Nauza mafuta halisi ya alizet yasio changanya na chochote yanapatikana kwa bei nafuu sana lita 5 kwa tsh16,500/= mafuta haya ni halisi kutoka singida, kwa hapa dar napatikana mwenge na mbezi beach...
*soma hii tafadhal sana ina umuhimu sana*
Hii hariier tako la nyan au new model
Cc 2400
Four cylinder
Nipe 13m tu
Ingine imenock
Dukan wanauza 3m
So utakhwa umenunua 16m
*Ukitoa 3m kabla...
Sasa unaweza jipatia makabati ya jikoni Kwa nafuu hadi 1,000,000/= kwa mita Moja pia na sofa za ngozi zenye punguzo hadi 50% fika ofisini kwetu au piga simu namba
+255 711 454617
Nahitaji gaming laptop HP OMEN, MSI, and the lyk ilimradi iwe na specs za gaming preferably ikiwa 17.3".. Nna 900K at reasonable am ready to topup....
Nawasilisha Wakuu
Job Post: SHOPS AND INVENTORY CONTROLLER
Reporting to: BUSINESS MANAGER
Applications are invited from suitable Tanzanians to fill in above post.
MAJOR RESPONSIBILITIES:
Completes all necessary...
Super low fuel consumption
Brand: Sanya
Origin: Made in China
Technical specifications
Top speed: 80 km/hr
Start: Kick & Electric
Max weight: 120kg
Fuel capacity: 4 L
Displacement: 110cc(110ml)...
Habari wanajukwaa,
Kama title inavoelezea, kuna trekta lipo Mbeya and ninahitaji kulisafirisha kuelekea Mwanza. Nahitaji msaada wa gari ambalo liko empty ili niweze kulisafirisha.
Kama unaweza...
Hello Ladies and Gentlemen!
Its a pleasure to be with you here and I hope all is well with you all!
Mimi ni mwakilishi wa mtaalam wa tiba za Jadi ambaye kimakazi yupo Jijini Mwanza (Bwiru, Kona...
Habar wakuu, Karibun katika biashara yangu ya ice lolpop Au isikrim kama ilivozoeleka, nauza/nachukua Tenda /oda ya isikrim jumla na reja reja jumla nauza kwa shilingi Mia, reja reja kwa shilingi...
Salam wana JF
Naomba kujuzwa soko la biashara ya mashudu ya alizeti kwa hapa Dar Es Salaam. Kama kuna mwenye kufahamu soko au kampuni zipi naweza kupata wateja wa kuwauzia mashudu. Nahitaji kujua...
Habari ndugu zanguni hapa ndani.
Ninatafuta mtu wa kushirikiana naye katika ufugaji nyuki maeneo ya Morogoro au Arusha kwa ajili ya uvunaji wa sumu ya nyuki. Awe na mizinga aina ya Langstroth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.