Habari wanajamii forum, naomba kujua mahali na mawasiliano ya sehem wanapouza cement Dangote kwa bei ya kiwandan, mm nipo mkuranga Pwani. Natanguliza shukran
Wana jamii folum tafadhali msaada nataka mwakani kuanzisha bihashara yakuuza simu nipo Dar es salaam, je niwapi naweza kupata simu za jumla na je kuna faida katika bihashara hiyo?,na je naweza...
Swalamaaaa
Wakuu nataka nianze kufuga kwahiyo kwa mfugaji uliyeko Dodoma mwenye mbegu nzuri ya kuku wa kienyeji, nahitaji kwa ajili ya kufuga nasisitiza mbegu iwe nzuri.
NiPM kama unazo tuyajenge.
jipatie dagaa nyama(dagaa wa zanzibar)kwa shilingi 6500/- kwa kilo kwa wakaz wa dar morogoro na dodoma!!!!!ofisi kuu ipo tanga lakini tunaofisi ndogo ndogo na mawakala katika mikoa tulio...
Habari zenu wana JF msaada kupata nyumba yakupanga MASTER BEDROOM cost 100,000/= if not master basi kiwe btn 50000 up to 100000 pesa tasilimu ya Tanzania.
maeneo ya Mwenge...
specifications
RAM 1GB INTERNAL MEMORY 16 GB
ANDROID VERSION 7
cpu 1.3 GHz
PRICE 150,000/=
simu ina kaa na chaji kwa muda wa mrefu na inategemeana na matumizi kama ukiwa unatumia......
SIMU...
The above product (Sony Genez - SS-GTR77P) is on sale for just 650,000/=
- Subwoofer - 20 cm
- High compression horn tweeter
The system have been used for about four months only...
For sale..Original, unused Iphone 5C. The phone is new and its packed in its original box. It has an 8 GB of memory. Call/Text for more details.
Inauzwa..Iphone 5C, mpya haijawahi kutumika na...
Asalam aleykum, ndugu wadau pande zote bongo na nje ya inchi, nimatumani yangu kuwa ni wazima pia poleni na majukumu, ebwana kwa yeyote anaehitaji machine ya miwa mimi ninayo naiuza, machine...
Habarini ndugu,
Tunauza dagaa watamu wa nyasa.
Kilo sh.6500.
Ni dagaa wasio na mchanga na wasio na uchachu.
Tupo Mtwara mjini na tunatuma popote ulipo.
Karibuni sana.
Kwa mawasiliano.
Piga au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.