Greetings bandugu wote.
I am looking for buyers of sawn timber
In and around Tanzania.
We have eucalyptus (mlingoti/mkaratusi)
Bei zipo hivii
1x8 5500
2x6 4500
2x4 3000
1x6 2500
1x4 800
2x3...
Hi
Leo tujadili kwa pamoja njia ambazo unaweza ukatumia kupunguza gharama wakati wa ujenzi
1. Kuchagua simple design(avoid complex design) au tuseme chagua ramani nzuri na rahisi haina...
Nondo gani nchi ngapi ndo zinahitajiaka sana katika ujenzi wa nyumba hizi Za kawaida ? Pia ni Za kampuni gani ndo wana unaza kwa bei nafika zaidi apa dar es salaam
MOAN PRODUCTS..
Ni watengenezaji na wasambazaji wa UNGA bora wa LISHE kwa matumizi ya lika zote.. pia tunatengeneza Unga wa MBEGU ZA MABOGA wenye kazi nyingi sana mwilini kama;
●kukuepusha na...
BEST UNLOCK SOLUTION ni wataalamu wa kuflash na ku-unlock SIMU aina zote kwa njia ya mtandao.
KU-Flash simu na KU-Unlock simu aina zote (Iphone, Samsung, Blackberry, Sony Xperia, Tecno etc)...
Wakuu, nipo MTWARA mjini nahitaji saa Kali ya mkononi dizain kama gold Fulani hv isiyopauka kwa mda mrefu..
So nahitaji kufahamishwa maduka na maeneo ambayo ninaweza kupata hyo kitu bajeti yangu...
Nauza tv tajwa hapo juu...yenye sifa zifuatazo:
Screen size: 40 inch
Resolution: Full HD 1080p
Version: Series 5
USB port: 1
HDMI port: 2
Imetumika kwa mwaka mmoja, iko kwenye mint condition...
Je wewe ni mkazi wa Dar es Salaam, Morogoro au Dodoma, na unamiliki "Day Care Centre" au "Pre-/Primary School' na ungependa kuiendesha kisasa ili kuendana na ushindani katika soko la elimu? na je...
Pata huduma zifuatazo kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama NAFUU SANA, utakayolipia kwa awamu.:
Mafunzo mafupi ya Usimamizi wa Miradi na Mipango Mkakati (Project /Strategic Management)...
Maendeleo ya jamii katika nyanja mbalimbali huletwa kwa ushirikiano baina ya wadau mbalimbali. Miongoni mwa wadau hao ni ;Serikali, Asasi za kiraia, Kampuni za kibiashara, Mtu mmoja mmoja n.k. Ili...
PIKIPIKI HONDA 250 INAUZWA.
Made:Japan
Cooling system (rejeta)
Speed 180
Sports rims
Showcup za upepo
Brake: disc both side
V-twin engine (two in one)
Full documents,in good condition.
Contact:Pm...
Samsung galaxy prime plus inauzwa iko katika hali nzuri kama uonavyo picha, bei ni 200k.
I am selling Samsung galaxy prime plus best offer...its good as new, as it seems below on the picture...
Habari wadau..nina mpago wa kufungua car wash and detailing shop...nina fanya research juu ya upatikanaji na bei equipments na products kwa Dar es Salaam..Zaidi niko interested kujua wapi naweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.