kitunda Matembele ya Kwanza(DSM)
Bei/Price: Millioni 95,000,000/=TZS (Maongezi Yapo)
Nyumba Ina Vyumba vitano Vyote Master, na chumba cha nje cha mfanyakazi, public...
Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka...
Shamba linauzwa lipo mpakani mwa Arusha na Manyara, lina ukubwa wa heka 180 linauzwa lote huduma ya umeme ipo maji mabomba yameshapita lakini mwisho wa eneo kuna mto umepita na shambani kuna camp...
Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha:
1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road
2. Lipo barabarani
3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji
4. Huduma za kijamii zipo
kwa...
Shamba lina ukubwa wa Hekari 2
Lina miti 1000+
Miti ina umri wa miaka
Shamba lipo Mwanza, Ukerewe
Bei yamba pamoja na miti yote iliyopo kwenye shamba ni shilingi milioni tisa na laki...
Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana
Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa
La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.