Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba ipo tegeta wazo kama unaelekea madale kituo kinaitwa kontena Nyumba ina vyumba 3 self Bei 80m Maongezi zaidi au kuja kuona wasiliana nami kwa 0756060183
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Bei ni laki 5 ( laki tano) kwa mwezi ilipwe miezi 6 ( miezi sita) Nyumba inavyumba v3 vya kulala Ina master bedroom Ina sitting room Ina dining Ina kitchen Ina public toilet Ina tiles Ina gypsum...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mtizamo wangu huyu mkulima wangu wa vanila wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera nahitaji msaada mkubwa wa serikali kusaidiwa kwanza ulinzi pili kupata soko la uhakika, siku ya Jumamosi tarehe 24...
1 Reactions
11 Replies
6K Views
Mwenye ndoo ndogo za lita 10 zile zilizoisha mafuta anifahamishe nimpe mawasiliano tufanye biashara. Nahitaji nyingi kwa bei ya jumla, bei maelewano. Location ni Dar.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wana jamvi,,,nataka kufanya biashara ya kuprint T shirt na kuziuza kwaiyo raw materials mojawapo ninazohitaji ni T shirt plain nzito nzuri za kiwango yaweza kuwa Manga au brand nyingine...
0 Reactions
13 Replies
13K Views
habari Nauza laptop dell 5400 Specification zake RAM. 4 GB HARD DISK 500 GB PROCESSOR 2.5 BETRI LIFE TIME 2 HOURS WALLANT 1YEAR PRICE 320,000/= Kwa mahitahi nitafute kwa mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ndugu Habari za wakati huu. awali yote napenda kuwajulia hali zenu mahali popote mlipo Tanzania na duniani kwa ujumla. Mara baada ya salamu hii napenda kuwajulisha lengo la uzi huu. Mimi ni...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Aina: Epson pro ex 7260 wxga 3,600 color brightness (color light output) Mhl 3Lcd Port: USB PORT, HDMI, VGA, AU na AV Unaweza tumia kwa kuonyeshea mpira,dvd, Playstation, laptop, hard disk...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Waungwana habari, Mimi nipo Zanzibar na km mjuavyo hivi vitu vya hivyo huku Ni vingi na bei afadhari kidogo,Sasa basi kwa yeyote ambae anataka vitu km laptop, radio au simu n.k naomba tufanye kitu...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
SOLD DISPLAY: 5.5 Inches RESOLUTION: 720x480 RAM: 2GB INTERNAL MEMORY: 16GB FINGERPRINT: YES OPERATING SYS: Android 7.0 CAMERA: 13 Megapixels with Flash REAR CAMERA: 13 Megapixels with...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam mabibi na mabwana Nawaletea hii hapa nyumba imetulia na nzuri sana ni ghorofa ndani ya geti Sifa zake -Tiles nyumba nzima -madirisha ya vioo -feni zipo ndani -makabati standard ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kupata ramani ya nyumba ya ndoto yako tupigie /whatsup +255624004650
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi, pole na majukumu ya kujenga taifa pendwa la Tanzania . . Niende kwenye mada moja kwa moja . . Mimi ni kijana umri wangu (range 20--25) . . Elimu yangu ni degree moja (Bsc) . ...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndugu Habari za wakati huu. awali yote napenda kuwajulia hali zenu mahali popote mlipo Tanzania na duniani kwa ujumla. Mara baada ya salamu hii napenda kuwajulisha lengo la uzi huu. Mimi ni...
1 Reactions
7 Replies
7K Views
Mpyasl sh 270000 0713099309
0 Reactions
3 Replies
845 Views
Mambo vp wadau. Msaada wa wapi ambapo naweza kupara machine ya kuchanganyia cement na mchanga kwa ajili ya kufyatulia matofali.
1 Reactions
7 Replies
2K Views
(Price 200-150k) NEW DESIGN FOR ROOFING KATI YA VITU VINAVYOSAIDIA KUPUNGUZA GHARAMAH NI HII HIDDEN ROOF, HUSAIDIA MTEJA KUPUNGUJA HADI 40-50% OF ROOFING COST (INATUMIA MBAO CHACHE NA BATI)...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Natafuta chumba cha kupanga cha being nafuu maeneo ya survey,mwenge,makongo au popote karibu na hapo
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom