Habari wazee,
Mwenye kujua wapi nitapata radio nzuri ya gari anisaidie. Sijui sana kuhusu miziki ya kwenye gari lakini nahitaji muziki mzuri unaochuja vizuri.
Nilijaribu kuuliza kwa Dick sound...
Habari wanajamii,
naitaji kufahamu gharama za mtu mmoja kwenda na kurudi serengeti na ngorongoro...kuanzia gharama za usafiri, malazi, chakula na gharama za matembezi ukiwa katika sehemu hizi za...
Firigisi
Kwaajili ya matumizi binafsi
Sherehe, mgahawani, hotelini
Tunakulete popote ulipo ndani ya Dar au Zanzibar..
Ni cheki kwa 0716323145
Pia tuna
Whole chicken.
Chicken quarter Legs...
wana JF naombeni kazi tafadhali. kazi za ukandarasi wa umeme majumbani na viwandani tulegeze vyuma. kwa mawasiliano simu 0715050539 karibu sana na kongole sana
Our services include but not...
Toyota Ist
Year--2002
Drive--2wd
Mileage--68,000km
Engine--1490cc
Other option--RS FOG NV
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
BEI--11.2mil
[emoji338][emoji336]0715558258
Kama unatumia /unamiliki chombo cha moto tafadhali tumia dakika yako 1 kuangalia menu *152*75#
chagua kuweka namba ya gari au namba ya leseni
weka hiyo namba
utaambiwa kama unadaiwa au haudaiwi...
Kwa huduma bora za samani kama milango, kabati vitanda waone CHOMETE FURNITURE waliopo mji wa kibiashara Masumbwe mkoani Geita barabara kuu Kahama-Rwanda ama piga simu 0764818663...
Salaam,
Mwenyewe anauhitaji wa haraka.
Location: kigamboni, Kibada.
Anauza kiwanja chenye ukubwa wa meter 20 kwa 20 (sqm 400).
Kiwanja kina nyumba yenye chumba kimoja Chenye choo ndani.
Kiwanja...
Monitor ya dell 19" ,cpu aina ya ibm,756 RAM, hard disk 20 gb, ( monitor tupu 70000/= na cpu tupu ni 60000/=) nakupa vga,power cable zote na wireless panya.linafaa sana kama huna mambo mengi kama...
salaam,
shamba lenye ukubwa wa hekari 5, linauzwa, lipo kigamboni (kimbiji).
umbali kutoka ferry ni km 34
lipo ndani ya kijiji kinaitwa kwa moriss ( njia ya kwenda buyuni, unapita kambi ya...
PureLife Tap Maji safi ni nini?
BF Suma PureLife ya Maji inashika nafasi ya 7 kati ya vifaa vyenye ubora na ufanisi wa maji kwa hali ya juu , kifaa ambacho kinaweza kuzuia chembe za 0.1amu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.