Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nahitaji lita 1 ya asali siku ya leo kwa bei rafiki.Napatikana Tegeta na weka namba ili nikupigie
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Habari! Nahitaji kuwa agent wa cement mwenye uelewa naomba anisaidie vitu vifuatavyo: 1.)mtaji wahitajika kiasi gani kwa wakala 2.)bei ya mfuko mmoja kwa kiwandani. Akhasnte.
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Wakuu habari, Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine. Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu. Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe...
2 Reactions
45 Replies
5K Views
CHAKARIKA ni wataalamu na wazoefu wa shughuli za uendeshaji wa shughuli za asasi za utoaji mikopo. Tumeaandaa kifurushi cha mafunzo kwa ajili ya wamiliki/watendaji wakuu na maafisa mikopo ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mie ni mgeni hapa jiji ninataka kupanga chumba kimoja ambacho ni self ninaomba msaada kwa mtu anaefahamu madalali wanapopatikana hapo sinza wanisaidie kutafuta
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau natafuta mdada wa kufanya scrub, saloon ya kiume, awe mrembo, saloon iko dar ! dm please! my number pm please
0 Reactions
2 Replies
884 Views
Habari za jion wapendwa. Naomba kuuliza ni jinsi gani unaweza kutengeneza pesa kama blogger au kwa kumiliki applications kwenye playstore?
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau, kampuni gani ya kukodisha magari hapa mjini bei zao zipo nafuu kwa mtu anayetaka gari ya kutembelea ndogo mfano wa mark 2 au Toyota Cresta,kwa muda wa wiki moja. Mwenye info tafadhali.
0 Reactions
26 Replies
19K Views
Habari wakuu. Tunayo Soya ya njano tunauza jumla kuanzia Kg 50 Ipo katika ubora mzuri. Bei na mchanganuo wake Bei yetu ni Tsh. 1900 kwa kila kg. 1. Kuhusu usafirishaji, bei tajwa ni nje ya...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Natafuta milango ya chuma ya kisasa kama ile ya kichina saizi 114CM x 245CM. Milango miwili wa mbele na wa nyuma iliyotayari au ya kutengeneza. Tafadhali wasiliana na mimi hapa au inbox na sample...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nipo Mtwara mjini .Nifundi wa tv,radio nk....kama unakifaa cha mfumo huu...aidha kimeharibika au kimekufa ....karibu kwa matengenezo au mauzo ya spea..
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mbao za Mteak zinapatikana kwa wingi, Zaidi ya Containers 3 (CBM 70) Size mbalimbali MBAO (Kiini kitupu hakuna weupe) (Hakuna kupasukapasuka) 1x4x8ft 1x5x8ft 1x6x8ft 1x7x8ft 1x8x8ft 1z9x8ft...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwasenda Development Intervention (MDI) ni shirika lisilo la kiserikali lenye makao yake makuu jijini Mwanza (Nyasaka Centre). Tunawatangazia walimu wa masomo ya sayansi na hisabati walioko jijini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mambo vp! Tunadesign na kuprint label (stika) za bidhaa za wajasiriamali na makampuni makubwa pia, tunatengeneza logo na kadi za biashara (business cards) kwa bei poa kabisa na tunauza kadi za...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Account ni .blogspot.com ina $46 na imesha draw mara3 haina tatizo lolote bei ni 170 mazungumzo yapo nichek 0715080797
0 Reactions
3 Replies
732 Views
Nawasalimu. Tunauza vifaa mbalimbali vya simu kama vifuatavyo. -Charger original za simu. -Betry za simu. -Smart headphone ( Bluetooth ). -Earphones original -Cover za simu aina tofauti. -Screen...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Bei yake na uimara wake pamoja na Changamoto zake,,,, natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu. Nimepatwa na majanga jamani tena makubwa,,kwahio mimi kama mimi nimeamua niende kwa MwanaKingi Mwandoya, kama kuna ambaye anajua direction ya kufika huko aniambie au aje PM, hii ni...
2 Reactions
111 Replies
9K Views
Habari wapendwa, Nauza Uyoga (Fresh Mushroom) Tafadhali wasiliana nami kwa namba 0753 214561 au 0715 497259 Tunapima kuanzia Kilo moja hadi robo kilo Huduma ya kuletewa tutaelena kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
661 Views
Kiwanja kinauzwa, mita 20×20, kipo Kinzudi Majengo, katikati ya Goba na Madale, kipo karibu na huduma za maji na umeme, kinauzwa ml 15 karibuni. 0744898813 kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom